Divine Radio Live
AMOS MAKALLA AFUNGUKA ‘PANYA ROAD TUMEWATHIBITI’
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla amesema kwa sasa Mkoa upo shwari kufuatia oparesheni kabambe ya kuwakamata Panya Road waliokuw...
TUZO ZA WAANDISHI KUTOLEWA MEI 3
Wanahabari wa Tanzania wanatarajia kupata tuzo kwa makundi tofauti katika tasnia hiyo ikiwa ni katika kuenzi na kutambua umuhimu wao katika ...
RAIS SAMIA AANGUA KICHEKO AFUNGUKA ‘HII NI MARA YA KWANZA NIMEENDESHA GARI’ (VIDEO)
Filamu ya Royal Tour ambayo ilirekodiwa Tanzania miezi michache iliyopita kwa lengo la kutangaza vivutio vya utalii hatimaye imezinduliwa ...
LIVE BUNGE LA 12 MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA BAJETI KIKAO CHA SITA - TAREHE 13 APRILI, 2022
RATIBA: i) DUA ii) HATI ZA KUWASILISHA MEZANI - Waziri wa Nchi, ofisi ya RAIS (TAMISEMI) iii) MASWALI - Ofisi ya RAIS (TAMISEMI) ...
LIVE: RAIS SAMIA AKIZINDUA MFUMO WA USAFIRISHAJI WA DHARURA KWA WAJAWAZITO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua mfumo wa usafirishaji wa dharura wa wajawazito na watoto wachan...
LIVE BUNGE LA 12 MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA BAJETI KIKAO CHA PILI - TAREHE 06 APRILI, 2022
RATIBA: i) DUA ii) HATI ZA KUWASILISHA MEZANI - Waziri Mkuu - Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria ...
WABUNGE WAIKATAA RIPOTI YA MTO MARA
Dodoma Wabunge jana Jumanne Aprili 5, 2022 wameikataa ripoti ya uchunguzi wa uchafuzi wa maji na vifo katika mto Mara wakisema ni ya aibu ...
JE, MAFUTA SASA KUGEUKA 'ANASA'?
Wakati bei ya Mafuta yanayotumika kwenye vyombo vya moto ikitangazwa kupanda mara dufu, wananchi wa jiji la Dar es salaam wameonekana usik...
WATALII KUTOKA UKRAINE WAKWAMA ZANZIBAR
Serikali ya Zanzibar imesema inashirikiana kwa karibu na ubalozi wa Ukraine uliopo nchini Kenya kuangalia ni namna gani itawasafirisha wat...
WANANCHI WA KATA YA MWALUGULU WAMPONGEZA MBUNGE
Na Nyamiti Alphonce Nyamiti Wananchi wa kata ya Mwalugulu katika halimashauri ya Msalala wamepongeza jitihada za Mbunge wa Jimbo hilo Mh I...
DKT.MWINYI: MAGONJWA ADIMU YANAHITAJI JUHUDI ZA PAMOJA KUYAKABILI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dokta Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itahakikisha kuwepo sera na sheria madhub...
MKUU WA MKOA WA SIMIYU AMEWATAKA WAZAZI KUJENGA TABIA YA KUJITOLEA
Na Daniel Manyanga - Simiyu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila amewataka wananchi Wilayani Maswa kuendelea kuchangia fedha kwa aj...
SIDO WAANZA MPANGO WA KUWAKOPESHA WAJARISIAMALI KATAVI
Na Faustine Matalange - Katavi Shirika la kukuza viwanda vidogovidogo SIDO katika mkoa wa Katavi limeanza Mpango wa kuwakopesha wajasiri...
MAJESHI KUTUMIA TEHAMA KUPAMBANA NA MAKOSA YA KIMTANDAO
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Kundo Mathew ameyataka majeshi yote nchini kuwekeza kwenye sekta ya T...
ASHTAKIWA KWA KUMCHOMA VISU MUMEWE MARA 140
Mwanamke mmoja anayeitwa Joan Burke (61), kutoka jimbo la Florida nchini Marekani, ameshtakiwa kwa mauaji kufuatia tuhuma za kumchoma na kis...
AKAMATWA KWA KUOA WANAWAKE 17
Polisi katika jimbo la Bhubaneshwar nchini India wamemkamata mwanaume anayedaiwa kuwalaghai wanawake 17 kwa kujifanya daktari na wakati mw...
MALKIA ELIZABETH AAMBUKIZWA VIRUSI VYA CORONA
Malkia Elizabeth wa Uingereza amekutwa na maambukizi ya virusi vya corona hii leo. Kasri la Buckingham limesema, Malkia ana dalili za kawaid...