Jeshi la Polisi mkoa wa Tanga limewapa nusu saa pekee wakazi wa mitaa mbalimbali kusheherekea mkesha wa mwaka mpya na kutangaza atakaye...
UPELELEZI KESI YA ALIYEMCHOMA MOTO MKE WAKE WAKAMILIKA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa upelelezi wa kesi inayomkabili Mfanyabiashara Khamisi Luwonga anaedaiwa kumuua Mkewe N...
SINGIDA: MGANGA WA JADI AMSALITI MUUAJI NA KUTOA TAARIFA POLISI
Mfanyabiashara wa Ng’ombe minadani mkazi wa kijji cha Irisya mkoani Singida, Imanuel Njou (37) ameuawa kikatili kwa kukatwa na kitu c...
HEAVY RAIN LEAVES 40 FAMILIES HOMELESS
KILIMANJARO HEAVY rain has rendered 40 households at Kihurio Village in Same District, Kilimanjaro, homeless and without food. They a...
MWALIMU AKAMATWA KWA KULAWITI WATOTO WADOGO
Polisi Mkoani Iringa wanaendelea kumshikilia Mwalimu Arnord Mlay (30) kwa tuhuma za kuwalawiti Watoto watano wenye umri wa miaka 10 –...
DEREVA ANAEDAIWA KUSABABISHA AJALI ILIYOUA AKAMATWA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Gilles Muroto amesema wamemkamata Dereva wa Lori Joseph Zacharia ambae anadaiwa kusababisha ajali il...
TANZIA: MAMA MZAZI WA ERICK KABENDERA AFARIKI DUNIA
Familia ya Mwandishi wa Habari, Erick Kabendera, imethibitisha kuwa Mama mzazi wa mwandishi huyo, Verdiana Mjwahuzi (80), amefariki d...
KENYA: POLISI ADAIWA KUMPIGA RISASI NA KUMUUA DEREVA ALIYEKATAA KUMPA RUSHWA
Afisa wa Polisi amekamatwa akituhumiwa kumuua kwa kumpiga risasi dereva wa gari aina ya Probox baada ya dereva huyo kukataa kumpa rushw...
VIDEO: LIPUMBA AFICHUA ALICHOZUNGUMZA NA RAIS MAGUFULI KWA MARA YA KWANZA WALIPOKUTANA IKULU 2015
Mwenyekiti wa CUF Taifa, Professa Ibrahim Lipumba, ameweka wazi alichozungumza na rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Ma...
ABIRIA ZAIDI YA 50 WANUSURIKA KUFA BAADA YA BOTI KUZIDIWA NA MAWIMBI
Abiria zaidi ya 50 wamenusurika kufa baada ya boti yao iliyokuwa ikisafiri kutoka Kilindoni - Mafia kwenda Nyamisati - Kibiti kuzama ja...
UWANJA WA SIMBA BUNJU KUANZA KUTUMIKA MECHI ZA LIGI
Simba imethibitisha kuwa uwanja wao wa Mo Simba Arena, uliopo Bunju utaanza kutumika kwenye michuano ya ligi kuu ya soka ya wanawake ...
DONE DEAL: YANGA SC IMEMSAJILI YIKPE
Club ya Yanga SC imetangaza kumsajili mshambuliaji wa Ivory Coast Yikpe Dominique kwa mkataba wa miaka miwili.
POLISI WAFUNGUKA 'KUTEKWA' WASAIDIZI WA MNYIKA
Abdulkarimu Muro (Msaidizi Katibu Mkuu CHADEMA) na Saidi Haidani Dereva wa Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika. Jeshi la Polisi mk...
WHATSAPP KUTOFANYA KAZI KATIKA SIMU HIZI
Mtandao wa WhatsApp hautofanya kazi kwenye simu janja zinazotumia mfumo wa Window 'Window Smartphone' kufikia Disemba 31, kwa m...
POLICE NET 11 FOR STEALING HOSPITAL'S BUILDING MATERIALS
KATAVI POLICE in Katavi region have arrested 11 people including Mlele District Council five workers for allegedly stealing Mlele D...
DAKTARI AELEZA SABABU YA KIFO CHA FARU FAUSTA
Kwa mujibu wa taarifa ya upasuaji uliofanywa na jopo la madaktari wa wanyamapori na wataalamu wengine wa uhifadhi kutoka taasisi ya u...
WAONYWA JUU YA VITENDO VYA ULEVI KWENYE UANDIKISHAJI WAPIGA KURA
MKURUGENZI wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Gasper Balyomi, amewaonya Waandishi wasaidizi wa Daftari la kudumu la wa...
"HATUTANUNUA TISHETI ZA KUWAGAWIA WANACHAMA... HAKUNA CHA BURE 2020" - DR. BASHIRU ALLY
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt.Bashiru Ally amesema chama hicho hakitatoa tisheti za bure kwa wanachama wake Uchaguzi ...
HUU NDIYO MJI WENYE PAKA WENGI ZAIDI KULIKO WATU
Kundi la paka katika barabara za mji wa Kafr Nabl Baada ya miezi kadhaa ya mashambulio ya mabomu kutoka kwa vikosi vya Syria na Urusi...
UTAFITI: KUTOKULA KUNAREFUSHA MAISHA
Utafiti uliofanywa nchini Marekani, umebaini kuwa kutokula kwa saa 16 hadi 18 au kufunga kula kila baada ya muda fulani ndani ya wiki...
UHURU WILL REMAIN IN POWER AFTER 2022 POLL, SAYS DAVID MURATHE
Former Jubilee Vice-Chairman David Murathe, who says that the recently launched BBI report will shape the 2022 succession politics, att...
US STRIKES IN SOMALIA KILL FOUR MILITANTS
The wreckage of a car that was destroyed during the car bomb attack is seen in Mogadishu on December 28, 2019. PHOTO | ABDIRAZAK HUSSEIN ...
FARU VICKY ATANGAZWA MRITHI WA KITI CHA FARU FAUSTA ‘BIBI WA KRETA’
Kufuatia kifo cha aliyekuwa faru mwenye umri mkubwa zaidi duniani, Fausta, Mamlaka ya eneo la Ngorongoro (NCAA), imemtangaza faru Vic...
UKRAINE: SERIKALI YABADILISHANA WAFUNGWA NA WAASI
Serikali ya Ukraine na waasi wanaotaka kujitenga mashariki mwa nchi ambao wanaoungwa mkono na Urusi wameanza kubadilishana wafungwa.
KAULI YA BASHIRU ALLY KUHUSU 'KAZI NA BATA'
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally, amewataka wananchi kupuuza kauli ya kufanya kazi na kula Bata ambayo imeratibiw...
WAZIRI MSTAAFU MKULO “SINA MPANGO WA KUGOMBEA UBUNGE”
Aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Jimbo la Kilosa, Morogoro Mustafa Mkulo ameshangazwa na baadhi ya watu kudai anataka kugombea ...
TCRA YAZIPIGA FAINI YA BILIONI 5.9 KAMPUNI ZA SIMU KWA KUSHINDWA KUTEKELEZA MASHARTI YA HUDUMA BORA
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imezipiga faini kampuni saba za simu baada ya kushindwa kutekeleza masharti ya leseni na kukidh...
MANCHESTER CITY MAMBO YAZIDI KUCHAHA UINGEREZA
Mbali na Raheem Sterling kupachika mabao mawili yalioipa uongozi Manchester City kwa muda wa dakika 81 hayakutosha kuwapa alama tatu ...
MATUKIO 10 YA MICHEZO YALIYOTIKISA MWAKA 2019
01. Kushiriki kwa Taifa Stars AFCON baada ya miaka 40.
DAKTARI, MUUGUZI KIZIMBANI KWA KUTAKATISHA FEDHA NA UTOAJI MIMBA
Daktari wa hospitali binafsi ya Dental Clinic iliyopo Sinza Mori Jijini Dar es salaam, Awadhi Juma (40), na muuguzi Kidawa Ramadhani,...
MURDERS THAT SHOCKED KENYA IN 2019
The late Ivy Wangechi, the sixth-year student at Moi University School of Medicine who was killed by an assailant outside the Moi Teachin...
TWO SECURITY OFFICERS KILLED, 7 INJURED IN WAJIR IED ATTACK
Two security officers have been while seven were seriously injured after their vehicle ran over a homemade bomb in Khorof Kharar, Waj...
GIRL PUNISHED FOR SPENDING NIGHT WITH BOYFRIEND HANGS SELF
A 16-year-old girl from Birunda in Trans Nzoia County on December 27, 2019 hanged herself after being punished by her brother for spendin...
WATAALAM WAELEZA MIPANGO YA KUPANDIKIZA KICHWA “ITAFUFUA WATU”
Wataalam, wanasema kuwa upasuaji wa kwanza wa kupandikiza kichwa duniani unaweza kufanywa ndani ya miaka 10.
MWANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA AMPA MIMBA WA KIDATO CHA 3
MWANAFUNZI wa kike (17) aliyekuwa anatarajia kuingia kidato cha tatu mwakani katika Shule ya Sekondari Bunambiyu, anadaiwa kupewa uja...
ISLAMIC STATE NIGERIA ‘LIMEWAKATA VICHWA MATEKA WAKRISTO’
Moja ya stori ya kuifahamu leo December 28, 2019 ni kundi la Islamic State limetoa video linayodai inaonyesha mauji ya Wakristo 11 ...
WAZIRI UMMY APIGA MARUFUKU WAJAWAZITO KUTOZWA HELA MWANANYAMALA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameitaka Hospitali ya Rufaa Mwananyamala Jijini DSM kuac...
KAKAMEGA: KUKU ALIYERIPOTIWA KUMUUA MTOTO WA MIEZI SITA AUAWA NA WAKAZI
Toboko Bushuru, babake mtoto huyo wa miezi sita na mamake Robai Bushuru. Mamake marehemu alidai mwanawe aliuawa na kuku. Picha: The Stand...
MBUNGE MASELE AENDELEA NA ZIARA JIMBONI KWAKE ASISITIZA KUIBADILI SHINYANGA KUWA MJI WA KISASA, AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUSIMAMIA NIDHAMU YA FEDHA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Stephen Masele akizungumza na wananchi wa vitongoji vya Mwanubi, Magunguli na Kolandoto, kwenye ...
JESHI LA POLISI LATOLEA UFAFANUZI KIFO CHA MMILIKI SHULE YA ZAMZAM
K amanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Gilles Murroto ametolea ufafanuzi juu ya kifo cha ustadhi Rashid Ally Mussa (62) ambaye ni Mkurugenz...
CAG MSTAAFU PROF. MUSSA ASSAD ATOLEA UFAFANUZI MADAI YA KUTEKWA
Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amekanusha taarifa zilizodai kuwa alikuwa ametekwa.
WILAYA YA MISSENYI YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA WALIMU 597
Halmashauri ya wilaya ya misenyi imeendelea kutoa elimu kwa jamii ikiwa ni pamoja na kuimarisha kamati simamizi za ulinzi na usalama z...
KENYA NAVY ACCUSED OF IGNORING DISTRESS CALLS FROM FISHERMEN WHO SPENT 17 DAYS IN OCEAN
Kenya Navy was also under fire when a mother and her daughter drowned at the Likoni Channel. Photo: KDF. Source: Facebook - The eig...
FAMILIA YANUSURIKA KIFO KISA MASHAMBA
Familia ya mzee Manyanda Luvubu inayoishi katika kijiji cha Kibuye kata ya Bukuba wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma imenusuruka kifo ma...
KENYA: ASKARI POLISI MBARONI KWA TUHUMA ZA BANGI
Maafisa wawili wa jeshi la polisi nchini Kenya walikamatwa siku ya siku kuu ya Krismasi Jumatano, Disemba 25, wakisafirisha kilo 20 z...
TAHARUKI YATANDA KATIKA KIJIJI CHA NGALANGA NJOMBE BAADA YA KUONEKANA KITU CHA AJABU
Baadhi ya wananchi katika Kijiji cha Ngalanga mkoani Njombe, wamejikuta kwenye hali ya taharuki baada ya kushuhudia, kitu cha ajabu amb...
HIKI HAPA KILICHO WAANGAMIZA AZAM FC
Kocha mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa kilichoipa ushindi mbele ya Azam FC ni kujituma kwa wachezaji wake mwanzo mwis...
RIPOTI: MTANDAO WA KUUZA WATOTO HATARI KAMA ‘WA UNGA’, WANA MBINU NA NGUVU
Serikali ya Armenia imeanzisha uchunguzi maalum kufuatia taarifa za kuwepo kwa mtandao mkubwa wa biashara ya watoto wachanga nchini h...
NDEGE ILIYOBEBA ABIRIA 100 YAANGUKA
Imethibitishwa kuwa Watu saba wamefariki huku bado ikiwa haijulikani kama kuna Mtu aliyenusurika baada ya Ndege iliyokuwa imebeba Wat...
MWANAMKE AMUUA SHEMEJI YAKE ALIYEMZABA KOFI KWENYE MAKALIO YAKE
Polisi eneo la Suna Magharibi, kaunti ya Migori nchini Kenya wanamsaka mwanamke mwenye umri wa makamo aliyetoweka baada ya kumdunga kisu ...
TETESI ZA SOKA ULAYA IJUMAA 27 DESEMBA, 2019: XHAKA, RABIOT, DRAXLER, GUEYE, VOLLAND, SANE, HAZARD
Chelsea inamtaka winga a PSG na Julian Draxler, 26, na kiungo wa kati wa Senegal mwenye umri wa miaka 30 Idrissa Gueye. (Star)