Meneja wa Manchester United Ole Gunnars Solskajer, amethibitisha kuwa beki wake kisiki Erick Bailly atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa...
WAWILI MBARONI KWA KUVALIA GWANDA ZA JWTZ
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watuhumiwa wawili waliofahamika kwa majina ya Frank Ayubu (22), kabila Muha askari wa k...
KUNDI LA BOKO HARAM LATUMIA DRONE DHIDI YA MAJESHI YA SERIKALI
Kundi la kigaidi la Boko Haram la nchini Nigeria latumia Drone katika shughuli zake dhidi ya oparesheni za kijeshi.
MTOTO WA MIAKA 8 AFARIKI KWA KUSUKUMWA KWENYE TRENI
Mtoto mwenye umri wa miaka 8 amefariki baada ya yeye na mama yake kusukumwa kwenye treni iliyokuwa imeanza kushika mwendo katika kitu...
MNAWAZALILISHA WANAWAKE KWA KUWATUKANA MATUSI KWA KUTUMIA VIUNGO VYAO - MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amewaonya watu wanaotumia matusi na kuongeza kuwa ni watu waliokosa malezi kwa namna tofauti tang...
ANAYEDAIWA KUMUUA NA KUMCHOMA MKEWE APANDISHWA KIZIMBANI
Mfanyabiashara Khamis Luwongo (Meshack), anayetuhumiwa kumuua mkewe na kumchoma kwa magunia mawili ya mkaa, amepandishwa kizimbani kwa ...
ROHO MTAKATIFU NDANI NA JUU YA MTU
Mungu tunaye mwabudu ni mmoja katika nafsi tatu yaani Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu na hao wote ni umoja kwani hizo n...
PICHA: KONGAMANO LA SIKU 7 KATIKA KANISA LA CGRA KAHAMA
Lile Kongamano kubwa la Neno la Mungu ambalo lilikuwa linasubiriwa kwa hamu tayari limeshaanza siku ya leo na litaendelea mpaka tarehe ...
RAIS MAGUFULI - KUIBA NI DHAMBI, MKIIBA MNAJIIBIA WENYEWE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa Mto Ruf...
LIVE: KUAGWA KWA ASKARI WATATU WALIOFARIKI JANA AJALINI
Ni tukio la kuagwa kwa miili ya askari watatu wa kanda maalum Rufiji, pamoja na Staff Officer mmoja wa mkoa wa kipolisi Rufiji (ACP), I...
MAHAKAMA YAKWAMA KUTAZAMA MKANDA WA VIDEO KESI YA VIONGOZI 9 WA CHADEMA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imekwama kuangalia video inayowahusu viongozi 9 wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mb...
NAIBU WAZIRI MAVUNDE AWATAKA VIJANA KUENZI MCHANGO WA BABA WA TAIFA
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulia Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde (Mb) amewataka vijana kuenzi mchango wa Ba...
HOMA YA DENGUE YAUA 13
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu Serikali ya Tanzania imesema homa ya dengue imeua watu 13 n...
INAONEKANA JANUARY ALIJIANDAA KUTENGULIWA UWAZIRI
Aprili 2019 , mbunge wa Bumbuli (CCM), January Makamba, alifanya mahojiano na Radio One na kueleza kuwa uongozi ni sawa na koti la k...
BABA ASIMULIA KULEA KULIVYO NA CHANGAMOTO
Ukimuangalia kwa haraka mtoto Asha (siyo jina halisi) unaweza kufikiri ana umri wa miezi sita kwa muonekano wake badala ya mwaka mmoj...
UZINDUZI WA MRADI WA UMEME WA MTO RUFIJI, WAMUIBUA MBUNGE DITOPILE
Mbunge wa vijana Taifa ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Nishati na Madini Mariam kwa niaba ya vijana amemshukuru Ra...
WAZIRI UMMY ATEMBELEWA NA BALOZI WA DENMARK
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametembelewa na Balozi wa Denmark nchini Tanzania aliyemali...
HIFADHI MPYA YA MWL. NYERERE KUKUZA UTALII SELOUS
Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameitaka wizara ya Maliasili na Utalii kutenganisha eneo la uwindaji Selou (Hunting block)...
SMZ YAJIDHATITI KUONDOKANA NA HOMA YA INI HADI KUFIKA 2030
Serikali kupitia Wizara ya Afya Zanzibar imeahidi kushirikiana na sekta mbalimbali za ndani na nje ya nchi ili kuhakikisha inafikia l...
ASASI ZA KIRAIA NA MASHIRIKA YA KIMATAIFA YATAKIWA KUJENGA MIUNDOMBINU YA ELIMU
Serikali imezitaka asasi za kiraia, taasisi za umma pamoja na mashirika ya kimataifa ambayo yanafanya kazi na serikali kwenye sekta y...
KILO 300 ZA MIRUNGI ZADAKWA DAR ES SALAAM
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, imefanikiwa kukamata kilo 300 za Dawa za Kulevya aina ya mirungi ambayo ...
NAHODHA MPYA WA YANGA HUYU HAPA, ARITHI KITAMBAA CHA AJIBU
PAPPY Tshishimbi, kiungo wa Yanga amekabidhiwa kitambaa cha unahodha ndani ya kikosi hicho kilichoweka kambi mkoani Morogoro.
KABLA LIGI KUU BARA HAIJAANZA, RATIBA YA LIGI KUU BARA KUFANYIWA MABADILIKO
WILFRED Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa wa ratiba ya Ligi Kuu Bara msimu u...
MWALIMU MSTAAFU ATAPELIWA SHILINGI MILIONI 60 ZA MAFAO
MOROGORO Mwalimu mstaafu mkazi wa Kiberege wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro ametapeliwa pesa taslimu Sh60 milioni ambazo ni fed...
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAMOSI 27 JULAI 2019
Real Madrid wana imani watafanikiwa kumsajili kiugo wa kati Mfaransa Paul Pogba kutoka Manchester United msimu ujao. (ESPN)
NEW ZEALAND: MWANAMUME ALIYEMSHIKA MVULANA NYETI ZAKE AFUTIWA MASHTAKA
Mwanamume wa miaka 79 raia wa China alifikishwa mbele ya mahakama moja nchini New Zealand kwa kumshika sehemu za siri za mtoto wa kiume...
RAIS WA TUNISIA CAID ESSEBSI AFARIKI DUNIA
Rais wa Tunisia, Beji Caid Essebsi amefariki dunia leo Alhamisi Julai 25, katika hospitali ya kijeshi mjini Tunis akiwa na umri wa m...
MAKAMU WA RAIS KUFUNGUA MAONESHO YA NANENANE KITAIFA 2019 MKOANI SIMIYU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Maonesho ya N...
ARSENAL YAZIDI KUSHUSHA VIFAA YAMSAJILI BEKI WA KATI
Klabu ya Arsenal imekamilisha usajili wa beki William Saliba kutoka klabu ya Saint-Etienne kwa mkataba wa muda mrefu.
BAADA YA KUTIMULIWA CAMEROON KLUIVERT APATA DILI BARCELONA
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Barcelona Patrick Kluivert, amerejea tena kwenye klabu hiyo kuwa Mkurugenzi wa academi ya klabu hi...
WAHAMIAJI WALIOKUWA WAKIELEKEA ULAYA WAREJESHWA
Walinzi wa pwani nchini Libya wamesema jana wamewakamata wahamiaji karibu 40 ambao walikuwa wanaelekea Ulaya nje ya pwani ya bahari y...
DC MPOGOLO AAPISHWA LEO, ATOA SHUKRANI KWA RAIS MAGUFULI
Mkuu mpya wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida, Bw Edward Mpogolo ameapishwa leo rasmi kuanza majukumu yake kama Mkuu wa Wilaya hiyo, k...
JAMAL MALINZI NA KATIBU WAKE SELESTINE MWESIGWA WAKUTWA NA KESI YA KUJIBU
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewakuta na kesi ya kujibu aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu(TFF), Jamal Malinzi na Katib...
MIZENGO PINDA AWAPONDA WANAOTAPATAPA KUSAKA URAIS 2020 KUPITIA CCM
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda amesema anasikia kuna mtu anatapatapa kutaka urais kwa tiketi ya CCM, kusisitiza kuwa kwa muundo wa ...
HALMASHAURI YA GEITA MJINI YATOA MKOPO WA BILIONI 1.6 KWA VIJANA, WANAWAKE NA WALEMAVU
Mbunge wa Geita mjini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu amesema Halmashauri ya mji wa Geita ha...
NEC YATANGAZA UCHAGUZI MDOGO KATA 13 ZA TANZANIA BARA
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa Kata 13 ambao utafanyika tarehe 17 Agosti 2019.
SERIKALI YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UKARABATI WA SHULE ALIYOSOMA BABA WA TAIFA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa, Joyce Ndalichako amekagua maendeleo ya ukarabati na upanuzi wa shule ya msingi Mwisen...
MAZUNGUMZO YA RAIS MAGUFULI, KENYATTA HAYA HAPA
Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amempigia Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta 'live' Ikulu katika hafla ya makabidhiano ya...
JANUARY MAKAMBA AKABIDHI OFISI
Pichani kushoto ni January makamba ambaye alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira akikabidhi ofisi kwa W...
MTENDAJI NA MGAMBO WANASWA NA TAKUKURU KWA RUSHWA
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma, Sosthenes Kibwengo, amewataka watendaji wa Kata mi...
RAIS MAGUFULI KUANDIKA BARUA RASMI KWA ASKARI WA KENYA
Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa ataandika barua rasmi ya Pongezi kwa Askari wa Kenya na kwenda kwa vyombo vya...
UJERUMANI, UFARANSA, UINGEREZA NA UHISPANIA ZAIJIA JUU ISRAEL
Ujerumani, Ufaransa, Uingereza na Uhispania zimekemea hatua ya Israel kubomoa nyumba za Wapalestina Mashariki mwa Yerusalem.
NAIBU WAZIRI AMTAKA KILA MTUMISHI WA UMMA KUSIMAMIA MIRADI YA SERIKALI
NJOMBE Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mwita Waitara,ameagiza kila mtumishi wa umma kote...
WAGUNDUZI WA UMEME NJOMBE KUSAIDIWA MITAMBO YA KISASA
Waziri wa nishati dkt.Medard kalemani ametoa maelekezo kwa shirika la umeme Tanzania Tanesco kuhakikisha linafikisha baadhi ya mitambo ...
WASHITAKIWA WENGINE WATANO RAIA WA KIGENI KUONGEZWA KESI YA KUTEKWA MO DEWJI
Upande wa mashtaka katika kesi ya kutekwa kwa mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘Mo’ umeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa hati ya ...
JESHI LA POLISI LAANZA UCHUNGUZI WA SAUTI ZINAZODAIWA ZA NAPEE, KINANA NA MAKAMBA
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema wanafanya uchunguzi wa sauti zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii, zinazodaiwa...