} });
 


Anaitwa Christina Mbilinyi, ni muimbaji wa Muziki wa Injili Tanzania ambaya anaendelea kufanya vizuri na kazi zake kama Nimeziona Baraka, My Dear, Kwa Ajili Yako na nyingine nyingi.


Ametuletea kazi yake hii mpya inaitwa MTAKUJA TU kazi ambayo ametikamilisha hivi karibuni.

Tumekusogezea hapa uweze kuisikiliza na kubarikiwa pamoja na maelfu wengine ambao wanaisikiliza kazi hii. Karibu sana Bofya PLAY hapo chini ubarikiwe na kazi hii.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top