TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAMOSI 31 AGOSTI, 2019
Mwenyekiti wa Crystal Palace Steve Parish amesema atamruhusu mshambuliaji wa Ivory Coast forward Wilfried Zaha, 26, kuondoka klabu h...
LAMINE AMPA KIBURI YONDANI
BEKI mkongwe wa Yanga, Kelvin Yondani amekubali kiwango cha Mghana, Lamine Moro huku akipata matumaini ya kufanya vizuri kwenye msimu h...
KATIBA MPYA KOREA KASKAZINI YAMPAISHA KIM JONG UN
BUNGE la Korea ya Kaskazini limepitisha mabadiliko ya kikatiba ya kumwinua zaidi kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong Un, kuwa mkuu wa nchi ...
AJIBU AMRAHISISHIA KAZI KAGERE
IBRAHIM Ajibu, nyota wa Simba aliyejiunga msimu huu akitokea Yanga ameweka wazi kuwa amejipanga kutoa asisti zaidi ya 17 alizotoa akiwa...
MAWAKILI WAJA NA HOJA TATU KUIOKOA NDEGE AFRIKA KUSINI
Wakili Mkuu Msaidizi wa Serikali Dk Ally Possi (katikati) akiwa na jopo lake la mawakili katika kesi ya kupinga kushikiliwa kwa ndege y...
VIONGOZI WATAKA UAMUZI MGUMU UCHUKULIWE KUSIMAMIA RASILIMALI
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa (kushoto) na Thabo Mbeki wa Afrika Kusini wakiwaongoza viongozi wengine baada ya kufungwa kwa mkutano wa siku...
WAKILI ADAI KABENDERA KAPOOZA AKIWA GEREZANI
WAKILI anayemtetea Mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera (39), Jebra Kambole, ameieleza mahakama kwamba afya ya mteja wa...
MTOTO WA MIAKA 9 AFARIKI KWA EBOLA UGANDA
KASESE, UGANDA MAOFISA nchini Uganda wamesema msichana wa miaka 9 kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo aliyethibitishwa ku...
WATU 5 WAFARIKI BAADA YA GARI LA DANGOTE KUGONGANA NA GARI DOGO RUFIJI MKOANI PWANI
Watu watano wamefariki baada ya Gari la Dangote lililokuwa limebeba malighafi ya kutengenezea saruji likielekea Mtwara kugongana na Gar...
KESI YA VIGOGO CHADEMA YAPIGWA TAREHE
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jana ilishindwa kuendelea na ushahidi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema...
MO DEWIJ AWAOMBA MSAMAHA MASHABIKI WA SIMBA
Muwekezaji wa simba SC Mohamed Dewij amefunguka na kuonyesha jinsi alivyoumizwa na matokeo mabaya ya timu ya Simba dhidi ya wapinzani...
WAFANYABIASHARA 300 KUTOKA UGANDA KUTUA TANZANIA
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania mapema mwanzoni mwa mwezi Septemba, ambapo atakutana na kufany...
MWENDESHA BODABODA ALIYEFARIKI KWA AJALI AZUA GUMZO KUACHA WAJANE 'Wake' 6 NA WATOTO 30
Siri nyingi hufichuka wakati ambapo binadamu anafariki kwani licha ya kuwa ni kinyume na itikadi kumuanika aliyeaga dunia, mambo mengin...
POLISI PWANI YAKAMATA SHEHENA YA VIPODOZI FEKI
JESHI la polisi mkoani Pwani, linamshikilia Albert Kiwia (45) mkazi wa Kimara Dar es salaam kwa kosa la kusafirisha shehena ya vipodozi...
IBADA YA IJUMAA 30 AUGUST, 2019 - KAZI ZA MUNGU
Bwana Yesu Asifiwe Mwana wa Mungu, ni imani yangu kuwa unaendelea kushangilia ukuu wa Mungu kwa yale makuu na ya ajabu anayoendelea kut...
VIRGIL VAN DIJK KAWABWAGA MESSI NA RONALDO
Beki wa kimataifa wa Uholanzi anayekipiga katika club ya Liverpool Virgil van Dijk leo ametangazwa kuwa mchezaji bora wa Ulaya.
IBADA YA ALHAMISI 29 AUGUST, 2019 (UPENYO KWENYE MAENEO YAKO YA MAISHA - SIFA ZA MUNGU WETU)
Bwana Yesu Asifiwe Mwana wa Mungu, ni imani yangu kuwa unaendelea kushangilia ukuu wa Mungu kwa yale makuu na ya ajabu anayoendelea kut...
TAARIFA MUHIMU KUTOKA JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM
Jeshi la Polisi kanda Maalum ya Dar es salaam mnamo tarehe 25/08/2019 majira ya tatu na nusu usiku huko maeneo ya Pugu, lilifanikiwa ku...
POLISI MBEYA WAZUNGUMZIA TUKIO LA MSAFARA WA MKUU WA WILAYA KUVAMIWA
Mkuu wa wilaya ya Kyela Claudi Kitta Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya Jeromi Ngowi, amesema jeshi hilo linaendelea na uchunguzi i...
AFUNGWA JELA MAISHA KWA KUNAJISI MTOTO KAHAMA
Mkazi wa kijiji cha Kakola wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Majaliwa Chrisant amehukumiwa kifungo cha Maisha jela na Mahakama ya wilay...
ATUPWA JELA MIAKA 60 KWA KUMBAKA NA KUMPA MIMBA MWANAFUNZI WA MIAKA 17 KAHAMA
Mkazi wa kijiji cha Izumba kata ya Ikinda katika halmashauri ya Msalala wilayani kahama mkoani Shinyanga Maneno Hungwi (19) amehukumiwa...
MSAFARA WA MKUU WA WILAYA WAPIGWA MAWE
(Picha hii haihusiani na tukio) Msafara wa wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama Wilaya ya Kyela umezuiwa na kundi la vijana waliova...
MAKONDA AIBUKA NA MKAKATI MWINGINE
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Agosti 29,2019 amezindua Mpango Mkakati wa Kutokomeza Wahamihaji haramu Mkoa wa Da...
AJIUA KWA KUNYWA SUMU BAADA YA KUMUUA MKEWE KISHA KUMLAZA KITANDANI KAGONGWA
Mwanaume aitwaye Paschal Clement Mahona (32) mkazi wa Iponya kata ya Kagongwa wilaya ya Kahama amejiua kwa kunywa sumu baada ya kumuua ...
22 WATUPWA JELA KWA KUFANYA BIASHARA YA NGONO 'UZEMBE NA UZURURAJI'
Mahakama ya Mwanzo Nunge manispaa ya Morogoro imewahukumu watu 22 kifungo cha miezi sita jela baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la uzem...
WAGANGA WAKUU WA MIKOA WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA VIJIJI KUHAKIKISHA KILA MWEZI WANAINGIZA KAYA MPYA 31 KATIKA CHF
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. NAIBU katibu mkuu ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)anayeshughulikia ...
WIZARA YA UCHUKUZI YAANZA KUKUSANYA MAONI YA WADAU KUJADILI RASIMU 8 ZA KANUNI ZA USAFIRISHAJI
Na.Faustine Gimu Galafoni, Dodoma Wizara ya ujenzi , uchukuzi na mawasiliano imeanza kukusanya maoni kutoka kwa wadau wa usafirish...
WAZIRI WA VIWANDA: SERIKALI IMEONDOA KODI KERO 54 KWA WAFANYABIASHARA
Waziri wa viwanda na biashara Innocent Bashungwa amesema serikali imefuta kodi kero 54 kwa wafanyabiashara pamoja na kupunguza mamlak...
WAZIRI LUKUVI AOKOA ARDHI YA AJUZA NA KUAMURU ALIPWE FIDIA YA SH. MILIONI 500 NDANI YA MIEZI MITATU
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, ametoa miezi mitatu kwa wavamizi 110 waliovamia eneo la Ajuza Nasi Murio...
UJUMBE WA BENKI YA DUNIA WAKUTANA NA MTENDAJI MKUU-MAHAKAMA
Wataalamu kutoka Benki ya Dunia ‘World Bank’ wapo nchini kwa lengo la kufanya tathmini ya maendeleo ya utekelezaji wa Mradi wa Mabores...
POLISI PWANI YAKAMATA MAGUNIA TISA YA BANGI
JESHI la Polisi mkoani Pwani linamshikilia dereva Francis Deogratias (30) mkazi wa Mwananyamala Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kusa...
HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, 2019 AWAMU YA PILI
Hii hapa orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano, 2019 Awamu ya Pili (Second Selection)
WALIOSAFIRISHA MADINI YA BILIONI 2 WALIPA FAINI YA MILIONI 341 KUKWEPA KIFUNGO GEREZANI
Madereva wawili na Wafanyabiashara wanne wa Madini ya Dhahahu wamenusurukika kwenda jela miaka 20, baada ya kulipa faini ya zaidi ya Sh...
WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, PROF. PALAMAGAMBA JOHN KABUDI ASHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA TICAD JIJINI YOKOHAMA, JAPAN
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi tarehe 27 Agosti 2019 ameshiriki Mkutano...
KATIBU MKUU CCM DKT. BASHIRU AMPONGEZA ASKARI ALIYEGOMA KUTUMIA SALAMU YA CCM
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amempongeza askari polisi wa mkoani Pwani ambaye siku za hivi karibuni alig...
JAPAN KUJADILI MSAADA KWA AFRIKA
Japan itakuwa mwenyeji wa mkutano wa maendeleo na viongozi wa Afrika wiki hii, ikitazamia kuimarisha uwepo wake barani humo na kutoa ...
BARABARA YA KISONGO BYPASS KUANZA UKARABATI RASMI
Halmashauri ya Jiji la Arusha limepata Fedha za nyongeza kiasi cha bilion 4.106 kwa ajili ya ujezi wa barabara ya kisongo Bypass yenye ...
SHIVYAWATA WAITAKA NEC KUWEKA MAZINGIRA RAFIKI KWA WALEMAVU
Na Annastazia Paul, Shinyanga Shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu SHIVYAWATA Mkoa wa Shinyanga limeitaka Tume ya uchaguzi NEC ku...
JELA MIAKA 30 JELA KWA KUBAKA MWANAFUNZI MWENYE UMRI WA MIAKA 17 NA KUMPA MIMBA
Mkazi wa kijiji cha Mpunze Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Ramadhani Mohamedi (23) amekuhumiwa kwenda jela miak...
KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA NOTI BANDIA
Mkazi wa Magomeni Mapipa Mariam Zuberi (21), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kwa tuhuma za kukutwa na ...
DPP AMFUNGULIA MASHTAKA UHUJUMU UCHUMI MTUHUMIWA UBAKAJI, ULAWITI
MKURUGENZI wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga, amesema ofisi yake imemfungulia mashtaka ya uhujumu uchumi, Ahmed Abdulkarim Mohamed k...
BARA LA AFRIKA LATAKA KUWEZESHWA KUJITEGEMEA
Nchi za Bara la Afrika, Tanzania ikiwemo zimesema wakati umefika sasa kwa Nchi zilizoendelea kuisaidia Afrika kujitegemea na kuliwezesh...