Wachimbaji wawili wa Dhahabu katika kijiji cha Izumbi, Sangamba Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya, wamefariki dunia baada ya kufukiwa na ki...
Divine Radio Live
TANESCO BABATI YAMNASA FUNDI FEKI ALIYEMKATIA MTEJA UMEME
Tanesco wilaya ya Babati mkoani Manyara wamefanikiwa kumkamata kijana mmoja aliejitambilisha kwa jina la John Mauki (29) aliejifanya fu...
KUELEKEA UCHAGUZI: VIONGOZI WA CCM WAFUNDWA JUU YA RUSHWA
Na Nyamiti Alphonce Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Mwaka huu na Uchaguzi mkuu mwaka 2020 chama cha mapinduzi wilaya ya Kaha...
BREAKING NEWS: LAMPARD KOCHA MKUU CHELSEA
FRANK Lampard amesaini kandarasi ya miaka mitatu kuwa meneja mpya wa klabu ya Chelsea akichukua mikoba ya Maurizio Sarri aliyejiunga na...
KMC WATIA TIMU RWANDA, TAYARI KUIVAA TP MAZEMBE
KIKOSI cha Manispaa ya Kinondoni 'KMC' leo kimeripoti salama nchini Rwanda kwa ajili ya michuano ya kombe la Kagame.
RASMI IBRAHIM AJIBU MIGOMBA AMEREJEA SIMBA SC KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI
KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Ibrahim Ajibu Migomba amesaini mkataba wa miaka miwili kurejea klabu yake ya zamani, Simb...
WABRAZIL SIMBA WAPIGA TIZI LA SAA MBILI DAR
WACHEZAJI watatu raia wa Brazil waliosajiliwa na Simba hivi karibuni, tayari wameanza mazoezi jijini Dar huku kikosi kamili cha Simba k...
AZAM FC WAELEKEA RWANDA KUSHIRIKI KAGAME CUP
Kikosi cha Azam FC kimeanza safari asubuhi hii kuelekea nchini Rwanda na ndege ya Shirika la RwandaAir, tayari kuanza kutetea taji la m...
CAG ATOA SIRI YA KUDHIBITI RUSHWA
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Asad, amesema rushwa katika sekta mbalimbali za umma nchini haitawe...
MAKAHABA WAMLILIA RAIS AWASAIDIE, WADAI SASA BIASHARA NGUMU
Kundi la makahaba kutoka eneo la Gilgil Kaunti ya Nakuru nchini Kenya limejitokeza na kuomba usaidizi kutoka kwa serikali. Wakiongea Ju...
WANNE WAFARIKI BAADA YA BOTI KUZAMA
Miili ya watu nane imepatikana kutoka kwenye ziwa baada ya mashua iliyokuwa imebeba zaidi ya watu 50 kuzama mjini Haripur katika mkoa...
BANGLADESH: WANAHARAKATI TISA WA UPINZANI WAHUKUMIWA KIFO
Mahakama nchini Bangladesh imewahukumu kifo wanaharakati tisa wa upinzani kuhusiana na shambulizi la treni iliyombeba waziri mkuu wa sa...
TAEC YAONYA MATUMIZI YA SIMU ILIYOKWISHA CHAJI
Watanzania wametakiwa kutotumia simu ikiwa imeisha chaji au ikiwa inachajiwa, kwani husababisha madhara ikiwamo kusababisha kichwa kuum...
WEMA SEPETU AACHIWA NA KUKAMATWA TENA, AZUA KIZAAZAA MAHAKAMANI
Msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu amezua kizaa zaa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akigoma kukamatwa na polisi baada ya maha...
WAJAWAZITO ZANZIBAR WAPEWA SOMO MADHARA MITISHAMBA, WAKUNGA WA JADI
MUUGUZI Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Kivunge, Mkoa wa Kaskazini Unguja, Mwanamvua Said Nassor, amesema wajawazito kukimbilia kwa waku...
PROFESA TIBAIJUKA ATANGAZA KUTOGOMBE TENA UBUNGE
MBUNGE wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka (CCM), amesema hatagombea tena nafasi ya ubunge Uchaguzi Mkuu ujao.
JKT YAKANUSHA TAARIFA ZA VIJANA WA JKT KUNDI LA KIKWETE NA OPERESHENI MAGUFULI KUKUSANYIKA KAMBI YA JKT MGULANI
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linapenda kukanusha taarifa zinazoendelea kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii, zinazoelezea kuhitajika ...
MAKAMU WA RAIS KUMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI MKUTANO WA 12 WA DHARURA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI UMOJA WA AFRIKA
KOREA KASKAZINI: MAREKANI BADO INAENDELEZA 'UHASAMA'
Korea Kaskazini imeilaumu Marekani kwa kuendeleza "uhasama", licha ya nchi hizo mbili kukubaliana kurejelea mazungumzo ya nuk...
DAWA YA NGUVU ZA KIKE SOKONI SEPTEMBER, MADAKTARI WAZUNGUMZIA UKUBWA WA TATIZO NCHINI
Dawa ya nguvu za kike SHIRIKA linalohusika na udhibiti wa chakula na dawa nchini Marekani (FDA), limetoa dawa ya kutibu tatizo la uk...
WAZIRI MAJALIWA AWAKARIBISHA WAVIETNAM KUNUNUA KOROSHO, KUJENGA VIWANDA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Vietnam nchini, Mhe. Nguyen Doanh WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na ku...
RAIS KENYATTA AFANYA ZIARA BINAFSI NCHINI TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kufanya ziara binafsi ya siku mbili hapa nchini itakayoanza siku ya Ijumaa Julai...