Jeshi la Polisi Wilaya ya Lindi linamshikilia kwa mahojiano mkazi waa Kijiji cha Rondo Ntene, Aisha Mshamu (65) kwa tuhuma za kumuuwa m...
Divine Radio Live
MTAKA ATAKA MAFUNDI WANAOTOKA KWENYE JAMII KUTAMBULIWA
Na Daniel Manyanga, Simiyu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka ametoa maagizo ya kuwatambua mafundi wote wanaotoka kwenye jamii w...
RC MTAKA ATAKA MAKUSANYO YA PAMBA YATUMIKE KULIPA MADENI YA MADIWANI
Na Daniel Manyanga, Simiyu Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka ameitaka halmshauri ya wilaya ya Itilima iliyopo mkoani hapo kuhaki...
CHINA YAITAKA UINGEREZA KUACHA KUINGILIA MASUALA YA NDANI YA HONG KONG
Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Uingereza Jeremy Hunt, ameahidi kuendelea kuishinikiza China kuhusu njia za nguvu inazotumia d...
NEC YATANGAZA UCHAGUZI JIMBO LA TUNDU LISSU
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza uchaguzi mdogo katika Jimbo la Singida Mashariki, mkoani Singida utakaofanyika Julai 3...
AJIBU KUFURU SIMBA, KULIPWA TSH.MIL 1,250,000 KWA WIKI
LANCHI ya juzi haikuwa na raha kwa mashabiki wa Yanga, baada ya Simba kumtambulisha rasmi Ibrahim Ajibu kwamba amerejea Msimbazi.
ITUMBI AFUNGUKA MAZITO NJAMA ZA KUMUUA RUTO
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Kidijitali katika ikulu ya Kenya, Dennis Itumbi ambaye alikamatwa juzi na polisi kuhusiana na ...
MWALIMU ATAKA KUJIUA KISA UGUMU WA MAISHA
Mwalimu wa Shule ya Msingi Rung'abure iliyopo Serengeti mkoani Mara, Godfrey Tarimo amejikata na chupa eneo lake la shingo katika j...
AZAM FC YAMSAINISHA MKATABA WA MIAKA MIWILI MSHAMBULIAJI ALIYEWIKA KAGERA SUGAR MSIMU ULIOPITA
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' akimkabidhi jezi Abalkassim Suleiman Khamis baada ya kusaini MABINGWA wa Af...
ROSE MUHANDO MAJANGA TENA
LICHA ya hivi karibuni kusaidiwa na baadhi ya waimbaji wa Injili wa nchini Kenya alipokuwa anaumwa, habari za ndani zinadai kwamba kwa ...
JPM KUZINDUA HIFADHI YA TAIFA YA BURIGI WILAYANI CHATO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuzindua rasmi hifadhi ya Taifa ya Burigi iliyopo wilaya...
JOGOO ABURUZWA MAHAKAMANI
Jogoo mmoja nchini Ufaransa ambaye mmiliki wake amempatia jina la Maurice, ameburuzwa mahakamani na majirani kwa kuwakera majirani kwa...
WAZIRI LUGOLA: MAKANISA NA MISIKITI ITAKAYOGOMA KUHAKIKIWA ITACHUKULIWA HATUA KALI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amesema Makanisa na Misikiti nchini ambayo itashindwa kwenda kufanyiwa uhakiki itachuk...