} });
 
MAKAMBA ATOA NENO KUHUSU MRADI WA MAGARI YA UMEME
MAKAMBA ATOA NENO KUHUSU MRADI WA MAGARI YA UMEME

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba amesema ni lazima athari za usafiri wa magari ya umeme...

Read more » Soma zaidi »

MALI ZA FREEMAN MBOWE ZAPIGWA MNADA
MALI ZA FREEMAN MBOWE ZAPIGWA MNADA

Mnada wa kuuza Vifaa na samani mbalimbali vya Kampuni ya Mbowe Limited, inayomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, umeonekan...

Read more » Soma zaidi »

AMBER RUTTY AFUNGUKA BAADA YA VIDEO YAKE CHAFU KUSAMBAA JANA
AMBER RUTTY AFUNGUKA BAADA YA VIDEO YAKE CHAFU KUSAMBAA JANA

Binti aliyejipatia umarufu baada ya kuvuja kwa picha na video za utupu mitandaoni, Amber Rutty ameandika ujumbe mzito, na kuwachana wal...

Read more » Soma zaidi »

ABANWA KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MENO YA TEMBO
ABANWA KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MENO YA TEMBO

POLISI mkoani Katavi wanamshikilia  mkazi wa  Kijiji cha Songambele wilayani Tanganyika kwa tuhuma za kukutwa na meno manne ya tembo ...

Read more » Soma zaidi »

WANANCHI WARIDHISHWA NA UTATUZI WA CHANGAMOTO
WANANCHI WARIDHISHWA NA UTATUZI WA CHANGAMOTO

Na Neema Paul, Kahama Wananchi wa Mtaa wa Mlimani Kata ya Mhungula Wilayani kahama Mkoani Shinyanga wameridhishwa  na hatua za uongoz...

Read more » Soma zaidi »

RC MAHENGE ATOA AGIZO HALMASHAURI YA MPWAPWA
RC MAHENGE ATOA AGIZO HALMASHAURI YA MPWAPWA

Na Faustine Gimu Galafoni, Dodoma Mkuu  wa Mkoa wa Dodoma dokta BINILITH MAHENGE ameagiza  halmashauri  ya Mpwapwa kuhakikisha if...

Read more » Soma zaidi »

ABURUZWA MAHAKAMANI KWA MAUWAJI YA MKE WAKE
ABURUZWA MAHAKAMANI KWA MAUWAJI YA MKE WAKE

Na Daniel Manyanga, Simiyu Mtu mmoja amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mfawidhi wilayani Maswa mkoa wa Simiyu kwa tuhum...

Read more » Soma zaidi »

PRESHA YA MENEJA MPYA WA CHELSEA FRANK LAMPARD IPO NAMNA HII
PRESHA YA MENEJA MPYA WA CHELSEA FRANK LAMPARD IPO NAMNA HII

MENEJA mpya wa Chelsea, Frank Lampard amesema kuwa anatambua presha kubwa ya bosi wa kikosi hicho, Roman Abramovich hasa timu inaposh...

Read more » Soma zaidi »

ASKARI AJIUA KISA MKWEWE
ASKARI AJIUA KISA MKWEWE

Inasikitisha! Askari wa Kampuni ya Ulinzi ya Setembo, Rajabu Athumani (60), anadaiwa kujiua kwa kujinyonga, kisa kikidaiwa ni mauaji ya...

Read more » Soma zaidi »

KIAPO NDOA YA PILIPILI CHATIKISA, MWENYEWE AFURAHIA TUZO
KIAPO NDOA YA PILIPILI CHATIKISA, MWENYEWE AFURAHIA TUZO

KITENDO cha mchekeshaji nyota Bongo, Emmanuel Mathias ‘Mc Pilipili’, kubadilisha kiapo cha ndoa aliyoifunga hivi karibuni jijini Dar ...

Read more » Soma zaidi »

PROF. MBARAWA AKABIDHI MRADI WA MAJI KWA MAMLAKA YA MAJI MWANZA
PROF. MBARAWA AKABIDHI MRADI WA MAJI KWA MAMLAKA YA MAJI MWANZA

Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa amekabidhi ujenzi wa mradi wa maji wa Shilima Wilayani Kwimba kwa Mamlaka ya Maji Mwanza (MWAU...

Read more » Soma zaidi »

WIZARA YA ARDHI YAANZA KUSAKA WADAIWA SUGU KODI YA PANGO DAR
WIZARA YA ARDHI YAANZA KUSAKA WADAIWA SUGU KODI YA PANGO DAR

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt Angeline Mabula ameanza operesheni maalum ya kuzibana Taasisi ambazo ni wadaiw...

Read more » Soma zaidi »

KAMPUNI YA UJENZI KUTOKA UTURUKI IPO TAYARI KUJENGA BANDARI YA KISASA VISIWANI ZANZIBAR
KAMPUNI YA UJENZI KUTOKA UTURUKI IPO TAYARI KUJENGA BANDARI YA KISASA VISIWANI ZANZIBAR

Kampuni ya Kimataifa ya inayojishughulisha na Miundombinu ya Ujenzi wa Viwanja vya Ndege, Gati pamoja na Nyumba ya OZUAYDIN kutoka Nchi...

Read more » Soma zaidi »

DR. SHEIN KUWA MGENI RASMI TAMASHA LA MZANZIBAR
DR. SHEIN KUWA MGENI RASMI TAMASHA LA MZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohammed Shein anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa tamasha la...

Read more » Soma zaidi »

RAIS KENYATTA AMJULIA HALI MAMA MZAZI WA RAIS MAGUFULI
RAIS KENYATTA AMJULIA HALI MAMA MZAZI WA RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakimjulia hali Mama m...

Read more » Soma zaidi »

 NAIBU WAZIRI MGUMBA: SERIKALI IMETEKELEZA MAJUKUMU YA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2015
NAIBU WAZIRI MGUMBA: SERIKALI IMETEKELEZA MAJUKUMU YA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2015

Naibu  Waziri wa Kilimo Omary Mgumba amewataka wananchi kutambua kuwa serikali ya awamu ya tano chini, Rais Magufuli imefanya vizuri ...

Read more » Soma zaidi »

KARIBU SHALOM AUTOMOBILE SERVICE NA SHALOM SPARE PARTS
KARIBU SHALOM AUTOMOBILE SERVICE NA SHALOM SPARE PARTS

JE, UNAKUTANA NA CHANGAMOTO KATIKA CHOMBO CHAKO CHA USAFIRI NA HAUJAJUA NI WAPI PA KUPATA SHULUHISHO UWAPO MJINI KAHAMA?

Read more » Soma zaidi »

BASATA WATOA TAMKO BAADA YA PICHA ZA AMBER RUTTY KUVUJA TENA
BASATA WATOA TAMKO BAADA YA PICHA ZA AMBER RUTTY KUVUJA TENA

Read more » Soma zaidi »

WAZEE WA CHADEMA WAOMBA KUKUTANA NA RAIS JOHN MAGUFULI
WAZEE WA CHADEMA WAOMBA KUKUTANA NA RAIS JOHN MAGUFULI

Baraza la Wazee Chadema limesema Rais Dk. John Magufuli anapaswa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani kama alivyofanya kwa viong...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO 06 JULAI, 2019
MAGAZETI YA LEO 06 JULAI, 2019

Read more » Soma zaidi »

KOCHA WA SENEGAL AWAPIGIA SALUTI UGANDA
KOCHA WA SENEGAL AWAPIGIA SALUTI UGANDA

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Senegal, Aliou Cisse amesema kuwa licha ya ushindi walioupata jana katika mchezo wao dhidi ya Uganda k...

Read more » Soma zaidi »

RAIA WATATU WA KIGENI WANASWA WAKISAFIRISHA MADINI
RAIA WATATU WA KIGENI WANASWA WAKISAFIRISHA MADINI

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu watatu raia wa kigeni kwa kosa la kusafirisha madini aina ya dhahabu bila kuwa na kib...

Read more » Soma zaidi »

APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUBAKA, KULAWITI MTOTO WA MIAKA 9
APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUBAKA, KULAWITI MTOTO WA MIAKA 9

MKAZI  wa Kimara Korongwe Jumanne Kunambi (27) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, akikabiliwa na mashi...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI MAJALIWA: VIONGOZI WA DINI IMARISHENI MALEZI KWA VIJANA
WAZIRI MAJALIWA: VIONGOZI WA DINI IMARISHENI MALEZI KWA VIJANA

Viongozi wa dini nchini wametakiwa kuendelea kuimarisha malezi na mafundisho ya kiroho kwa vijana ili kuepusha mmomonyoko wa maadil...

Read more » Soma zaidi »

MKE ASEMA MUMEWE HAYUKO SAWA BAADA YA KUTEKWA
MKE ASEMA MUMEWE HAYUKO SAWA BAADA YA KUTEKWA

MKE wa mfanyabiashara Raphael Ongangi raia wa Kenya, aliyedaiwa kutekwa wiki iliyopita, Veronica Kundya amesema licha ya mumewe kupat...

Read more » Soma zaidi »

MKANDARASI ANUSURIKA KUSUKUMWA NDANI
MKANDARASI ANUSURIKA KUSUKUMWA NDANI

Na Alphonce Nyamiti, Kahama Mkandarasi wa mradi wa maji kutokea kata ya Kagongwa kwenda Isaka zilizopo wilayani Kahama mkoani ...

Read more » Soma zaidi »
 
Top