Kiungo mkabaji, Moussa Hadji Mosi (kulia) amejiunga na Kagera Sugar kutoka Leslierres ya Burundi KIUNGO mkabaji Moussa Hadji Mosi am...
Divine Radio Live
TANZIA: GWIJI WA SOKA AFRIKA MASHARIKI AFARIKI DUNIA
Wadau wa soka Afrika Mashariki leo wameshtukizwa na kifo cha gwiji wa soka nchini Kenya Mzee Joe Kadenge ambaye amefariki dunia akiwa...
UGANDA WAFANIKIWA KUDHIBITI EBOLA
Wizara ya afya ya nchini Uganda imedhibiti kuenea kwa ugonjwa hatari wa Ebola katika wilaya ya Kasese.
POLISI DODOMA WAMUUA JAMBAZI SUGU
Jeshi la polisi mkoani Dodoma limefanikiwa kumuua mtuhumiwa sugu wa ujambazi, Sostenes Muganyizi akiwa na bastola ya serikali iliyokuwa...
UKWELI KUKHUSU KOCHA MUNIKE KUTIMULIWA TAIFA STARS
Kuliripotiwa kuwa kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Emmanuel Amunike amejihudhulu nafadi yake ya ukocha baada ya k...
UJENZI WA OFISI ZA UTHIBITI UBORA WA SHULE WAANZA KWA KASI, NAIBU WAZIRI ATOA NENO
Naibu Waziri Ole Nasha afanya ziara kukagua asisitiza viwango katika utekelezaji wa mradi huo.
AZAM FC WAANZ VIZURI KAGAME CUP
Mabingwa watetezi Azam FC wameanza vyema michuano ya CECAFA Kagame Cup kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Mukura Victory ya Rwanda.
YANGA WAPATA MRITHI WA GADIEL
BAADA ya beki Gadiel Michael kuendelea kuwapotezea Yanga kuhusu kusaini mkataba mpya, klabu hiyo imeachana na naye na sasa ipo kwen...
WANYAMA AMKARIBISHA SAMATTA EPL
KIUNGO wa kimataifa wa Kenya , Victor Wanyama amemkaribisha mshambuliaji Mbwana Samatta kukipiga LigI Kuu ya England msimu ujao.
CALIFORNIA YAKUMBWA NA TETEMEKO KUBWA KUWAHI KUTOKEA NDANI YA MIAKA 20
Andy Randolph na mtoto wake William wakiwa wamesimama kwa ajili ya kuchukua picha ya barabara iliyopasuka kutokana na tetemeko kubwa la a...
COPA AMERICA: LIONEL MESSI APIGWA KADI NYEKUNDU YA PILI KATIKA MAISHA YAKE YA SOKA, AGOMA KUCHUKUA MEDALI YA MSHINDI WA TATU, AELEZA SABABU
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Argentina ambaye pia ndiye nahodha wa kikosi hicho, Lionel Messi jana usiku amepata kadi nyekundu ya pili ...
ANZA KUISHI KWA AJILI YA MAONO YAKO
Pasipo maono, watu huacha kujizuia; Mithali 29:18 Je, ni ndoto ipi Mungu ameweka moyoni mwako? Siulizi ikiwa una ndoto – Najua ipo,...
JIFUNZE KUSAMEHE NA KUSAHAU
JIFUNZE KUSAMEHE NA KUSAHAU Tuna uhakika ya kwamba, Roho Mtakatifu anakuongoza kusoma somo hili kwa makusudi kamili.
WACONGO WAMUONDOA ULIMWENGU KWA WAARABU
IMEELEZWa kuwa Klabu ya aS Vita ya Dr Congo imekomaa na mpango wake wa kutaka kumsajili mshambuliaji wa JS Saoura ya algeria, Thomas ...
HALMASHAURI KUU CCM NJOMBE YATOA MAAGIZO HAYA KWA SERIKALI
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Njombe imetoa maelekezo kwa mkuu wa mkoa wa Njombe na Mkuu wa Wilaya ya Njombe kuk...
WAZIRI KAMWELWE AZINDUA TRENI YA MAJARIBIO SGR
Serikali imeanza mchakato wa ununuzi wa vichwa 22 vya treni, mabehewa 1,430 ya mizigo na Mabehewa 60 ya Abiria vitakavyotumika kwenye u...
KIGWANGALLAH AMPA MAKAVU JANUARY MAKAMBA...."NI DHARAU NA KUJIONESHA TU"
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla ameonesha kutoridhishwa na kauli ya Waziri wa Mazingira, January Makamba akiielez...
MACRON AMUONYA ROUHANI KWA MADHARA YA KUDHOOFISHA MAKUBALINO YA NYUKLIA
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amemuonya mwenzake wa Iran Hassan Rouhani, kwamba ana wasiwasi mkubwa kuhusu kuendelea kudhoofishwa ...
MFAHAMU BABA WA WATOTO 38 MWENYE MIAKA 35 NA KAMPUNI YA KUKODISHA NDUGU
Mwanaume mmoja raia wa Japan mwenye umri wa miaka 35 anajitambulisha kuwa baba wa watoto 38 na kuweka rekodi ya kuwa baba wa watoto w...
DOWNLOAND APPLICATION YA DIVINE RADIO FM PLAY STORE
Bwana Yesu Asifiwe mwana wa Mungu, habari njema ni kwamba sasa Divine Radio FM tuna Application Play Store, unaweza ukaipakua/ download n...
CAMEROON, MISRI ZAAGA MICHUANO AFCON
Mabingwa watetezi Cameroon na wenyeji Misri wameyaaga mashindano baada ya kutolewa kwenye siku ya pili ya hatua ya mtoano.
DENI LA BIL. 1 LAZIDI KUMTAFUNA MBOWE, MALI ZAKE ZAPIGWA MNADA
Mnada wa kuuza Vifaa na samani mbalimbali vya Kampuni ya Mbowe Limited, inayomilikiwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maende...
POLISI WANAOSHIRIKIANA NA MAFISADI KUDHULUMU ARDHI YA WANANCHI MASKINI, DAWA YAO IMEIVA – WAZIRI LUGOLA
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema baadhi ya polisi wasiokuwa waaminifu nchini wanaoshirikiana na mafisadi kudhulum...
PROF.MBARAWA KUZIVUNJA BODI ZA MAMLAKA YA MAJI NA KUWAONDOA KATIKA NYAZIFA WAKURUGENZI WAZEMBE
Serikali imesema haitasita kuzivunja Bodi za Usimamizi wa Maji na kuwaondoa katika nyazifa, Wakurugenzi wa Mamkala hizo watakaobainik...