Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla, amemuomba msamaha Waziri wa Mazingira, Mhe. Januari Makamba baada ya mvutano wal...
MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAONGEZEKA HADI ASILIMIA 3.7% KUTOKA ASILIMIA 3.5%.
Na Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia Mwezi Juni,2019 umeongezeka hadi asilimia 3.7% ...
WAFANYAKAZI AZAM MEDIA WAPATA AJALI WAKIELEKEA CHATO
Wafanyakazi watano wa kampuni ya Azam Media wamefariki dunia leo Jumatatu Julai 8, 2019 katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Shel...
TFF YAMFUNGASHIA VIRAGO AMUNIKE
Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini Tanzania (TFF) limetangaza kusitisha mkataba na kocha wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike.
WATU SABA WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI ILIYOTOKEA SINGIDA
Watu 7 wamefariki dunia na watatu wamejeruhiwa, katika ajali iliyotokea eneo la Malendi Iramba mkoani Singida.
TACAIDS WATAJA UMRI HATARI VIJANA KUPATA VVU
MKURUGENZI Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids), Dk. Leonard Maboko, amesema sababu za vijana kuongezeka kwenye ma...
KANGI: MABASI RUKSA KUTEMBEA SAA 24
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Namibu, Kata ya Neruma, Wilaya ya Bunda mkoani Mara...
BRAZIL YATWAA KOMBE LA COPA AMERIKA 2019
Brazil yatwaa ubingwa wa kombe la Copa America 2019 ikiwa ni mara ya 9 kuchukua ubingwa huo. Brazil wameichapa Peru goli 3-1 kwenye mch...