Na William Henry, Tabora Wakazi wa kata ya Malolo wilayani Tabora wameitaka serikali kuziondoa taa za barabara kuu ya Tabora,Urambo am...
MAHAKAMA INAYOTEMBEA YAZINDULIWA MWANZA
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imezindua mahakama inayotembea (Mobile Court) ambayo itatoa huduma katika maeneo ya Buswelu, Igoma na Bu...
SERIKALI YAWEKA NGUVU KUPAMBANA NA RUSHWA NCHINI
Serikali imesema imeweka nguvu na msisitizo mkubwa katika kupambana na rushwa, kwani rushwa imekuwa ikirudisha sana juhudi za kupamba...
POLISI SHINYANGA WABORESHA MAKAZI KWA KUJENGA NYUMBA ZA KISASA
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, amewataka wananchi pamoja na Wadau wengine welevu kuendelea kushirikiana na Jeshi hilo husus...
JARIBIO LA MAPINDUZI LAZIMWA SUDAN
Baraza la Mpito la kijeshi nchini Sudan, limetangaza kuzima jaribio la mapinduzi lilotaka kufanywa na wanajeshi wasio watiifu.
SIMBA QUEENS YAKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KUELEKEA UJERUMANI
Timu ya Wanawake (Simba Queens) leo imekabidhiwa bendera ya Taifa kuelekea nchini Ujerumani ambako itafanya ziara ya kisoka ya wiki mb...
NIGERIA YAKUMBWA NA MLIPUKO WA UGONJWA WA KIPINDUPINDU
Mlipuko wa kipindupindu uliotokea katika jimbo la Adamawa nchini Nigeria umesababisha vifo vya watu 3 na maambukizi kwa watu wapatao 24...
WATU WASIO NA VIBALI VYA KUISHI MAREKANI KUANZA KUSAKWA
Utawala wa Rais Donald Trump unapanga kuanza utekelezaji wa operesheni ya nchi nzima inayolenga familia za wahamiaji, licha ya kuping...
PETER CROUCH ATANGAZA KUSTAAFU KUCHEZA SOKA
Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza Peter Crouch ametangaza kustaafu kucheza soka akiwa na miaka 38.
KAMISHNA MHIFADHI WA MISITU AWASILI MAKAO MAKUU YATFS DAR
Kwa mara ya kwanza tangu avishwe cheo cha Kamishna Mhifadhi wa Misitu na Dkt Hamisi Kigwangalla, Waziri wa Maliasili na Utalii na hatim...
WAZIRI JAFO ATOBOA SIRI SHULE ZA SERIKALI KUFANYA VIZURI
Na Faustine Gimu Galafoni, Dodoma WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)SELEMANI JAFO ameele...
TFF YAJIBU TUHUMA ZA KUKIMBIA KIKAO NA WAZIRI DK. HARRISON MWAKYEMBE
"Tumesikia taarifa kupitia vyombo vya habari ya kuwa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF), limeshindwa kuhudhuria kikao kilichoitish...
“ASKARI HAWA WANATUHARIBIA, RPC CHUKUA HATUA DHIDI YAO”-NAIBU WAZIRI MASAUNI
Wakazi wa Kijiji cha Kangeme Kata ya Ulowa Wilayani Ushetu Mkoani Shinyanga wamelalamikia baadhi ya Askari Polisi kuvujisha siri za taa...
WAKUU WA MIKOA WALIOPEWA PONGEZI ZA UFAULU WA WANAFUNZI, MWANRI JE?
Waziri wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Seleman Jafo amezungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake Dodoma leo July 12, 2019 na kuwaeleza ...
USAJILI WA WACHEZAJI KWA TIMU ZA LIGI KUU WASUASUA
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF limevitaka vilabu vinavyoshiriki Ligi kuu Tanzania bara kufanya usajili kwa wakati kabla ya...
TARIME KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI KUTOKA ZIWA VICTORIA
Wilaya Tarime mkoani Mara ni miongoni Mwa Mji 29 inayoenda kunufaika na mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria unaofadhilia na Bebki ya T...
WIZARA YA MADINI KUFUTA LESENI AMBAZO HAZIFANYI KAZI
Wizara ya Madini nchini imesema itaendelea kuzifuta leseni zote za utafiti ambazo hazifanyiwi kazi na zile ambazo hazilipiwi na kuw...
DC KISWAGA :WADAU ENDELEENI KULETA VITENDEA KAZI SIMIYU
Na Daniel Manyanga, Simiyu Mkuu wa wilaya ya Bariadi Festo Kiswaga amewaomba wadau wa maendeleo waliopo mkoani Simiyu kuendelea ku...
KIPINDUPINDU CHAUA WATU 93 NCHINI CAMEROON
Idadi ya vifo kutokana na kuzuka kwa ugonjwa wa kipindupindu katika mikoa ya kaskazini mwa Cameroon imeongezeka hadi 93 kutoka 48 sik...
PSG KUMPIGA FAINI NEYMAR ML. 972
PARIS, UFARANSA UONGOZI wa mabingwa wa Ligi Kuu nchini Ufaransa, PSG, unaripotiwa kuwa kwenye mipango ya kutaka kumpiga faini msh...
LAMPARD AFURAHISHWA NA CHIPUKIZI CHELSEA
DUBLIN, IRELAND KOCHA mpya wa timu ya Chelsea, Frank Lampard, amedai kuvutiwa na kiwango walicho kionesha wachezaji wake chipukiz...
RAY "SIHANGAIKII UMAARUFU"
MSANII wa filamu nchini, Vincent Kigosi ‘Ray’ amesema anacho kiangalia kwa sasa ni namna ya kuitunza familia yake na sio kuangaika na...
HATMA YA KINA MALINZI JULAI 23
Hatima ya aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania ((TFF), Jamal Malinzi na wenzake wanne kama wana kesi ya kujibu am...
NANENANE KITAIFA KUFANYIKA SIMIYU
Maonesho ya Wakulima ‘Nane Nane’ yanatarajiwa kuanza rasmi Julai 28, mwaka huu katika Viwanja vya Nyakabindi, mkoani Simiyu.
MSHIRIKI WA SHINDANO LA MISS SHINYANGA 2019 ATEMBEZEWA KICHAPO
Mshiriki wa mashindano ya ulimbwende mkoani Shinyanga (Miss Shinyanga 2019) Nicole Emmanuel, amedai kupigwa na kuvuliwa nguo hadharani ...
MPENZI WA NGOMA ZA ASILI AFARIKI DUNIA KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA SHINYANGA
Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga linaendelea na uchunguzi wa tukio la kifo cha Maganga Shija (42) mkazi wa kijiji cha Galamba aliyekut...
IGP SIRRO ATOA ONYO KWA ASKARI WALA RUSHWA
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amewataka askari wote kuzingatia nidhamu na kujiepusha na vitendo vya rushwa katika u...
MDHAMINI MKUU WA LIGI KUU SOKA TANZANIA BARA (TPL) MBIONI KUTANGAZWA
Baada ya msimu uliopita wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) kuchezwa bila mdhamini hali ambayo ilipelekea vilabu kupitia changamoto ...
WANANCHI WATAHADHARISHWA KUHUSU VITAFUNWA VYA MTAANI
Jamii imetakiwa kuwa makini na vitafunwa vinavyouzwa mitaani, ikiwamo keki na kashata kwakuwa kumeibuka mtindo mpya wa kuchanganya ba...
RAIS MUSEVENI KUMTEMBELEA RAIS MAGUFULI CHATO
Rais Museveni wa Uganda kumtembelea Rais Magufuli Kijijini kwake Mlimani Wilaya ya Chato Mkoani Geita.
MSANII R KELLY AKAMATWA TENA KWA TUHUMA ZA UNYANYASAJI WA KINGONO
Msanii wa muziki nchini Marekani, R Kelly amekamatwa na Idara ya Polisi ya New York kwa tuhuma za kuwasafirisha wanawake kwa ajili ya...
RAIS MAGUFULI ATOA ONYO KWA VIONGOZI WANAOTOZA PESA WAFANYABIASHARA WENYE VITAMBULISHO
Onyo limetolewa kwa Viongozi wanaotoza pesa wafanyabiashara wenye vitambulisho vilivyotolewa na Rais Magufuli kuacha vitendo hivyo mar...
TAKUKURU SHINYANGA YABAINI KASORO MBALIMBALI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA UMMA
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Shinyanga imebaini kuwepo kwa ukiukwaji wa sheria ya manunuzi ya Umma una...
TETESI ZA SOKA ULAYA IJUMAA 12.07.2019: GRIEZMANN, KOSCIELNY, BALE, FERNANDES, LUKAKU, DIAZ
Barcelona inakaribia kumsaini mshambuliaji wa Ufaransa na Atletico Madrid Antoine Griezmann kutoka Atletico Madrid kwa dau la £107m . (...
MWANAMKE AISHI NA MAITI YA MAMAKE NYUMBANI TANGU 2016
Mwanamke mmoja jimboni Texas, Marekani amekamatwa baada ya masalio ya maiti ya mamake inayooza kugunduliwa nyumbani wanakoishi pamoja.
TANZANIA YAKANA MPANGO WA KUWARUDISHA WAKIMBIZI NYUMBANI
Wakimbizi kutoka Burundi katika kambi moja nchini Tanzania wanasema kwamba maafisa wasimamizi katika eneo hilo wamewatishia kuwarudisha...
VITA YA NAMBA SIMBA SI MCHEZO
BAADA ya kuhitimisha usajili wao wa msimu ujao, sasa ni rasmi kuwa vita ya namba katika kikosi cha Simba itakuwa si ya kitoto kutokan...
BIBI WA MIAKA 83 APATIKANA NA HATIA YA BANGI KENYA
NAIROBI –KENYA' Mwanamke mmoja mwenye miaka 83 aliyekutwa na gramu 600 za bangi amekutwa na hatia nchini Kenya.
YANGA YAKAMILISHA HESABU
TAYARI wamekamilisha hesabu, hivyo ndivyo ilivyo ndani ya kikosi cha Yanga baada ya kukamilisha usajili wao na kuanza kambi kujiandaa...
WANAOBET WAPEWA SAA 48 KUONDOA PESA ZAO LA SIVYO ZINACHUKULIWA #KENYA
Serikali ya Kenya imetoa saa 48 kwa watu wanaocheza michezo ya kubahatisha (betting) kuondoa fedha zao kwenye makampuni 27 yaliyooro...
KOFI LAMPONZA MBUNGE WA CHADEMA, ASUKUMWA NDANI
Mbunge wa Tunduma kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Frank Mwakajoka amekamatwa na polisi ikielezwa kuwa atafikish...
SERIKALI YAKAGUA UTAYARI WA MKOA WA KIGOMA KUKABILIANA NA UGONJWA WA EBOLA
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile leo ametembelea baadhi ya maeneo ya Mkoa ...
BASI LAANGUKA KWENYE MLIMA, WATATU WAFARIKI
Watu watatu wamekufa na wanne walipotea baada ya basi ya utalii kupoteza udhibiti baada ya kugongwa na jiwe kutoka kwa mlima siku ya jan...
DC IRINGA ALIAGIZA JESHI LA POLISI KUMKAMATA AYUBU MWENDA, KISA?
Mkuu wa wilaya ya Iringa, Richard Kasesela amemuagiza mkuu wa polisi wilaya ya Iringa (OCD) kuhakikisha anamkamata popote alipo Ay...
JESHI LA POLISI LAUWA MAJAMBAZI WANNE BAADA YA MAJIBIZANO YA RISASI
Jeshi la Polisi Mkoani Pwani, limefanikiwa kuua majambazi wanne katika tukio la majibizano ya risasi baina ya polisi na majambazi hao...
WAZIRI JAFO AIPONGEZA SHULE HII KWA MATOKEO MAZURI YA KIDATO CHA SITA
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo ametoa pongezi kwa shule ya Sekondari Maneromango kwa matokeo mazuri ya kidato cha sita.
MFAHAMU IRENE ROBERT MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI, ANAYEKUJA KWA KISHINDO
Irene Robert, Muimbaji wa Muziki wa Injili kutoka Tanzania. Badaa ya kukamata anga la Muziki la Injili Tanzania na Nje ya Mipaka kwa ...
ZAIDI YA DOLA TRILIONI 1.4 ZINAPOTEA KILA MWAKA KWA NJIA YA RUSHWA BARANI AFRIKA
Na Faustine Gimu Galafoni, Dodoma Hayo yamesema Julai 11,2019 jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano ...
MSAKO MKALI WANAOSAJILI LAINI BILA IDHINI YA MAKAMPUNI WAANZA JIJINI DODOMA
Na Faustine Gimu Galafoni, Dodoma Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma kwa Kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa ...