Mkuu wa Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma, Simon Udunga, amewataka vijana kufanya kazi kwa bidii ili kujikwamua kiuchumi na kuwa chachu ...
VIONGOZI WA DINI WAJA NA ‘UCHUMI CHOTARA’
VIONGOZI wa dini wametoa kitabu kinachoshauri kufanyika kwa mabadiliko ya mfumo wa uchumi nchini kwenda ule wa soko jamii au kwa lugh...
"SIRI YA MAFANIKIO YETU"
WANAFUNZI walioongoza kitaifa katika matokeo ya kidato cha sita, mwaka 2019, wameeleza siri ya kufanya vizuri katika masomo yao.
ZITTO AELEZA MIKAKATI YA ACT - WAZALENDO DAR
Dar es Salaam Viongozi wa Chama cha ACTWazalendo nchini Tanzania wametakiwa kutatua changamoto zilizopo katika mitaa yao.
HALIMA MDEE ASIMULIA POLISI WALIVYOTAWANYA MKUTANO WA BAWACHA
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Halima Mdee amesimulia jinsi Jeshi la Polisi wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu ...
KAMA ULIKOSA ZIARA BINAFSI YA RAIS YOWERI KAGUTA MUSEVENI WA UGANDA HAPA NCHINI HUKO CHATO GEITA BASI HII HAPA
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni afanya Ziara Binafsi ya siku 1 moja hapa nchini.
USIKUBALI KUPITWA, SIKILIZA DIVINE RADIO POPOTE ULIPO. DOWNLOAND APPLICATION YA DIVINE RADIO FM PLAY STORE
Bwana Yesu Asifiwe mwana wa Mungu, habari njema ni kwamba sasa Divine Radio FM tuna Application Play Store, unaweza ukaipakua/ download...
UTALII WA SOKWEMTU KUANZISHWA KATIKA HIFADHI YA RUMANYIKA
Serikali imesema kuwa itawapandikiza Sokwemtu katika hifadhi ya Taifa ya Rumanyika Orugundu iliyopo wilayani Karagwe na Ibanda iliyo...
DKT. BASHIRU ATOBOA SIRI YA KUMPOKEA OLE MILLYA NDANI YA CCM
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amempongeza mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, James Ole Milly...
PROF. MBARAWA AMKATAA MHANDISI. ‘KASHATUPIGA PESA NYINGI SANA HUYU’
Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa ameagiza kuvunjwa mkataba na mhandisi mshauri wa kampuni ya DONCONSULT LTD ya jijini Dar es Sal...
NDOTO YA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA KANDA YA AFRIKA [CPA] ENEO LA NDEJENGWA DODOMA YAIVA
Na Faustine Gimu Galafoni, Dodoma Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA) Yanakusudia kujenga ofisi ya Makao makuu ya...
POLISI WATHIBITISHA MSHIRIKI SHINDANO LA MISS SHINYANGA 2019 KUPIGWA, KUCHANIWA NGUO
Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga,ACP Richard Abwao Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limethibitisha taarifa za Mwanamitindo Nicole...
DK BASHIRU AWAONYA POLISI KUTOTUMIA MABAVU KUSHUGHULIKA NA WANASIASA
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk Bashiru Ally KITETO Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk Bashiru Ally amekemea vik...
FAHAMU NAMNA YA KUSIKIA NA KUIELEWA SAUTI YA MUNGU ILI IKUSAIDE KATIKA KUFANYA MAAMUZI
Lengo kuu la somo hili ni kumsaidia Mwanadamu yeyote yule aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu kujua namna anavyoweza kusikia Sauti ya Mungu n...