Na Faustine Gimu Galafoni, Dodoma WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Seleman Jafo ameli...
MTOTO AHOFIWA KUFA MAJI COCO BEACH
Dar es Salaam Simanzi imetawala katika familia ya Ally Chande (16) mkazi wa Mwananyamala, Dar es Salaam nchini Tanzania baada ya mtot...
LHRC YAJITOSA SAKATA LA MDEE, YATOA NENO KWA IGP NA MSAJILI WA VYAMA
Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Tanzania kimetoa wito kwa jeshi la polisi kumwachia huru mbunge wa Kawe (C...
POLISI YATIMUA ASKARI WAKE 54, MAGUFULI APIGILIA MSUMARI
Dar es Salaam Jumla ya askari 54 wa Jeshi la Polisi Tanzania wamefukuzwa kazi kati ya Januari hadi Juni mwaka 2019 baada ya kubainika...
ASILIMIA 39 TU HUNYONYESHA MAZIWA YA MAMA PEKEE MISENYI
ASILIMIA 39 ya wanawake pekee wenye watoto chini ya miaka mitano wilayani Misenyi mkoani Kagera, ndio wanaonyonyesha watoto chini ya...
KUMALIZANA KIFAMILIA WANAOWAPA MIMBA WANAFUNZI BADO CHANGAMOTO
NAIBU Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara amesema bado kuna changamoto ya wanafunzi ...
ZIMBABWE NA ZAMBIA KUANZISHA KITUO CHA KUZALISHA UMEME WA PAMOJA
Kampuni moja ya ubia kati ya wachina na wamarekani inatarajiwa kufanya mazungumzo na serikali za Zimbabwe na Zambia kuhusu ujenzi wa ki...
MAOMBI YA MUSUKUMA KWA RAIS MAGUFULI LEO
Mbunge wa Geita Joseph Kasheku (Musukuma) amedai kuwa wananchi wake wamempa ubunge wa kudumu katika jimbo lake na kuongeza kuwa kwa s...
NDEGE AINA BOEING 737 MAX KUREJEA 2020 BAADA YA KUZUIWA
Ndege aina ya 737 MAX ambayo huduma zake zilishitishwa baada ya kusababisha ajali mbaya mara mbili huenda haitaruhusiwa kurejea kuhud...
IGP SIRRO AZUNGUMZIA WATANZANIA WALIOULIWA MSUMBIJI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema baada ya kufuatilia sakata la mauaji ya Watanzania waliokuwa wakiishi Msumbuj...
SUDAN YAPATIWA PEMBEJEO ZA KILIMO TANI 50,000 KUTOKA SAUDI ARABIA NA UAE
Shirika la Saudi Press Agency limeripoti kuwa serikali za Saudi Arabia na Falme za Kiarabu (UAE) zimatangaza kutuma zaidi ya tani 50,...
JOSE MOURINHO AHUSISHWA KUTIMKIA UJERUMANI KUFUNDISHA SOKA
Meneja wa zamani wa klabu ya Manchester United, Jose Mourinho afungua milango kwa klabu za Bundesliga baada ya kudai kuwa kwa sasa anaj...
RAIS MAGUFULI: TANZANIA HII NI TAJIRI SANA KILA KITU KIPO
Rais John Magufuli amewataka polisi kufanyakazi na kuvipongeza vikosi vyote vya ulinzi na usalama na kuongeza kuwa palipo na amani nd...
LIVE: UZINDUZI WA HUDUMA ZA TIBA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA BUGANDO MWANZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli anazindua Huduma za Tiba Katika Hospitali ya Rufaa Bugando Jijini Mw...
URUSI YAENDELEA KUTUMIA VIFAA VYA MFUMO WA KUJILINDA NA MAKOMBORA
Urusi imeendelea kutuma vifaa vya mfumo wake wa kujilinda na makombora angani chapa S-400 kwenye kambi ya kijeshi iliyopo karibu na m...
MSAJILI AZITAKA NGOS KUJITOKEZA ILI ZISAJILIWE
Dar es Salaam Msajili na Mkurugenzi wa Idara ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsi...
MOTO WATEKETEZA GHALA LA PAMBA MASWA
Na Daniel Manyanga, Simiyu MOTO uliozuka katika ghala la kuhifadhia pamba umeteketeza pamba yote katika kijiji cha Shinyanga Mweng...
SIMIYU KUANZISHA KAMPENI YA TOHARA KWA WATOTO WACHANGA
Na Daniel Manyanga, Simiyu Serikali mkoani Simiyu imeanzisha huduma ya tohara kinga kwa watoto wachanga na tayari zoezi hilo limekwi...
KATAZO LA MAGOGO YA KUKATIA NYAMA KUWA CHANGAMOTO DODOMA
Na Faustine Gimu Galafoni, Dodoma Wafanyabiashara wa Nyama jijini Dodoma wamesema kuwa katazo la utumiaji magogo katika ukataji w...
CHADEMA WAFUNGUKA KUHUSU MDEE KUSHIKILIWA NA POLISI
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa kimesikitishwa na kitendo kilichofanywa na Jeshi la Polisi wilayani Bukoba...
MAPAMBANO YA RUSHWA YANG’ARISHA OFISI YA RAIS NA OFISI YA WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema juhudi za Serikali za kupambana na rushwa, kudhibiti upotevu wa mapato, matumizi ya fedha za Serika...
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU 15.07.2019
Manchester United inalipa £80m kumsajili Harry Maguire Manchester United imeafikiana na Leicester makubaliano ya thamani ya £80m kums...
CHADEMA WAMPELEKA MWENYEKITI WAO CCM
Katika hali isiyo ya kawaida wakazi wa Kitongoji cha Nyakahamba Kata ya Kerege Bagamoyo Mkoa wa Pwani, wamemhamisha Mwenyekiti wao Fran...
NUSU FAINALI AFCON 2019: SENEGALI YAIFUNGA TUNISIA 1-0, ALGERIA YAICHAPA NIGERIA 2-1
Ni Algeria dhidi ya Senegal kwenye fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mwaka 2019.