Serikali imesema wadaiwa wote waliowekeza katika ranchi za taifa zinazomilikiwa na Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) walipe madeni yao...
UDHALILISHAJI MISS SHINYANGA: BASATA YAISHUSHIA RUNGU ZITO KAMPUNI YA MAKUMBUSHO ENTERTAINMENT
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa shughuli za sanaa nchini Tanzania limepokea kwa masikitiko taarifa za unyany...
BABU MATATANI KWA KUBAKA NA KULAWITI WATOTO WATANO WA DARASA LA TATU
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Kamishna Msaidizi Hamisi Issah Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro, linamshikilia mwanaume mmoja...
IRENE UWOYA AWAOMBA RADHI WAANDISHI WA HABARI, ‘MNISAMEHE SANA’
Msanii wa maigizo ya filamu nchini, Irene Uwoya amewaomba radhi waandishi wa habari kufuatia kitendo alichokifanya jana wakati wa mk...
MAMENEJA RUWASA WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUTATUA CHANGAMOTO
Na.Faustine Gimu, Dodoma Naibu waziri wa maji Mhe.Juma Aweso amewataka mameneja wa wakala maji vijijini, (RUWASA) kushirikiana il...
WARSHA YA 4 YA KUPINGA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI KWA MKOA WA SHINYANGA YAFANYIKA JIJINI DODOMA
Na.Faustine Gimu Galafoni, Dodoma Warsha ya nne ya tathimini na kupinga mila na desturi za mimba na ndoa za utotoni kwa mkoa...
WAHUKUMIWA MAISHA JELA KWA KUSAFIRISHA BANGI
Na Daniel Manyanga, Simiyu Mahakama kuu kanda ya Shinyanga katika kikao chake kilichofanyika mahakama ya wilaya ya maswa mkoani Sim...
MAZOEZI YA SIMBA SC YAZIDI KUNOGA AFRIKA KUSINI
Mazoezi ya Simba SC ya kujiandaa na msimu mpya yameanza rasmi Rustenburg nchini Afrika Kusini. Timu hiyo ambayo ndio mabingwa wa Ligi K...
WAHANDISI WA MAJI RUWASA WATAKIWA KUZINGATIA UWELEDI
Naibu Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso amewataka Mameneja wa Mikoa na Wilaya wa Wakala wa Majisafi, Usafi na Mazingira Vijijini kufany...
SIMBA SC KUMPATIA ADHABU KALI JUUKO MURSHID, KISA?
Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba, Crescentius Magori amesema kuwa beki wao wa Kimataifa wa Uganda, Juuko Murshid ametoroka licha...
MH. RAIS NI AIBU MNO NA SISI NI WANYONGE KATIKA MASUALA YA USAFIRI - ASKARI MAGEREZA
Askari Magereza katika Gereza la Butimba wamuomba Rais Magufuli vitendea kazi yakiwemo magari.
WAWILI WAFARIKI KWA KUPOROMOKEWA NA GHOROFA, 50 WAFUKIWA NA KIFUSI
Watu wawili wamefariki na wengine 50 bado wamekwama chini ya vifusi baada ya jengo lenye ghorofa nne kuporomoka mjini Mumbai nchini I...
RASMI: MZEE KILOMONI AFURUSHWA NDANI YA SIMBA SC
Hatimaye Simba SC wametangaza rasmi kumuondoa kwenye sehemu ya baraza la wadhamini la klabu hiyo, Mzee Hamisi Kilomoni.
IRENE UWOYA NA STEVE NYERERE WAITWA BASATA BAADA YA KUWARUSHIA FEDHA WAANDISHI WA HABARI
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewataka Wasanii hao kufika katika ofisi za Baraza hilo siku ya kesho, Julai 17 kufuatia kitendo ...
NEW HOPE TANZANIA : CHAGUENI VIONGOZI WENYE HOFU YA MUNGU, WANAOJALI HAKI ZA WATOTO WA KIKE
Wakati Taifa linajiandaa kwenda katika Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa, Wito umetolewa kwa wananchi kuhakikisha wanatumia hak...
SHIRIKISHO LA SOKA MOROCCO LAKANUSHA KUMFUTA KAZI KOCHA WA TIMU YA TAIFA
Shirikisho la soka nchini Morocco limefuta uvumi wa kutimuliwa kazi kwa kocha wa timu ya taifa Herve Renard.
MSHAMBULIAJI WA KAIZER CHIEFS APIGWA RISASI NA KUFARIKI
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini Marc Batchelor amepigwa risasi na kufariki
MAJARIBIO YA CHANJO YA VIRUSI VYA UKIMWI KUFANYIKA, WANAUME 3,800 KUSHIRIKI
Taasisi ya afya ya Marekani (NIH) na kampuni ya madawa ya Janseen (Johnson & Johnson) siku ya Jumatatu walitangaza mpango wa kuan...
RAIS MAGUFULI AWAPA WAFUNGWA MAGUNI 15 YA MCHELE NA NG'OMBE WATATU
Rais John Magufuli ametoa gunia 15 za mchele na ng'ombe watatu kwa wafungwa wa Gereza Kuu la Butimba mkoani Mwanza.
MSEKWA AFUNGUKA KUHUSU BARUA YA MAKAMBA NA KINANA KUDAI KUDHALILISHWA NA CYPRIAN MUSIBA
Katibu wa baraza la ushauri la viongozi wastaafu CCM, Pius Msekwaamesema malalamiko ya makatibu wakuu wawili wa chama hicho atayapeleka...
WANAUME WANAONYONYA MAZIWA YA WANAWAKE WAONYWA
WANAUME wenye tabia ya kunyonya maziwa ya wanawake pindi wanapokuwa kwenye jukumu la kunyonyesha watoto wao, wametakiwa kuacha kwani ku...
MAMA MZAZI WA KOCHA HUYU ATEKWA NA WATU WENYE BUNDUKI
Mama mzazi wa kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria Samson Siasia, ametekwa na watu wenye bunduki jana asubuhi kwenye mji wa Od...
UVCCM KUMPATIA KURA ZA HESHIMA RAIS MAGUFULI
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), umesema kuwa sasa unajipanga kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kwa kuhakikisha una...
MUSEVENI AWAHIMIZA WAKULIMA KUPANDA MIWA YAO WENYEWE
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema kuwa bei ya miwa itaendelea kushuka kwa sababu hakuna kitu ambacho serikali inaweza kufanya z...
MWAMUZI ATAKAYECHEZESHA FAINALI YA AFCON HUYU HAPA
Shirikisho la Soka Barani Afrika 'CAf' limemtangaza mwamuzi, Bamlak Tessema Weyesa (39) kutoka Ethiopia kuchezesha mtanange w...
SIMBA YAKIRI KUTOMLIPA MCHEZAJI MURSHID MSHAHARA WA MIEZI MIWILI, YATAJA SABABU
UONGOZI wa Simba umesema kuwa ni kweli unadaiwa na mchezaji wao Juuko Murshid anayecheza timu ya Taifa ya Uganda ila haina mpango wa ...
TIMU YA TAIFA YA TANZANIA KUINGIA KAMBINI JULAI 21 KUIWINDA KENYA
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars' kinatarajia kuingia kambini Julai 21 kujiandaa na michuano ya CHAN.
AZAM FC: TIMU YETU NI KUBWA KULIKO TP MAZEMBE, LEO HAWATOKI
ETTIENE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa Azam FC, amesema kuwa kwa sasa kwenye michuano ya Kagame Azam FC ndio timu kubwa kuliko nyingine iki...
WATU MILIONI 821 WAATHIRIKA NA BAA LA NJAA
Zaidi ya watu Milioni 821 walikumbwa na baa la njaa duniani kote mwaka jana. Kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa sik...
LIVE: UZINDUZI WA HUDUMA ZA TIBA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA BUGANDO MWANZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli anazindua Huduma za Tiba Katika Hospitali ya Rufaa Bugando Jijini ...
HALIMA MDEE APEWA MWEZI MMOJA KURUDI BUKOBA
Jeshi la Polisi Wilayani Bukoba Mkoani Kagera limemuachia kwa dhamana mwenyekiti wa baraza la wanawake CHADEMA Taifa ambaye pia ni mbun...
ZUMA ALIA NA HUJUMA, ‘WANAMPANGO WA KUNIPOTEZA KISIASA’
Aliyekuwa rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, ambaye utawala wake uligubikwa na mivutano ameliambia jopo la mahakama linalochunguza mad...
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TAASISI YA KIMATAIFA YA ELIMU
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu akizungumza na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha kumbukumbu Sabastian Kolowa kanda ya Afrika Bishop Dkt....
WAZIRI WA MAJI PROF. MBARAWA AFANYA UTEUZI HUU
Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa amefanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa mamlaka za majisafi na usafi wa mazingira Kahama na ma...
ANAPEWA KIBALI CHA KWENDA KUTIBIWA INDIA LAKINI ANAUMWA MAFUA - RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemwagiza Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,...
FABIAN DELPH ASAINI EVERTON
Kiungo Fabian Delph amesajiliwa na klabu ya Everton kutoka Man City kwa ada ya awali Pauni milioni 8.5, na kusaini mkataba wa miaka mit...
SHIRIKA LA NDEGE 'ETHIOPIA AIRLINES' KUANZISHA SAFARI ZA NDANI NCHINI NIGERIA
Shirika la ndege la Ethiopia Airlines imesema kwamba lina mpango wa kuanzisha safari zake kuelekea nchini Nigeria kama sehemu ya mika...
SHIRIKA LA ANGA INDIA LASITISHA YA KUELEKEA MWEZINI
Shirika la anga la India limesitisha safari ya pili ya kuelekea mwezini hapo jana kutokana na hitilafu za kiufundi katika chombo chake ...
BARABARA YA CHANYA-NYAHUA KUGHARIMU ZAIDI YA BILIONI 117
Na William Henry, Tabora Zaidi ya Bilioni 117 zitatumika katika ujenzi wa barabara ya Chaya -Nyahua kwa kiwango cha lami yenye urefu...
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMANNE 16.07.2019
Leicester imemwambia mlinzi wake wa kati Harry Maguire, 26, kuwa anaweza kuondoka (Telegraph)
WANAWAKE ''WALIOBAGULIWA'' WAMEWATAKA WATU KUPUUZA MANENO YA TRUMP
Rashida Tlaib, Ayanna Pressley, Ilhan Omar na Alexandria Ocasio-Cortez wakijibu mashambulizi ya ‘kibagu’ Wabunge wanne walioshamb...