Mbunge wa Kawe (Chadema) Halima Mdee, akiwa jukwaani Kwa miaka mingi wanawake wengi wamekuwa wakilalamika kuwa mfumo dume ni ch...
MUME WA MWANAMKE ALIYETOWEKA AKIRI KUMUUA MKEWE, KUMCHOMA KWA MKAA MAGUNIA MAWILI
Mume wa mwanamke anayedaiwa kupotea kwa zaidi ya miezi miwili, Naomi Marijani (36), Khamis Luwongo (Meshack), amekiri kumuua mkewe na...
MREMA ATANGAZA KUMALIZA MUDA WAKE WA KUIONGOZA BODI YA PAROLE
Mwenyekiti wa Bodi ya Parole, Augustine Mrema amemaliza muda wake wa kuongoza bodi hiyo.
KANYASU AWANG’ATA SIKIO WAKULIMA WA PAMBA, ‘MSIWAUZIE WALANGUZI’
Mbunge wa Geita mjini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu amewashauri Wakulima wa zao la Pamba waw...
BARAZA LA KIJESHI SUDAN LAKUBALI KUGAWANA MADARAKA
Baraza la Kijeshi na viongozi wa upinzani nchini Sudan, wamesaini makubaliano ya kugawana madaraka mara baada ya mazungumzo ya usiku ...
CAG MKOA WA KAGERA KUJADILIANA NA MKUU WA MKOA
Na Mpanju William, Kagera Mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali CAG mkoa Kagera amesema anakusudia kujadiliana na mkuu wa mkoa...
MAN UNITED WASEMA POGBA HAENDI POPOTE
Kocha wa Man United, Ole Gunnar Soslkjaer amethibitisha kuwa Pogba haendi popote. Ole amewaambia waandishi wa habari kuwa unapokuwa n...
WANANCHI WAMPONGEZA MBUNGE WA KUWAPATIA MAJI
Wananchi wa Kata ya Makilawa wilayani Ikungi mkoani Singida wamesema wameanza kusafisha magodoro yao baada ya kupata maji kupitia mra...
MSANII DRAKE AFUNGULIWA KESI NA SHABIKI, KISA?
Shabiki aliyejulikana kwa jina la Amanda Giovacco,24, amefungua kesi ya madai dhidi ya Drake baada ya kupata madhara ya ubongo akiwa ...
MAMLAKA YA DAWA VIFAA TIBA (TMDA) YATAJA UWEPO WA DAWA HII BANDIA
Mamlaka ya Dawa Vifaa Tiba (TMDA)imetaoa taarifa kuhusu uwepo kwenye soko dawa bandia yenye jina la Gentrisone Cream.
NJIA RAHISI YA KUPIMA UGONJWA WA ALZHEIMER KUPITIA DAMU MBIONI KUJA
Njia rahisi ambayo utaweza kutumia sampuli za damu ili kutambua ugonjwa wa Alzheimer ipo mbioni kuwekwa wazi na wataalamu.
SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI GUINEA LAMTIMUA KOCHA WA TIMU YA TAIFA
Shirikisho la soka nchini Guinea limemfuta kazi Paul Put kama kocha mkuu wa timu hiyo ya taifa baada ya kufanya vibaya kwenye Michuan...
IRENE UWOYA AZIDI KUKALIWA KUOONI BAADA YA KUWARUSHIA WANAHABARI FEDHA
MISA Tanzania yatoa tamko kuhusu Msanii Irene Uwoya kuidhalilisha tasnia ya habari, yavitaka vyombo vya habari kutoa mafunzo kwa waand...
TSH MILIONI 125 ZILIZOKUSANYWA NA WAFUGAJI KUSAIDIA KAYA MASIKINI NGORONGORO
Zaidi ya Tsh. Milioni 125 zimekusanywa na Wafugaji katika tarafa ya Ngorongoro wakishirikiana na Viongozi wa kisiasa na Taasisi za um...
WALIOFARIKI KWA KUPOROMOKEWA NA GHOROFA WAFIKIA 14
Idadi ya vifo kutokana na kuporomoka kwa jengo moja lenye ghorofa nne mjini Mumbai nchini India imeongezeka hadi 14.
CAF WATANGAZA MWAMUZI MWINGINE KUCHEZESHA FAINALI YA AFCON 2019
Usiku wa siku Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limemtangaza mwamuzi atakayechezesha fainali ya AFCON ni Victor Gomes kutoka Afr...
TAKUKURU PWANI YABAINI UPUNGUFU MIRADI YA TSH. BILIONI 800
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Pwani, imebaini mapungufu kwenye miradi ya maendeleo mitatu yenye thamani...
AFISA ELIMU CHAMWINO ASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI
Aliyewahi kuwa Afisa Elimu Sekondari wa Wilaya ya Chemba iliyopo mkoani Dodoma Mwalimu David Mwamalasa ambaye hivi sasa amehamishiwa...
ANAYEDAIWA KUMUUA MKEWE, KUMCHOMA MOTO ASHIKILIWA POLISI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania linamshikilia Khamis Luwonga maarufu Meshack mkazi wa Kigamboni kwa tuhum...
WANANCHI WAHIMIZWA KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA
Wananchi wamehimizwa kujiunga kwa wingi na mfuko wa Bima ya Afya ulioboreshwa ili wapate vitambulisho vitakavyowasaidia kupata matiba...
KAMPUNI INAYODAIWA KUMPIGA MISS SHINYANGA YAFUNGIWA NA BASATA
Baraza la Sanaa la Taifa BASATA limeisimamisha Kampuni ya Makumbusho Entertaintment pamoja na viongozi wake kujishughulisha na shughuli y...
RAIA WA MISRI KORTINI KWA TUHUMA ZA KUTOROSHA MADINI YENYE THAMANI YA MILIONI 12
Hany Ahmed (27) ambaye ni raia wa Misri amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka moja la kutorosha m...
WATATU KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUJIFANYA MAOFISA WA TAKUKURU
Mkuu wa kitengo cha mauzo Hoteli ya Ramada, William Mgatta (36) na wenzake wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisu...
MGONJWA WA KWANZA WA EBOLA MJINI GOMA DR CONGO AFARIKI DUNIA
Mgonjwa wa kwanza wa Ebola mjini Goma, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini, mashariki mwa DR Congo amefariki dunia.
BIASHARA UNITED YAANZA KUTAMBULISHA WACHEZAJI WAKE WAPYA
Uongozi wa timu ya Biashara United Mara inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imenza kutambulisha nyota wake ambao wataitumikia timu hi...
RAIS WA PERU ATIWA MBARONI NCHINI MAREKANI
Rais wa zamani wa Peru Alejandro Toledo, ambaye alikuwa anatafutwa nchi humo kwa mashtaka ya ufisadi, alitiwa mbaroni mapema jana nch...
'CCM WAMPITISHA HUYU KUMRIDHI TUNDU LISSU'
Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi Iliyoketi jana Jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti CCM Taifa Rais Dkt John Magufuli, imemteua Miraji Ju...
WAZIRI UMMY AMTAKA KATIBU MKUU WA WIZARA YA AFYA KURUDISHA FEDHA ALIZOMKATA TBA SIMIYU
Na Daniel Manyanga, Simiyu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amemtaka Katibu Mkuu wa Wizara h...
MBUNGE WA CHADEMA WILFRED RWAKATARE AONYA RUSHWA KWENYE UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Wananchi mkoani Kagera wametakiwa kukemea kwa nguvu na kukataa kujihusisha na vitendo vya rushwa katika kuelekea uchaguzi wa serikali z...
KILIMO BORA CHA MACHUNGWA
Mchungwa ni jamii ya mlimao, lakin hustawi zaidi ukandawa pwani wenye joto kiasi, mvua zaidi na udongo wenye rutuba. Hapa Tanzania mi...
TRUMP AMEKANA SHUTUMA DHIDI YAKE KUWA YEYE NI MBAGUZI
Raisi wa Marekani, Donald Trump amesisitiza kuwa yeye si mbaguzi baada ya mashambulizi yake kupitia Twitter dhidi ya wabunge wanne wana...
IRAN YATAKA KUONDOLEWA VIKWAZO KABLA YA MAZUNGUMZO KUHUSU MRADI WA SILAHA ZA NYUKILIA
Iran imesema iko tayari kufanya majadiliano kuhusu mpango wa silaha za nyukilia na Marekani.
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO 17 JULAI, 2019
Kiungo wa Real Madrid, Dani Ceballos 22, karibuni kujiunga na Arsenal. (Mundo Deportivo)