Mwanaume mwenye umri wa miaka 29 anadaiwa kumuua baba yake kwa kumkata shingo akifikiri alikuwa anachinja mbuzi.
OFISI YA RC MANYARA NA IDARA ZINGINE ZATUHUMIWA KWA RUSHWA
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU imeihusisha ofisi ya mkuu wa mkoa wa Manyara kuwa ni miongoni mwa Taasisi zilizotuh...
OFFICIAL AUDIO: CHRISTINA MBILINYI - MTAKUJA TU
Anaitwa Christina Mbilinyi , ni muimbaji wa Muziki wa Injili Tanzania ambaya anaendelea kufanya vizuri na kazi zake kama Nimeziona Bara...
UBALOZI WA MAREKANI WAMPONGEZA BOSI JAMII FORUMS
UBALOZI wa Marekani nchini Tanzania, umempongeza Mkurugenzi wa mitandao ya Kijamii ya Jamii Forums, Maxence Melo, kwa kutangazwa mm...
MSEKWA AWAJIBU KINANA NA MAKAMBA
BARUA YA MAJIBU YA AWALI. Ndugu Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu; Ndugu Yussuf Makamba, Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu; ...
WAFUNGWA ZAIDI YA 300 KATIKA MAGEREZA YA MIKOA YA KANDA YA ZIWA WAACHIWA HURU
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Biswalo Mganga, ametangaza kuwaachia huru wafungwa 325 na mahabusi katika magereza ya mikoa ya Kanda ya Z...
TATIZO LA MAJI NA MALISHO LATAFUTIWA UFUMBUZI WILAYANI BABATI
Serikali imesema inatafuta suluhu ya kudumu ya upatikanaji wa maji kwa mifugo iliyopo katika kata za Nkaiti, Mwada na Magara zilizopo ...
MIMI NIMETEULIWA USIPONIPENDA SAWA HATA KUNIONDOA HUWEZI - RC HAPI
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi amesema kuna tofauti kati kuchaguliwa na ukiteuliwa huku akisema yeye cheo chake hakugombea kwahiyo...
UKITAKA KUCHAGUA MALAIKA KUFA NENDA MBINGUNI - RAIS MAGUFULI
Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kutokana na kazi aliyoifanya Mbunge wa Kongwa, Spika Job Ndugai atashangaa kuona w...
INSTAGRAM KUANZA KUFICHA ‘LIKES’
Mtandao wa Instagram utafanya jaribio la kuficha idadi ya waliopenda (likes) kwenye posti za intagram, ili kuondoa ule msukumo ambao...
ASKARI 8 WA KESI YA MADINI WAFUTIWA KESI
Mkurugenzi wa mashtaka nchini, Biswalo Mganga amefuta kesi 75 zinazowakabili mahabusu na wafungwa mbalimbali katika gereza kuu la But...
SERIKALI YAITAKA TANESCO KUHAKIKISHA VIWANDA VYOTE VINAFUNGWA TRANSFOMA
Serikali imetoa agizo kwa mameneja wote wa mikoa wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuhakikisha viwanda vyote nchini vinafungiwa T...
SAFARI YA KWANZA YA AIR TANZANIA KUTOKA DAR - MUMBAI YAZINDULIWA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandishi Isack Kamwelwe amezindua safari ya kwanza ya kimataifa ya Shirika la Ndege la Taifa...
BASHE AWAVAA KINANA, MAKAMBA.....KASEMA WANAMKAKATI WA KUMKOSESHA UHALALI RAIS MAGUFULI KUWANIA URAIS 2020.
Mbunge wa Nzega Mjini (CCM), Hussein Bashe amesema kitendo cha makatibu wakuu wastaafu wa chama hicho, Yusuf Makamba na Abdulrahman Kin...
MUME ALIETANGAZA MKEWE KAPOTEA AKIRI KUMUUA KWA KUMCHOMA KISHA KUZIKA MAJIVU
Mume wa mwanamke anayedaiwa kupotea kwa zaidi ya miezi miwili, Naomi Marijani (36), Khamis Luwongo (Meshack), amekiri kumuua mkewe na k...