} });
 
JAMAL MALINZI NA KATIBU WAKE SELESTINE MWESIGWA WAKUTWA NA KESI YA KUJIBU
JAMAL MALINZI NA KATIBU WAKE SELESTINE MWESIGWA WAKUTWA NA KESI YA KUJIBU

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewakuta na kesi ya kujibu aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu(TFF), Jamal Malinzi na Katib...

Read more » Soma zaidi »

MIZENGO PINDA AWAPONDA WANAOTAPATAPA KUSAKA URAIS 2020 KUPITIA CCM
MIZENGO PINDA AWAPONDA WANAOTAPATAPA KUSAKA URAIS 2020 KUPITIA CCM

Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda amesema anasikia kuna mtu anatapatapa kutaka urais kwa tiketi ya CCM, kusisitiza kuwa kwa muundo wa ...

Read more » Soma zaidi »

HALMASHAURI YA GEITA MJINI YATOA MKOPO WA BILIONI 1.6 KWA VIJANA, WANAWAKE NA WALEMAVU
HALMASHAURI YA GEITA MJINI YATOA MKOPO WA BILIONI 1.6 KWA VIJANA, WANAWAKE NA WALEMAVU

Mbunge wa Geita mjini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu amesema Halmashauri ya mji wa Geita ha...

Read more » Soma zaidi »

NEC YATANGAZA UCHAGUZI MDOGO KATA 13 ZA TANZANIA BARA
NEC YATANGAZA UCHAGUZI MDOGO KATA 13 ZA TANZANIA BARA

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa Kata 13 ambao utafanyika tarehe 17 Agosti 2019.

Read more » Soma zaidi »

SERIKALI YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UKARABATI WA SHULE ALIYOSOMA BABA WA TAIFA
SERIKALI YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UKARABATI WA SHULE ALIYOSOMA BABA WA TAIFA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa, Joyce Ndalichako amekagua maendeleo ya ukarabati na upanuzi wa shule ya msingi Mwisen...

Read more » Soma zaidi »

MAZUNGUMZO YA RAIS MAGUFULI, KENYATTA HAYA HAPA
MAZUNGUMZO YA RAIS MAGUFULI, KENYATTA HAYA HAPA

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amempigia Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta 'live' Ikulu katika hafla ya makabidhiano ya...

Read more » Soma zaidi »

JANUARY MAKAMBA AKABIDHI OFISI
JANUARY MAKAMBA AKABIDHI OFISI

Pichani kushoto ni January makamba ambaye alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira akikabidhi ofisi kwa W...

Read more » Soma zaidi »

MTENDAJI NA MGAMBO WANASWA NA TAKUKURU KWA RUSHWA
MTENDAJI NA MGAMBO WANASWA NA TAKUKURU KWA RUSHWA

Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma, Sosthenes Kibwengo, amewataka watendaji wa Kata mi...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI KUANDIKA BARUA RASMI KWA ASKARI WA KENYA
RAIS MAGUFULI KUANDIKA BARUA RASMI KWA ASKARI WA KENYA

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa ataandika barua rasmi ya Pongezi kwa Askari wa Kenya na kwenda kwa vyombo vya...

Read more » Soma zaidi »

UJERUMANI, UFARANSA, UINGEREZA NA UHISPANIA ZAIJIA JUU ISRAEL
UJERUMANI, UFARANSA, UINGEREZA NA UHISPANIA ZAIJIA JUU ISRAEL

Ujerumani, Ufaransa, Uingereza na Uhispania zimekemea hatua ya Israel kubomoa nyumba za Wapalestina Mashariki mwa Yerusalem.

Read more » Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI AMTAKA KILA MTUMISHI WA UMMA KUSIMAMIA MIRADI YA SERIKALI
NAIBU WAZIRI AMTAKA KILA MTUMISHI WA UMMA KUSIMAMIA MIRADI YA SERIKALI

NJOMBE Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mwita Waitara,ameagiza kila mtumishi wa umma kote...

Read more » Soma zaidi »
 
Top