Tume ya Taifa ya Uchaguzi iliutangazia Umma kuhusu Uchaguzi Mdogowa Udiwani katika Kata 13 za Tanzania Bara utakaofanyika tarehe 17 Agost...
JESHI LA POLISI KUIMARISHA ULINZI MKUTANO WA SADC
Jeshi la Polisi nchini limeeleza kuwa limejipanga kuimarisha ulinzi wakati wa Mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini m...
WATUMIAJI WA HUDUMA YA MAJI KAHAMA WALIA NA BEI MPYA YA HUDUMA HIYO ILIOANZA KUTUMIKA KATIKA MWAKA MPYA WA FEDHA WA 2019/2020
Mamlaka ya maji safi na Usafi wa mazingira mjini Kahama (KUWASA) imetakiwa kutumia njia shirikishi wanapotaka kupandisha bei Ankara maj...
OFFICIAL VIDEO: JOEL LWAGA - WADUMU MILELE
Wadumu Milele is a great Praise Song that means "Almighty God, Jehovah is ETERNAL"
WAPEWA MWEZI MMOJA KUJISAJILI, WAMILIKI WA BLOGU, ONLINE TV NA REDIO
Wamiliki wa Blogu, Majukwaa mtandaoni (online forums), Radio na Televisheni za mtandaoni wamepewa muda wa mwezi mmoja kuhakikisha w...
MTOTO AUWAWA KWA KULIWA NA SIMBA
Mtoto mmoja wa kike aliyejulikana kwa jina la Kangwa Manuga (6) mkazi wa kitongoji cha Sitobwike katika kijiji cha Sitalike Halmashau...
MFANYAKAZI TIGO KIZIMBANI KWA KUINGILIA MIAMALA YA FEDHA ZA WATEJA
Hamisi Singa (30), raia wa Burundi na Watanzania wanne wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka saba, l...
JESHI LA POLISI MOROGORO LAKAMATA VIPODOZI VYENYE SUMU
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzana ( TRA), limekamata katoni 230 za aina 11 tofauti ya vipod...
CHINA YAAHADI KULIPA KISASI DHIDI YA USHURU WA MAREKANI
China imesema inajitayarisha kuchukua hatua za kulipa kisasi iwapo rais Donald Trump wa Marekani ataendelea na mipango yake ya kuongez...