} });
 
"KUNA WATU WAMEPANGA KUICHAFUA SERIKALI" - MASAUNI
"KUNA WATU WAMEPANGA KUICHAFUA SERIKALI" - MASAUNI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni, amebainisha kuna baadhi ya watu ambao wamepanga njama za kutaka kuichafua Serikal...

Read more » Soma zaidi »

MWENYEKITI CCM AKAMATWA KWA RUSHWA
MWENYEKITI CCM AKAMATWA KWA RUSHWA

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi, inamshikilia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)...

Read more » Soma zaidi »

'TUJIANDAE KISAIKOLOJIA' - ETIENNE NDAYIRAGIJE
'TUJIANDAE KISAIKOLOJIA' - ETIENNE NDAYIRAGIJE

Kaimu kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Etienne Ndayiragije amesema wamejipanga kuhakikisha kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kina...

Read more » Soma zaidi »

MSANII HATARINI KUHUKUMIWA KUFUNGWA MIAKA MINGI
MSANII HATARINI KUHUKUMIWA KUFUNGWA MIAKA MINGI

Mwanamuziki RKelly huenda akakutana na kifungo cha miaka 195 jela baada ya jana kufikishwa mahakamani, akituhumiwa makosa 13 yanayohusi...

Read more » Soma zaidi »

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAPILI 04 AGOSTI 2019
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAPILI 04 AGOSTI 2019

Arsenal wanatarajiwa kuanzisha mazungumzo na Barcelona kuhusu kumsajili kiungo wa kati wa Brazil Phillipe Coutinho 27 hatua ambayo i...

Read more » Soma zaidi »

ALI KIBA ATEMWA KWENYE KIKOSI CHA COASTAL UNION
ALI KIBA ATEMWA KWENYE KIKOSI CHA COASTAL UNION

Klabu ya Coastal Union ya Jijini Tanga kimetoa orodha ya wachezaji watakao kuwa nao kwa msimu wa mwaka 2019/20, Ally Kiba ameachwa.

Read more » Soma zaidi »

WATU 20 WAUAWA MJINI TEXAS KATIKA SHAMBULIO LA RISASI
WATU 20 WAUAWA MJINI TEXAS KATIKA SHAMBULIO LA RISASI

Jumla ya watu 20 wameuawa na wengine zaidi kujeruhiwa baada ya mshambuliaji kuwafyatulia risasi hovyo watu waliokuwemo katika duka mo...

Read more » Soma zaidi »

POLISI WAENDELEA KUKABILIANA NA WAANDAMANAJI HONG KONG
POLISI WAENDELEA KUKABILIANA NA WAANDAMANAJI HONG KONG

Huko mjini Hong Kong polisi walilazimika kutumia gesi ya kutoa machozi kutawanya maelfu ya waandamanaji waliomiminika mitaani katika ...

Read more » Soma zaidi »

NDEGE YAANGUKA NA KUUA WATU WAWILI WILAYANI SIKONGE
NDEGE YAANGUKA NA KUUA WATU WAWILI WILAYANI SIKONGE

WATU wawili raia wa Afrika Kusini wamefariki katika ajali ya ndege iliyotokea mapema asubuhi ya leo majira ya saa moja na nusu katika k...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI WA KILIMO AUTAKA UONGOZI WA MKOA WA SIMIYU KUANZA HARAKA UTEKELEZAJI WA BIMA YA MAZAO
WAZIRI WA KILIMO AUTAKA UONGOZI WA MKOA WA SIMIYU KUANZA HARAKA UTEKELEZAJI WA BIMA YA MAZAO

Uongozi wa Mkoa wa Simiyu umetakiwa kuanza haraka utekelezaji wa mkakati kabambe uliozinduliwa  tarehe 3 Agosti 2019 na Waziri wa Kilim...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI MKUU KUWA MGENI RASMI KATIKA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KAGERA
WAZIRI MKUU KUWA MGENI RASMI KATIKA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KAGERA

Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa anatarajia kufungua kongamano la wadau wa uwekezaji Kagera huku mabal...

Read more » Soma zaidi »

DEREVA MLEVI ASABABISHA KIFO CHA ABIRIA NA KUJERUHI MWENDESHA PIKIPIKI SHINYANGA
DEREVA MLEVI ASABABISHA KIFO CHA ABIRIA NA KUJERUHI MWENDESHA PIKIPIKI SHINYANGA

Mtu mmoja ambaye hajafahamikia jina wala makazi mwenye umri kati ya miaka (35-40) amefariki dunia na mwingine kujeruhiwa baada ya pikip...

Read more » Soma zaidi »

KATIBU MKUU CCM AMMWAGIA SIFA MKUU WA MKOA WA MWANZA
KATIBU MKUU CCM AMMWAGIA SIFA MKUU WA MKOA WA MWANZA

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)  Dk Bashiru Ally amesema mkuu wa Mkoa wa Mwanza,  John Mongella hataondolewa  mkoani humo hadi...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO TAREHE 04 AGOSTI, 2019
MAGAZETI YA LEO TAREHE 04 AGOSTI, 2019

Read more » Soma zaidi »
 
Top