Mwanahabari Erick Kabendera amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka 3 ikiwemo kujihusisha na genge ...
MWANAMKE KAAMUA KUFUNGA NDOA NA MBWA BAADA YA KUTEMBEA NA WANAUME 221
Mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la Elizabeth Hoad raia wa Uingereza, amefunga ndoa na Mbwa wake aitwaye Logan katika kipindi cha...
JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM LAPIGA MARUFUKU BODABODA KUINGIA KATIKATI YA JIJI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam kupitia kwa Lazaro Mambosasa limesema limejipanga kuimarisha ulinzi wakati wa Mkutano wa 3...
RAIS MAGUFULI: KIPAUMBELE NI KUHUISHA TEKNOLOJIA YA VIWANDA -SADC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli amefungua maonesho ya wiki ya viwanda kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya...
MUHIMBILI YAKANUSHA UWEPO WA MGONJWA MCHAWI ALIYEJIGEUZA KUWA NDEGE
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imekanusha juu ya taarifa inayosambaa mitandaoni ikimuonesha mwanamke mmoja mgonjwa anayedaiwa kujigeuz...
MASHAMBULIZI MAWILI YA RISASI OHAIO NA TEXAS NCHINI MAREKANI YAUA WATU 30
Watu kumi wameuawa kufuatia shambulizi la risasi katika mji wa Dayton, Ohio nchini Marekani.
JAJI MSTAAFU WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA, MHE. JAJI RUGAZIA AFARIKI DUNIA
Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Projestus Aloyce Rugazia (pichani) amefariki dunia.
KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA AWATAKA WATAFITI NA WADADISI KUZINGATIA VIWANGO UKUSANYAJI WA TAKWIMU
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James amewataka wadadisi na wasimamizi wa utafiti wa sekta isiyo rasmi nchini kuzingati...
ZOEZI LA KUPIMA UTAYARI WA KUKABILI EBOLA LA ACHA ALAMA MKOANI KAGERA
Serikali kupitia uratibu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Menejimenti ya Maafa kwa kushirikiana na Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, ...