Nchi ya Luxembourg iliyopo bara la Ulaya inatarajiwa kuwa nchi ya kwanza barani Ulaya kuhalalisha uzalishaji na matumizi ya bangi.
TANZANIA YA KWANZA KATI YA NCHI 35 AFRIKA KUPAMBANA NA RUSHWA
Tanzania imekuwa ya kwanza kati ya nchi 35 za Afrika katika kipengele cha juhudi za serikali katika mapambano dhidi ya rushwa kwa mwa...
TAKRIBAN WATU 400 WAFARIKI KWA JOTO UHOLANZI
Shirika la taifa la takwimu nchini Uholanzi CBS, limesema takriban watu 400 zaidi walikufa nchini Uholanzi, wakati Ulaya ilipokabiliw...
CUF NA ACT-WAZALENDO WAANZA KUTIFUANA, JESHI LA POLISI LABEBESHWA LAWAMA
Msafara wa viongozi wa chama cha ACT- Wazalendo wa mkoa wa Lindi umeporwa gari na watu wanatajwa kuwa ni walinzi wa chama cha CUF.
TAHADHARI YA KIMBUNGA YATOLEWA CHINA
Tahadhari kubwa imetolewa kwa sababu ya Kimbunga cha Lekima (Lycima), ambacho kinatarajiwa kutokea mashariki mwa China kesho.
HAZARD APEWA JEZI NAMBA 7 REAL MADRID
Eden Hazard atavaa jezi No 7 ndani ya Real Madrid, akichukua jezi iliyowahi kuvaliwa na Cristiano Ronaldo.
KIONGOZI WA HONG KONG AONYA JUU YA ATHARI ZA KIUCHUMI
Kiongozi wa Hong Kong Carrie Lam ameonya kuwa maandamano ya miezi miwili ya kudai demokrasia yanatatiza uchumi mjini humo lakini akao...
BILO ATAMBA KUENDELEZA REKODI DHIDI YA SIMBA, YANGA
KOCHA Mkuu wa Alliance FC, Athuman Bilal ‘Bilo’, ametamba kuendeleza rekodi zake za kuzipa wakati mgumu timu kongwe za Simba na Yanga...
KUGAWA KONDOMU SHULENI NI KUWATUMA WANAFUNZI WAKAFANYE NGONO – MWALIMU
AFYA ya uzazi kwa vijana wa rika la balehe ni muhimu mno. Hii ni kutokana na changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo ikiwamo mimba ...