JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuanzia kesho Jumatano litaimarisha ulinzi kwa kutumia vikosi vyote vya doria i...
Divine Radio Live
ALIYEMUUA MKEWE KWA KUMCHOMA MOTO ATOA VITISHO MAHAKAMANI
Mshtakiwa anayekabiliwa na kesi ya kumuua na kumchoma moto mkewe Naomi Marijani, Hamis Said, ametoa tishio kwa waandishi wa habari wana...
UTEUZI MPYA ALIOFANYA RAIS MAGUFULI LEO
Rais Magufuli amemteua Jaji Mstaafu Ibrahim Sayida Mipawa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma.
SIMBA YAIGEUKIA AZAM
KIKOSI cha Simba, kinatarajia kuendelea na mazoezi leo kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam, ukiwa ni kiashiria cha uf...
ZITTO KABWE ATUA MAHAKAMANI KUSIKILIZA KESI YAKE
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe ameshawasili Mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu tayari kwa ajili ya kesi ya ...
UKIMYA WATAWALA MSAMVU
MJI wa Morogoro umeendelea kuwa katika hali ya utulivu huku ukimya ukitawala katika eneo ilipotokea ajali ya lori la mafuta ambalo l...
‘ASILIMIA NNE YA WANAUME HUHUDHURIA KLINIKI’
ASILIMIA nne tu ya wanaume wamekuwa wakihudhuria katika vituo mbalimbali vya kliniki ya baba, mama na mtoto jambo linalorudisha nyum...
MAKONDA AJA NA MPANGO KUMBUKUMBU ZA NDOA DAR
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ametangaza mpango madhubuti ikiwamo kuanzisha mfumo wa kuhifadhi kumbukumbu zote za ndoa...
TETESI ZA SOKA ULAYA 13 AGOSTI, 2019
Wawakilishi wa kisheria wa mchezaji wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya Paris St-Germain, Neymar ,27, walionekana wakiingia katika...
OFFICIAL VIDEO: ANGEL BENARD - I STILL BELIEVE
As you listen to this song. My prayer is You will call that which is not existing as if it is.