KOCHA Mkuu wa Alliance FC, Athumani Bilal ‘Bilo’ amesema licha ya kuridhishwa na kiwango kilichooneshwa na vijana wake katika michez...
WAZIRI MABULA AKEMEA UCHELEWESHAJI UTOAJI HATI ZA ARDHI
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amekemea ucheleweshaji utoaji Hati za Ardhi katika Manispaa ya...
WAZIRI MHAGAMA AKAGUA MIRADI YA PSSSF NA NSSF MKOANI MWANZA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ameagiza w...
MHADHIRI WA CHUO CHA USAFIRISHAJI (NIT) SAMSON MAHIMBO MAHAKAMANI KWA KUOMBA RUSHWA YA NGONO
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Agosti 14, imemuachia kwa dhamana mhadhiri wa Chuo cha Usafirishaji (NIT) Samson Mahimbo anayek...
RUFAA YA MRAKIBU WA POLISI (SP) CHRISTOPHER BAGENI KUPINGA HUKUMU YA KUNYONGWA YATUPILIWA MBALI
Mahakama ya Rufani imetupilia mbali ombi la kuangaliwa upya hukumu ya kunyongwa, aliyohukumiwa Christopher Bageni, ambaye alifungua sha...
HOSPITALI ILIYOPEWA FEDHA NA RAIS MAGUFULI, MCHAKATO WA UJENZI WAANZA
Mchakato wa matumizi ya Sh. Bilioni 1.5 zilizotolewa wa Rais John Magufuli kwa ajili ya ujenzi wa hospitali itakayozishirikisha kata ...
WAJIFUNGIA NDANI BAADA YA NYATI KUVAMIA MTAA
Wakazi wa Mtaa wa Kilimahewa, Manispaa ya Mpanda, walikumbwa na taharuki baada ya kuvamiwa na nyati na kulazimika kujifungia ndani y...
WANAOSAMBAZA PICHA ZA MAREHEMU KATIKA MITANDAO KUCHUKULIWA HATUA
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuwakamata na kuwachukulia sheria wale wote wa...
IDADI YA WALIOFARIKI, MAJERUHI WA AJALI YA LORI LILILOWAKA MOTO MOROGORO HII HAPA
Majeruhi 6 kati ya 38 wanaotibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wamefariki dunia na kufanya idadi ya waliofariki hadi sasa kufi...
WAZIRI MKUU KUWA MGENI RASMI SIKU YA KIMATAIFA YA VIJANA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka ishirini (20)ya siku ya kimataifa ya vijana kw...
ASILIMIA 66.3 YA VIFO NCHINI HONDURAS VYATOKANA NA UGONJWA WA DENGUE
Shirika la Afya la Pan American (PAHO) limeripoti karibu asilimia 66.3 ya vifo kutokana na virusi vya ugonjwa wa dengue nchini Hondur...
WATU TISA WAKAMATWA KWA UTAPELI WA KUTUMIA SIMU
Watu Tisa wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya utapeli kwa kutumia simu za mkononi na laini za simu kutoka makampuni mbalimbali na or...
WADAU WA LISHE WAWEZESHWA KUTOKOMEZA UDUMAVU
Shirika lisilokua la kiserikali la Infoy limeendeleza juhudi zake katika kuwawezesha vijana wanaojishughulisha na uzalishaji na usind...
MWALIMU MKUU ATUHUMIWA KUBAKA NA KUMPA MIMBA MWANAFUNZI WA DARASA LA TANO
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyantore, iliyopo Kigoma, Jason Rwekaza (Katikati) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma n...
WATUMIAJI WA MABASI YA MWENDOKASI DART WAKWAMA
Msemaji wa Mradi wa Mabasi Yaendayo kwa Haraka ( DART) maarufu Mwendokasi, Deus Bugaywa amesema kuwa foleni iliyokuwepo leo Agosti 1...
RAIS WA NIGERIA APIGA MARUFUKU UNUNUZI WA VYAKULA KUTOKA NJE
Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari ameitaka Benki Kuu kuhakikisha haitoi fedha za kigeni kwa ajili ya ununuzi wa vyakula kutoka nje y...
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO 14 AGOSTI, 2019
Maafisa wa Paris St-Germain na Barcelona walikutana kwa mara ya kwanza kujadili kuhusu uhamisho wa mshambuliaji wa PSG Neymar, 27, la...
TUHUMA KUHUSU AGIZO LA KUMPIGA RISASI 50 CENT 'HAZINA MSINGI'
Uchunguzi kuhusu tuhuma kwamba afisa mmoja mkuu wa polisi aliwaambia maafisa wake wampige risasi 50 Cent popote watakapomuona, umekam...
MALINZI ATOA UTETEZI WAKE MAHAKAMANI
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (59), amedai mahakamani kuwa wakati anaingia madarakani shirikisho h...
KESI YA UBUNGE WA LISSU KESHO
KESI ya kupinga kuvuliwa ubunge iliyofunguliwa na aliyekuwa mbunge wa zamani wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, inatarajiwa kuanza ku...
KOMBORA LA URUSI GUMZO
WAHANDISI watano wa nguvu za kinyuklia waliofariki baada ya kulipuka injini ya roketi wamezikwa mjini Sarov, kilomita 373 mashariki ...
WANAFUNZI WAVUMBUA ATM YA TAULO ZA KIKE
Hii ni ATM kama ya fedha zinazotumika na Benki mbalimbali, lakini hii si ya fedha bali ya taulo za kike ama pedi za akina dada.
RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA KUELEZA UZOEFU WAKE SADC KESHO
Mwenyekiti mstaafu wa SADC na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Tanzania, Benjamin Mkapa, atatoa mhadhara kwa umma kesho kuhusu uzoefu ...
MASHINE YA ULTRA SOUND YAIBWA SIMIYU
Mashine inayotumika kupima magonjwa ya ndani na kutambua taarifa mbalimbali katika mwili wa binadamu (Ultra sound) imeibiwa katika mazi...