Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Patrobass Katambi ametahadharisha kwa baadhi ya watu wanaowarubuni na kuwapatia Mimba watoto wa Shule ...
SAMATTA APIGA HAT-TRICK, KRC GENK IKIICHAPA 4-0 WAASLAND-BEVEREN UGENINI
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta usiku wa jana amefunga mabao matatu peke yake, timu yake, KRC Genk ikiibuka ...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUJIPIGA RISASI KWA MTU MMOJA
Ndugu Wanahabari, Tarehe 18.08.2019 muda wa saa 05:00hrs alfajiri katika Nyumba ya Shirika La Nyumba la Taifa iliyopo Plot namba 3 na...
RAIS MAGUFULI: TUIMARISHE UMOJA NA MSHIKAMANO KUIJENGA SADC KULETA MAENDELEO KWA WANANCHI
RAIS Dkt. John Magufuli amewataka Wakuu Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuendelea kuimarisha Umoja na Mshikamano...
MKUTANO WA SADC WAHITIMISHWA, RAIS MAGUFULI ATAJA MAMBO WALIYOKUBALIANA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa SADC, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa wamekubaliana mambo kadhaa katika...
WAKUU WA NCHI ZA SADC WASAINI ITIFAKI YA KUBADILISHANA WAFUNGWA
Wakuu wa nchi 16 zinazounda Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika SADC wamesaini itifaki na makubaliano mbalimbali kwa ajili ya kuanza...
PIKIPIKI YA CCM YAIBIWA SHINYANGA.....POLISI WAKAMATA WAHALIFU 73
Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Richard Abwao akionesha pikipiki ya CCM iliyoibiwa na kukamatwa na polisi. Jeshi la polisi mk...