Serikali imewataka wakulima wote nchini kwa kupitia vyama vya Ushirika kuweka mkakati wa kununua na kutumia mitambo ya kuchakata kahawa...
RAIS MAGUFULI “NATAKA NIONE VITU SIO MANENO MANENO TU”
Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pom...
WAKUU WA MIKOA YOTE WAITWA DODOMA KESHO KUPEWA TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Seleman Jafo amewaita Wakuu wa Mikoa (RAS) na Makatibu ...
WATANZANIA MSIJISAHAU, UKIMWI BADO UPO - MKURUGENZI TACAIDS
Dk. Leonard Maboko, Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), amesema Watanzania wasijisahau kwa sababu Ukimwi ...
RWANDA YAANZA KAMPENI WENYE VVU KUNYONYESHA
KIGALI, RWANDA NCHINI Rwanda kina mama walioambukizwa virusi vya Ukimwi wanaweza kujifungua na kunyonyesha watoto wao bila kuwaambu...
MTUMISHI TFS KITETO ANUSURIKA KIFO
Mtumishi wa TFS Kiteto, Bonaventure Mosha (54), aliyenusurika kifo Mtumishi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Kiteto, Bo...
TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA 22 AGOSTI, 2019
PSG imekataa ombi la klabu ya Barcelona la kumnunua kwa mkopo wa dau la pauni milioni 137 pamoja na kumpatia kandarasi ya kudumu msha...
WAZIRI JAFO ATOA MAAGIZO KWA WAKUU WA MIKOA NA MAKATIBU TAWALA MIKOA KOTE NCHINI KUSIMAMIA VYEMA MPANGO KAZI WA TAIFA WA UENDELEZAJI MIJI TANZANIA
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma Waziri wa nchi,Ofisi ya Rais ,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,Seleman Jafo ametoa agizo kwa Wak...
KOREA KASKAZINI YAPUUZA MAZUNGUMZO YA NYUKLIA NA MAREKANI
Korea Kaskazini imesema haioni manufaa ya majadiliano hadi Marekani isitishe kile ilichokiita hatua za uhasama za kijeshi, wakati mjumb...
BUNGE LA UGANDA LAPITISHA SHERIA YA KUPINGA ADHABU YA KIFO 'KUNYONGWA'
Bunge la Uganda limepitisha sheria inayopinga hukumu ya adhabu ya kifo kwa baadhi ya uhalifu, na kufanya marekebisho katika sheria nne ...
WAZIRI MPINA AIVUNJA BODI YA WAKURUGENZI YA BODI YA MAZIWA TANZANIA
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina, ametangaza kuivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Maziwa Tanzania, kuanzia leo August 22, 2019...