Watu wanane wilayani Ngara mkoani Kagera wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za wizi wa mafuta katika gari lililopata ajali K...
MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI MAPINGAMIZI YA SERIKALI DHIDI YA TUNDU LISSU
Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali mapingamizi ya Serikali kupinga kusikilizwa kwa maombi ya kesi namba 18/2019 ya Mwanasheria ...
ATIWA MBARONI KWA KOSA LA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA MITATU
JESHI la polisi mkoani Pwani, linamshikilia Dismas Silyvester (35) kwa kosa la kumbaka mtoto mdogo mwenye miaka mitatu, huko Mlandizi ...
VIFO AJALI YA LORI LA MAFUTA MOROGORO VYAFIKA 102
Idadi ya watu waliofariki kutokana na ajali ya moto wa lori la mafuta mkoani Morogoro imefikia 102 baada ya majeruhi mmoja aliyekuwa ak...
NDEGE YA KIJESHI ILIVYOSAFIRISHWA NA HELIKOPTA ANGANI
Ndege ya Kijeshi inayomilikiwa na Jeshi la Anga la kifalme (RAF) imesafirishwa na helikopta aina ya Chinook kwa ajili ya kuhifadhiwa ...
HATIMAYE TSHISEKEDI ATANGAZA SAFU YA MAWAZIRI WAKE
Leo August 26, 2019 Rais wa DR Congo, Felix Tshisekedi ametangaza baraza jipya la Mawaziri. Baraza hilo limetangazwa hii leo baada y...
RSA WAANZA KUWAFUNDISHA WALIMU MBINU ZA KUEPUKA AJALI KWA WANAFUNZI
Shirika la RSA Tanzania tawi la Kilimanjaro kwa kushirikiana na na Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama barabarani Mkoani Kilimanjaro ...
NAIBU SPIKA DKT TULIA AKSON AWASILISHA KWA NIABA YA SPIKA MAMBO 15 YALIYOFANYWA NA RAIS MAGUFULI
Spika wa Bunge, Job Ndugai, ametaja mambo 15 aliyofanya Rais John Magufuli kwa kipindi cha miaka minne alichokaa madarakani na kuwataka...
TFF YAWAITA WANAOONESHA MPIRA VIBANDANI
Shirikisho la Soka nchini Tanzania TFF, limewaita watu wote wanaoonesha mpira katika vibanda Jijini Dar es Salaam.
ALIYEDAIWA KUMUUA MKEWE KWA SHOKA APIGWA NA KUCHOMWA MOTO
Wananchi wenye hasira kali wamemuua kisha kumchoma moto Juma Lugomba mwenye umri wa miaka 61, Mkazi wa Kijiji cha Chiwata Kata ya Chiwa...
RAIS MAGUFULI AWAITA MAAFISA WATENDAJI IKULU
Leo August 26, 2019 Rais Dkt. John Magufuli ameitisha mkutano na Maafisa Watendaji wa Kata Tanzania Bara, unaotarajiwa kufanyika Iku...
KUNDI LA WAASI LA HOUTHI LA YEMEN LARUSHA MAKOMBORA 10 DHIDI YA UWANJA WA NDEGE WA SAUDI ARABIA
Kundi la waasi la Houthi la Yemen limesema lilirusha makombora 10 dhidi ya uwanja wa ndege wa Jizan nchini Saudi Arabia jana usiku.
SERIKALI YATAJA SABABU YA NDEGE YA TANZANIA KUZUILIWA AFRIKA KUSINI
Msemaji wa Serikali, Dk Hassan Abbas amesema sababu ya kushikiliwa ndege ya Air Tanzania aina ya Airbus A200-300 ni kesi kati ya Serika...
HATIMA YA UBUNGE WA TUNDU LISSU KUJULIKANA LEO
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inatarajia kutoa uamuzi endapo maombi yaliyowasilishwa na aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashari...