Japan itakuwa mwenyeji wa mkutano wa maendeleo na viongozi wa Afrika wiki hii, ikitazamia kuimarisha uwepo wake barani humo na kutoa ...
BARABARA YA KISONGO BYPASS KUANZA UKARABATI RASMI
Halmashauri ya Jiji la Arusha limepata Fedha za nyongeza kiasi cha bilion 4.106 kwa ajili ya ujezi wa barabara ya kisongo Bypass yenye ...
SHIVYAWATA WAITAKA NEC KUWEKA MAZINGIRA RAFIKI KWA WALEMAVU
Na Annastazia Paul, Shinyanga Shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu SHIVYAWATA Mkoa wa Shinyanga limeitaka Tume ya uchaguzi NEC ku...
JELA MIAKA 30 JELA KWA KUBAKA MWANAFUNZI MWENYE UMRI WA MIAKA 17 NA KUMPA MIMBA
Mkazi wa kijiji cha Mpunze Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Ramadhani Mohamedi (23) amekuhumiwa kwenda jela miak...
KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA NOTI BANDIA
Mkazi wa Magomeni Mapipa Mariam Zuberi (21), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kwa tuhuma za kukutwa na ...
DPP AMFUNGULIA MASHTAKA UHUJUMU UCHUMI MTUHUMIWA UBAKAJI, ULAWITI
MKURUGENZI wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga, amesema ofisi yake imemfungulia mashtaka ya uhujumu uchumi, Ahmed Abdulkarim Mohamed k...
BARA LA AFRIKA LATAKA KUWEZESHWA KUJITEGEMEA
Nchi za Bara la Afrika, Tanzania ikiwemo zimesema wakati umefika sasa kwa Nchi zilizoendelea kuisaidia Afrika kujitegemea na kuliwezesh...
WIMBO WA TETEMA WA RAYVANNY NA DIAMOND PLATNUMZ WAPIGWA MARUFUKU KENYA
Wimbo Tetema wa msanii Raymond Mwakyusa maarufu Rayvanny aliomshirikisha Diamond Platnumz umepigwa marufuku kupigwa katika maeneo ya wa...
AMNUNULIA MWANAYE AIRBUS A350-1000 MBILI KIMAKOSA
BILIONEA mmoja nchini Saudi Arabia amenunua ndege mbili aina ya Airbus A350-1000 kwa bahati mbaya wakati akitafuta zawadi ya ‘bi...
SERIKALI YAPIGILIA MSUMARI MARUFUKU UMILIKI WA SIMU, WATOTO CHINI YA MIAKA 18
Naibu Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye ametoa onyo kwa wazazi na walezi wanao waruhusu watoto w...
HAKIMU ATOA NAFASI YA MWISHO KESI YA MDEE
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam imeutaka upande wa mashtaka kuieleza mahakama kama hawana mashahidi katika kesi...
STARS YAANZA MAANDALIZI KUICHAKAZA BURUNDI KUELEKEA KOMBE LA DUNIA
Meneja wa Taifa Stars, Nadir Haroub ‘Canavaro’ amesema timu itaingia kambini kesho katika hoteli ya Sea Scape jijjini Dar es salaam ...
ZOEZI LA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA LAPIGWA KALENDA SHINYANGA KUANZA SEPTEMBA 2
Kamishina wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa nchini Tanzania,Mhe. Balozi Omari Ramadhani Mapuri Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la...
WAWEKEZAJI SEKTA YA NGOZI KUTOKA MISRI, WAWASILI NCHINI KUFUATIA WITO WA WAZIRI MKUU MAJALIWA
Wawekezaji katika sekta ya ngozi wamewasili hapa nchini wakitokea nchini Misri kufuatia mwaliko wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano w...
ANAYEDAIWA KUMUUA NA KUMCHOMA MKEWE KWA MAGUNIA MAWILI YA MKAA AOMBA APATIWE SIMU ZAKE ILI AHAMISHE FEDHA ZAKE
Mshtakiwa Hamisi Luwongo anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani kisha kumchoma na magunia mawili ya mkaa, ameomba apewe laini zake ...
BRAZIL YAKATAA MSAADA WA G7 KUZIMA MOTO WA AMAZON
Brazil Jumatatu imekataa msaada wa kifedha wa dola milioni 20 wa kusaidia kuzima moto katika msitu wa Amazon kutoka kundi la (G7).
MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU: SINA NIA YA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa hana nia ya kugombea nafasi ya uongozi kwa ngazi ya Urais visiwani Z...
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA MAJALIWA KUONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KWENYE MKUTANO WA SABA WA TOKYO KUHUSU MAENDELEO YA AFRIKA (TICAD 7) AKIMWAKILISHA RAIS MAGUFULI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi amewasili jijini Yokohama, Japan tarehe 26 Ago...
JAJI MKUU ATAKA VIPIMO VYA DNA KUTUMIKA KATIKA KESI ZA MAUAJI, UBAKAJI NA UNAJISI
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma leo ameanza ziara ya kikazi katika mikoa ya Iringa na Njombe na kutaka kuwepo kwa m...
MWANAFUNZI CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) AHUKUMIWA JELA MIEZI 12 AU FAINI MILIONI 5 KWA KUCHAPISHA MAUDHUI MTANDAONI BILA LESENI
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam nchini Tanzania, imemhukumu mwanafunzi wa mwaka wa pili, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji...