Divine Radio Live
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAMOSI 31 AGOSTI, 2019
Mwenyekiti wa Crystal Palace Steve Parish amesema atamruhusu mshambuliaji wa Ivory Coast forward Wilfried Zaha, 26, kuondoka klabu h...
LAMINE AMPA KIBURI YONDANI
BEKI mkongwe wa Yanga, Kelvin Yondani amekubali kiwango cha Mghana, Lamine Moro huku akipata matumaini ya kufanya vizuri kwenye msimu h...
KATIBA MPYA KOREA KASKAZINI YAMPAISHA KIM JONG UN
BUNGE la Korea ya Kaskazini limepitisha mabadiliko ya kikatiba ya kumwinua zaidi kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong Un, kuwa mkuu wa nchi ...
AJIBU AMRAHISISHIA KAZI KAGERE
IBRAHIM Ajibu, nyota wa Simba aliyejiunga msimu huu akitokea Yanga ameweka wazi kuwa amejipanga kutoa asisti zaidi ya 17 alizotoa akiwa...
MAWAKILI WAJA NA HOJA TATU KUIOKOA NDEGE AFRIKA KUSINI
Wakili Mkuu Msaidizi wa Serikali Dk Ally Possi (katikati) akiwa na jopo lake la mawakili katika kesi ya kupinga kushikiliwa kwa ndege y...
VIONGOZI WATAKA UAMUZI MGUMU UCHUKULIWE KUSIMAMIA RASILIMALI
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa (kushoto) na Thabo Mbeki wa Afrika Kusini wakiwaongoza viongozi wengine baada ya kufungwa kwa mkutano wa siku...
WAKILI ADAI KABENDERA KAPOOZA AKIWA GEREZANI
WAKILI anayemtetea Mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera (39), Jebra Kambole, ameieleza mahakama kwamba afya ya mteja wa...
MTOTO WA MIAKA 9 AFARIKI KWA EBOLA UGANDA
KASESE, UGANDA MAOFISA nchini Uganda wamesema msichana wa miaka 9 kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo aliyethibitishwa ku...
WATU 5 WAFARIKI BAADA YA GARI LA DANGOTE KUGONGANA NA GARI DOGO RUFIJI MKOANI PWANI
Watu watano wamefariki baada ya Gari la Dangote lililokuwa limebeba malighafi ya kutengenezea saruji likielekea Mtwara kugongana na Gar...
KESI YA VIGOGO CHADEMA YAPIGWA TAREHE
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jana ilishindwa kuendelea na ushahidi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema...
MO DEWIJ AWAOMBA MSAMAHA MASHABIKI WA SIMBA
Muwekezaji wa simba SC Mohamed Dewij amefunguka na kuonyesha jinsi alivyoumizwa na matokeo mabaya ya timu ya Simba dhidi ya wapinzani...
WAFANYABIASHARA 300 KUTOKA UGANDA KUTUA TANZANIA
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania mapema mwanzoni mwa mwezi Septemba, ambapo atakutana na kufany...
MWENDESHA BODABODA ALIYEFARIKI KWA AJALI AZUA GUMZO KUACHA WAJANE 'Wake' 6 NA WATOTO 30
Siri nyingi hufichuka wakati ambapo binadamu anafariki kwani licha ya kuwa ni kinyume na itikadi kumuanika aliyeaga dunia, mambo mengin...
POLISI PWANI YAKAMATA SHEHENA YA VIPODOZI FEKI
JESHI la polisi mkoani Pwani, linamshikilia Albert Kiwia (45) mkazi wa Kimara Dar es salaam kwa kosa la kusafirisha shehena ya vipodozi...