Kamati ya Bodi ya Ligi Kuu ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake cha Septemba 2, 2019 ilipitia matukio mbalimbali ya ...
HASHEEM THABEET MBIONI KURUDI NBA
Mtandao wa bleacherreport.com umeripoti kuwa mtanzania Hasheem Thabeet yupo mbioni kurudi kucheza ligi kuu ya kikapu nchini Marekani ...
AFISA TARAFA ELERAI AAGIZA MZAZI ALIYEWAFANYIA VURUGU WALIMU AKAMATWE
Afisa Tarafa wa Elerai Elerai ,Titho Cholobi ameagiza Mzazi aliyefika katika shule ya sekondari Olasiti na mwanae akiwa na tatizo l...
MUAMUZI ALIYECHEZESHA MECHI YA YANGA DHIDI YA RUVU SHOOTING AFUNGIWA
Kamati ya Bodi ya Ligi Kuu ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake cha Septemba 2, 2019 ilipitia matukio mbalimbali ya ...
BUNGE LAFANYA AZIMIO LA KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUCHAGULIWA KUWA MWENYEKITI SADC
NA FAUSTINE GIMU GALAFONI, DODOMA Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo Sept 3, 2019 limefanya azimio la kumpongeza Rais wa ...
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA YATOA MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI KWA KIPINDI CHA MWEZI OKTOBA HADI DESEMBA 2019
Dondoo muhimu za msimu wa mvua za Vuli kipindi cha Oktoba – Disemba, 2019
MGAMBO WAONYWA KUPIGA WANANCHI
MKUU wa Wilaya ya Kilolo, Asia Abdallah, amepiga marufuku mgambo kutumia nguvu kupiga hadi kuumiza watuhumiwa wa makosa mbalimbali w...
MMOJA WA PACHA WALIOTENGANISHWA AFARIKI DUNIA
Mmoja wa pacha waliotenganishwa nchini Saudi Arabia na kurejea nchini Agosti 30, mwaka huu, Anisia Bernard, amefariki dunia usiku wa...
WAZIRI LUKUVI AWAPA KAZI HII WAKUU WA MIKOA NCHINI
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Wakuu wa mikoa nchini kuhakikisha wanaharakisha uanzishwaji Ofi...
SWALI LA KWANZA ALILOULIZA MRITHI WA LISSU BUNGENI
Mbunge wa Singida Mashariki (CCM), Miraji Mtaturu leo ameuliza swali lake la kwanza bungeni baada ya kuapishwa.
SPIKA NDUGAI ATANGAZA UTARATIBU MPYA KWA WABUNGE
Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, amesema Bunge lina mpango wa kuacha kutumia mfumo wa sasa wa makaratasi Bungeni, kwa ajili ya ku...
STARS YAPANIA KUFANYA MAKUBWA UGENINI
MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania amesema kuwa wachezaji wanatambua kazi kubwa ambayo wametumwa na Taifa kwa ajili y...
SPIKA WA BUNGE, JOB NDUGAI AMWAPISHA MIRAJI MTATURU KUWA MRITHI WA JIMBO LA TUNDU LISSU
Spika wa Bunge, Job Ndugai, leo Jumanne September 3, 2019 amemwapisha Miraji Mtaturu kuwa Mbunge wa Singida Mashariki. Mtaturu amechuk...
WATU 41 WAKAMATWA NA POLISI NCHINI AFRIKA KUSINI KWA KUVAMIA, KUPORA NA KUCHOMA MOTO MADUKA YA WAHAMIAJI TOKA MATAIFA YA AFRIKA
Watu 41 wamekamatwa na Polisi nchini Afrika kusini kwa madai ya kupora mali na kuchoma maduka ya Wahamiaji kutoka mataifa ya Afrika.
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMANNE 03 SEPTEMBA, 2019
Ujumbe mfupi kutoka kwa Lionel Messi huenda ulivuruga mpango wa Barcelona kumsajili tena mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil Neymar,...
UTEUZI MPYA ULIOFANYWA NA RAIS MAGUFULI
R ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Fredrick Cassian Kahimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shir...
SERIKALI YARIDHIA OMBI LA KUWAPATIA ARDHI VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO NCHINI ISRAEL
WIZARA YA KILIMO - JERUSALEM, ISRAEL Serikali imeridhia ombi la vijana 45 waliohitimu masomo ya Kilimo nchini Israel la kuwapatia ardhi...