Bwana Yesu Asifiwe Mwana wa Mungu, ni imani yangu kuwa unaendelea kushangilia ukuu wa Mungu kwa yale makuu na ya ajabu anayoendelea kut...
QATAR WAZINDUA NEMBO MPYA YA KOMBE LA DUNIA 2022
Waandaaji wa fainali za kombe la dunia 2022, Qatar wametambulisha nembo mpya yenye utamaduni wao katika jiji la Doha.
KITUO MAARUFU CHA REDIO NCHINI ZAMBIA CHASITISHA KUPIGA MUZIKI WA AFRIKA KUSINI
Nchini Zambia , kituo maarufu cha redio kimesema kuwa hakitapiga tena muziki wa Afrika kusini kupinga mapigano ya ubaguzi ambayo yana...
WANANCHI MJI MDOGO WA ISAKA WAANZA KUFAIDI MAJI YA ZIWA VICTORIA
Zaidi ya wakazi 22,527 wanatarajia kunufaika na huduma ya maji safi na salama katika mji mdogo wa Isaka uliopo katika Halmashauri ya Ms...
MCHUNGAJI AFARIKI AKIFUNGA SIKU 30 ....SIKU ALIBAKIZA 10
Mchungaji Brighton Samajomba kutoka nchini Zambia, amefariki dunia kwa kinachotajwa kupatwa na Utapiamlo' akiwa katika mfungo ambao...
MADEREVA BAJAJI WAFUNGA BARABARA MOROGORO....JESHI LA POLISI LAWATULIZA
Baadhi ya madereva wa bajaji mjini Morogoro wamelazimika kufunga barabara kufuatia kamatakamata ya polisi iliyofanyika katika mji huo m...
DC JOKATE ATANGAZA KULETA MTIHANI MMOJA WA SHULE ZA SECONDARY KISARAWE
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo amesema kwa Mwaka huu Kisarawe italeta mtihani mmoja wa Mock ya kwanza utakao wahusisha kid...
TETESI ZA SOKA ULAYA ALHAMISI 05 SEPTEMBA, 2019
Barcelona ingelimsaini mshambuliaji wa Tottenham Lucas Moura, 27, msimu huu lakini ilishindwa kufikia bei yake ya £45m. (Mundo Deport...
MHE.SHONZA - SERIKALI HAISHINIKIZI UDHAMINI KATIKA MICHEZO
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza amesema kuwa Serikali haishikizi ufadhili katika michezo bali ...
MAOMBI YA KITAIFA KUFANYIKA KUPINGA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
Serikali ya Afrika Kusini imetangaza Septemba 8 mwaka huu kama siku ya maombi ya kitaifa kwa ajili ya wanawake ambao wameuawa kufuati...
WAFANYAKAZI WAWILI WA TBS WAFIKISHWA MAHAKAMANI
Wafanyakazi wawili wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Mkurugenzi wa kiwanda cha Waadilifu ambae ni raia wa China wamefikishwa kati...
RC HAPI AKERWA NA VIJANA KUKESHA MITANDAONI
Mkuu wa Mkoa wa Iringa , Ally Hapi amewataka vijana nchini kutumia muda wao kufanya kazi zenye tija kiuchumi badala ya kukesha kwenye...
ALICHOSEMA JANUARY MAKAMBA BAADA YA RAIS MAGUFULI KUTANGAZA MSAMAHA
Mbunge wa Bumbuli na aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba amemshukuru Rais John...
WANIGERIA WENYE HASIRA WALIPIZA KISASI, WAPORA MADUKA YA WAAFRIKA KUSINI
Maduka ya wafanyabiashara wa Afrika Kusini nchini Nigeria yalivamiwa jana ikiwa ni hatua ya kujibu, mashambulizi ya hivi karibuni katik...
WALIOFICHA MENO YA TEMBO WAPEWA MWEZI MMOJA WAJISALIMISHE
SERIKALI imetoa muda wa mwezi mmoja (kuanzia Septemba 4 hadi Oktoba 4, 2019) kwa wananchi wote wanaomiliki meno ya Tembo kinyume cha sh...
SERIKALI YA TANZANIA YALAANI VURUGU ZINAZOENDELEA AFRIKA KUSINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamaganda Kabudi, amesema vuguvugu linaloendelea nchini Afrika y...
MAMLAKA YA UDHIBITI WA HUDUMA ZA NISHATI NA MAJI (EWURA) YATANGAZA BEI MPYA ZA PETROL NA DIZELI
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) nchini Tanzania imetangaza bei za kikomo kwa bidhaa za mafuta nchini humo zita...