GHARAMA ANAZOTAKIWA KULIPA MZUNGU ALIYEZUIA NDEGE AFRIKA KUSINI
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dk Adelardus Kilangi amefafanua agizo la Mahakama ya Guteng ya Afrika Kusini lililomtaka mkulima Her...
KIKOSI CHA TAIFA STARS KITAKACHOANZA DHIDI YA BURUNDI
Kikosi cha Taifa Stars kitakachoanza dhidi ya Burundi
TALGWU MARA WAMMWAGIA SIFA RAIS MAGUFULI
Mwenyekiti wa Chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa TALGWU mkoa Mara,Karebu Kehongo amepongeza uongozi awamu ya Tano chini ya Rais...
KIPA WA YANGA RUKSA KUIVAA ZESCO
Kipa namba moja wa Yanga, Farouk Shikalo atakuwa sehemu ya kikosi cha kwanza kitakachoivaa Zesco ya nchini Zambia baada ya juzi usiku...
OSHA YAZUNGUMZA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI
Wito umetolewa kwa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kuongeza jitihada katika kusimamia viwango vya usalama na afya kat...
WANAFUNZI 6,862 KUFANYA MTIHANI WA KUHITIMU DARASA LA SABA 2019 WIKI IJAYO HALMASHAURI YA BUKOBA
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Bukoba Mhe. Hashim Murshid Ngeze Halmashauri ya wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera imesema imekam...
MUGABE KUZIKWA KATIKA MAKABURI YA MASHUJAA ZIMBABWE
Rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe atazikwa kwenye makaburi yaliyoko kwenye kilele cha kilima, ambayo yamehifadhiwa makhsusi kwa...
NACTE YAONGEZA MUDA WA UDAHILI UOMBAJI MAFUNZO NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE) liimetangaza kuongeza muda wa udahili kwa waombaji mafunzo kwa ngazi ya Cheti na Diploma kwa ...
WALIMU WAWILI JELA MIAKA 30 KWA KUMBAKA MWANAFUNZI KWA ZAMU
Walimu 2 wa Sekondari Wilayani Iramba, Singida wamehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kukutwa na hatia ya kumbaka kwa zamu Mwanafunzi wa...
PAKISTAN YAZUIA NDEGE YA RAIS WA INDIA KURUKA KATIKA ANGA YAKE
Pakistan imesema imekataa ombi la Rais Ram Nath Kovind wa India la kutaka ndege yake kutumia anga yake wakati akielekea barani Ulaya hu...
WAZIRI MWINGINE AJIUZULU UINGEREZA
Waziri Mkuu wa Uingereza amepata pigo jingine baada ya waziri mwandamizi Amber Rud kujiuzulu kwa kupinga namna ambavyo anashughulikia...
MFALME WA SAUDIA AMTUMBUA WAZIRI WA NISHATI, AMPA NAFASI MWANAWE
Mfalme Salman wa Saudi Arabia amemuondoa katika wadhfa wake waziri wa nishati na kumpa nafasi hiyo mwanawe, aitwae Mwanamfalme Abdula...
RAIS WA NIGERIA KUFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI AFRIKA KUSINI
Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi nchini Afrika Kusini. Kwa mujibu wa ofisi ya rais ya Afrika Kusi...