MWANAMME mmoja raia wa Australia amefariki dunia katika ajali ya baiskeli wakati akijaribu kukwepa ndege aina ya kwenzi aliyekuwa ak...
SERIKALI YAKIRI UHABA WAANDISHI WA SHERIA
SERIKALI imekiri kukabiliwa na uhaba wa wataalamu wa uandishi wa sheria, hali inayotatiza ubora wa sheria ndogo zinazoandikwa baada ...
UFARANSA YALAANI MASHAMBULIZI YA SAUDI ARABIA
Ufaransa imelaani vikali mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yaliyofanywa jana katika vituo vya mafuta vya Saudi Arabia.
KIKOSI CHA TAIFA STARS KILICHOITWA KWA AJILI YA CHAN
Kikosi cha Wachezaji 25 kilichoitwa na Kaimu Kocha Mkuu Ettiene Ndairagije kwa mchezo wa CHAN dhidi ya Sudan.
BARAZA LA WAWAKILISHI MBIONI KUANZA
Mkutano wa Kumi na Tano Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar unatarajiwa kuanza siku ya Juma tano Septemba 18 kuanzia majira ya Saa...
RAIS MAGUFULI AAHIDI KULISHUGHULIKIA LILILOKUWA JIMBO LA LISSU
Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameahidi kushughulikia jimbo lililokuwa na Tundu Lissu (Singida Mashariki) kwa upande wa M...
SERIKALI YACHUKIZWA NA MGONGANO WA DC, DED MALINYI ....WAZIRI MKUU AELEKEZA WELEDI WAO KIUTENDAJI UCHUNGUZWE
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amechukizwa na mgongano uliopo kati ya Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Majura Kasika na Mkurugenzi Mtendaji wa H...
RAIS MAGUFULI ALIPONGEZA SHIRIKA LA NDEGE LA TANZANIA (ATCL)
Rais Dkt John Pombe Magufuli amesema kuwa sababu ya ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kumatwa nchini Afrika Kusini ni wivu b...
AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 60 KWA KUVUTISHA BANGI NA KUWALAWITI WATOTO
Mahakama ya Wilaya ya Musoma mkoani Mara, imemuhukumu Nyamasheki Malima (41), kifungo cha miaka 60 jela, kwa kumkuta na hatia ya kuwavu...
MAREKANI YASEMA IKO TAYARI KUJIBU MASHAMBULIZI YALIYOFANYWA SAUDI ARABIA
Rais Donald Trump amesema Marekani iko tayari kujibu mashambulizi yaliyofanywa katika miundo mbinu ya mafuta ya Saudi Arabia, mashambul...
WAZIRI WA UJENZI MHANDISI ISACK KAMWELWE AZIKARIBISHA NCHI WANACHAMA WA SADC KUTUMIA BANDARI YA DAR ES SALAAM
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amezikaribisha Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kus...
NAIBU WAZIRI KANYASU AWAFUNDA WAZAZI WENYE WATOTO WALIOHITIMU DARASA LA SABA
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Geita mjini, Mhe.Constantine Kanyasu amewahimiza wazazi wenye wato...
MWIGULU AWATAKA WANANCHI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI
Mbunge wa Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba ametimiza ahadi zake alizo zitoa jimboni kwake Iramba Magharibi Aprili mwaka huu, ameyasema ...
WAZIRI MKUU: TATIZO LA BARABARA IFAKARA MLIMBA KUWA HISTORIA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema changamoto ya barabara ya kutoka Ifakara hadi Mlimba iliyokuwa inawakabili wananchi wa maeneo hayo ...