Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga limetakiwa kuwakamata madereva wote wanaondesha vyombo vya moto mkoani humo, wakiwa wamelewa na kusaba...
MKURUGENZI HANANG AKEMEA VITENDO VYA KIKATILI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, Bryceson Kibasa amekemea vitendo vya kikatili vinavyoendelea wilayani Hanang ...
UCHUNGUZI WA VINASABA (DNA) KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI HUCHUKUA SIKU 21 PEKEE
Mkemia Mkuu wa Serikali Dkt. Fidelis Mafumiko amesema kuwa uchunguzi wa vinasaba (DNA) katika maabara ya mamlaka hiyo hufanyika ndani ...
BONDIA ACHAKAZWA HADI KUKIMBIZWA HOSPITALI
Bondia Muingereza Tyson Fury amekiona cha mtemakuni na kukimbizwa hospitali baada ya kujeruhiwa kwa kuchakazwa kwa ngumi kali na mpin...
MBUNGE AMINA MOLLEL ASHAURI WANANCHI KUMTOLEA MUNGU
Wananchi Mkoani Arusha, wametakiwa kujitolea kwa mali na vitu walivyonavyo kwa ajili ya kumtumikia Mungu ili waendelee kubarikiwa.
TAASISI ZA SERIKALI ZATAKIWA KULIPA MADENI TANESCO
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu ameziagiza taasisi za Serikali zenye madeni ya umeme zihakikishe kuwa zinalipa madeni hayo kwa ...
MWALIMU MKUU AKAMATWA TENA BAADA YA BINTI ALIYEMKANA KUKAMATWA NA KUHOJIWA
Kamanda wa Polisi mkoani Kigoma, ACP Martin Ottieno amesema tayari jana usiku wamemkamata kwa mara nyingine Mwalimu mkuu wa Shule ya ...
45 WAKAMATWA KWA KUJIHUSISHA NA BIASHARA YA PETROLI KATIKA MAKAZI YA WATU
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma limefanya msako mkali katika Wilaya zote mkoani hapa na kufanikiwa ku...
WAZIRI MKUU AMSIMAMISHA KAZI MHANDISI MOROGORO, AMWAGIZA MKUU WA MKOA AUNGALIE VIZURI MKOA WAKE
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mhandisi wa Ujenzi wa wilaya ya Morogoro, Brown Undule baada ya kushindwa kutekeleza maj...
SIMBACHAWENE AAGIZA WANAOHARIBU VYANZO VYA MAJI WACHUKULIWE HATUA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. George Simbachawene ameagiza wanaoharibu vyanzo vya maji katika ma...
KABENDERA: NIMEFANYIWA KIPIMO CHA X-RAY, DAMU
MWANDISHI wa habari za uchunguzi nchini Tanzania, Erick Kabendera, anayetuhumiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi, ameieleza mahakama nchin...
BOCCO NJE MWEZI MZIMA, KAGERE NAYE MAJANGA
Nahodha wa Simba, John Bocco MAJANGA juu ya majanga! Ndiyo neno jepesi unaloweza kulitumia kwa mshambuliaji na nahodha wa Simba, John...
JAMHURI YAMUWEKEA PINGAMIZI ALIYEFUNGUA KESI YA UKOMO WA URAIS
Jamhuri imemuwekea pingamizi Mkulima Patrick Dezydelius Mgoya aliyefungua kesi ya Kikatiba inayohoji ukomo wa kipindi cha Urais wa Tan...
HAYA HAPA MAKUNDI YA CECAFA U-20
Timu ya Tanzania kwa wachezaji wenye umri wa chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) imepangwa kundi B katika michuano ya Afrika Masharik...
LIGI YA MABINGWA ULAYA KUENDELEA LEO
Mshike mshike wa ligi ya mabingwa barani Ulaya msimu wa 2019/20 utaendelea tena leo usiku kwa michezo ya makundi manne kuchezwa kati...
ADAM SALAMBA KULIPWA KWA DOLA
Mshambuliaji wa timu ya Simba Adam Salamba, ambaye amejiunga kwa mkopo na timu ya Al Jahra SC inayoshiriki Ligi Kuu nchini Kuwait, ...
ROSS BARKLEY AJITWISHA MZIGO WA LAWAMA, LAMPARD AMTETEA
Meneja wa Chelsea, Frank Lampard amemkingia kifua mchezaji wake Ross Barkley, ambaye usiku wa kuamkia leo alijitia lawamani, kwa kuk...
JURGEN KLOPP AJITETEA KWA KICHAPO, ANCELOTTI ACHEKELEA
Mabingwa watetezi wa michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya Liverpool, wameanza vibaya msimu huu, kwa kukubali kufungwa na SSC Napoli wal...
MAKUSANYO YA MAPATO YAMELETA MAGEUZI YA HUDUMA ZA AFYA TAMISEMI
UKUSANYAJI wa mapato ni moja ya vipaumbele muhimu vya Serikali ya Awamu ya Tano katika kujenga uwezo wa ndani wa kujitegemea na kupung...
MWANAMKE “NATAKA HELA YANGU KWA R. KELLY”
Stori kubwa kutoka US leo Spetember 18, 2019 Mwanamke mmoja ambaye alijitoa kutoa fedha kwa ajili ya dhamana ya Staa R. Kelly ataka a...
UCHAGUZI ISRAEL: NGOMA NZITO KWA NETANYAHU ASHINDWA
Matokeo ya awali katika uchaguzi wa Israel yanaonyesha kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu pamoja na washirika wake wa siasa za kidi...
ALIYELALA AKIOTA ANAMEZA PETE YA UCHUMBA AAMKA NA KUKUTA KWELI KAIMEZA
Jenna Evans aliyemeza pete ndotoni Mwanamke mmoja nchini Marekani amewashangaza wengi baada ya kumeza pete ya uchumba iliyokuwa kidol...
IGP SIRRO AFANYA MABADILIKO KWA MA-RPC
Mkuu wa Jeshi Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo ya makamanda wa polisi wa mikoa (RPC).
BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) YAKANUSHA KUHUSU TAARIFA YA SARAFU YA SHILINGI 3,000
Benki Kuu ya Tanzania inapenda kukanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kwamba mwezi Julai 2019 ilitoa sarafu ya kumbukumbu ya visiwa ...