Mzee wa miaka 81 aitwaye Francis Muthua Chege, amerudi nyumbani baada ya kupotea kwa miaka 51 akiwaacha mke wake na watoto sita katika ...
VIDEO: PASTA AWATANDIKA VIBAO WAUMINI MMOJA BAADA YA MWINGINE
Pasta James Ng'ang'a wa nchini Kenya ameibuka tena kwa mara nyingine tena na taarifa za kushangaza na pia kufurahisha.
PROGRAMU YA UKUZAJI UJUZI KUTATUA CHANGAMOTO YA AJIRA KWA VIJANA
Programu ya Ukuzaji Ujuzi inayoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa ni chachu ya mafanikio kwa vijana katika kukuza ujuzi wao kupit...
TANZANIA YAINGIA MKATABA WA UNUNUZI WA NDEGE MBILI AINA YA AIRBUS A220-300
Serikali imesaini mkataba wa ununuzi wa ndege mbili aina ya Airbus A220-300 kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania(ATCL).
TCRA YAENDELEA NA KAMPENI KUHUSU USAJILI WA LAINI KWA KUTUMIA ALAMA ZA VIDOLE
Wakazi wa Mkoa wa Tabora na viunga vyake wamejitokeza kwa wingi katika kampeni ya Mnada kwa Mnada ambapo Mamlaka ya Mawasiliano Tanza...
TANZANIA YAPAA VIWANGO VYA FIFA
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepanda nafasi mbili katika viwango vya ubora vya FIFA Ranking Vilivyotolewa Leo.
RASMI: YANGA WAMTANGAZA AFISA HABARI NA MAWASILIANO
Mwenyekiti wa Yanga Dr. Mshindo Msolla (kushoto) kwa kushirikiana na kamati ya utendaji ya klabu hiyo wamemtangaza rasmi Hassan Bumbuli...
LHRC WAKUTANA NA WADAU KUJADILI SUALA LA MIKATABA MAHALA PAKAZI
Katika kukabiliana na tatizo la wafanyakazi wa makampuni ya kibiashara nchini kukabiliwa na changamoto ya kutopewa nakala za mikataba...
KILICHOSABABISHA AKOTHEE AZUIWE KUINGIA BUNGENI (+PICHA)
Leo September 19, 2019 Msanii wa muziki na mfanyabiashara nchini Kenya, Akothee amekutana na kizuizi cha walinzi katika eneo la maje...
ALIEKUWA RAIS WA SIMBA AVEVA NA MAKAMU KABURU WAACHIWA KWA DHAMANA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imempa dhamana aliyekuwa Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na Godfrey Nyange maarufu Kaburu baada y...
SAUDI ARABIA YAONYESHA MABAKI YA MAKOMBORA YALIYOSHAMBULIA VISIMA VYAKE VYA MAFUTA
Saudi Arabia imeonyesha mabaki yaliyoteketea ya kile ilichosema ni makombora ya angani na ndege zisizokuwa na rubani zilizotumika kusha...
TRUMP ATANGAZA VIKWAZO VIPYA KWA IRAN KUFUATIA MASHAMBULIZI HUKO SAUDI ARABIA
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran baada ya yale mashambulizi katika visima vya mafuta vya Saudi Arab...
AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUMCHOMA MTOTO MIKONO
Mkazi wa Makongo, Nicholaus Makali (32), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam kwa kosa la ku...
KIUNGO YANGA SC AWAKATAA JUMA BALINYA, SIBOMANA
Wa shambuliaji wa kimataifa wa Yanga Sadney Urikhob (kushoto) Juma Balinya (kulia) na Patrick Sibomana (katikati). KIUNGO mkabaji ...
PICHA: IGP SIMON SIRRO ALIVYOKABIDHIWA BENDERA NA KUWA MWENYEKITI WA SHIRIKISHO LA WAKUU WA POLISI MASHARIKI MWA AFRIKA EAPCCO.
IGP Simon Sirro amekabidhiwa bendera na kuwa Mwenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki Mwa Afrika EAPCCO.
JAMII YATAKIWA KUWARIPOTI WAHAMIAJI HARAMU KATIKA KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MKOANI KAGERA
Jamii Mkoani Kagera imetakiwa kutoa ushiriakiano katika idara ya uhamiaji ili kuweza kuwabaini wananchi wanaoingia nchini pasipo kufuat...
MWENGE WA UHURU WAKATAA MRADI WA MAJI NJOMBE
Mbio za mwenge wa uhuru kitaifa mwaka 2019 zimeshindwa kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa mradi wa maji kijiji cha Kidegembye jimbo...
CHUKUA HII NA UIFAHAMU
Tafiti: Mende hupatwa na kinyaa pale anapoguswa na Binadamu, unaambiwa hukimbia haraka na kwenda kujisafisha baada ya kuguswa.
BIBI AHUKUMIWA MIAKA 99 JELA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu kifungo cha miaka 99 jela, Bibi Salma Mntambo baada ya kupatikana na hatia katika mashita...
ZIARA YA MAJALIWA MAUMIVU, MWINGINE ASIMAMISHWA KAZI
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amemsimamisha kazi Mhandisi wa Ujenzi Wilaya ya Morogoro, Brown Undule, baada ya kushindwa kutekeleza m...
MBEBA MIZIGO AUAWA KWA KISU AKIGOMBANIA SH 1,500
MKAZI wa Kwere Halmashauri ya Mji wa Babati, Rajabu Said (22), ambaye ni mbeba mizigo, ameuawa kwa kuchomwa kisu chini ya titi la ku...
“BADO HATUJANUFAIKA NA BIASHARA YA ZIWA VICTORIA.” NAIBU WAZIRI ULEGA
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amesema ni vyema shughuli za uvuvi zikarasimishwa ili wavuvi waweze kunufaika ku...