} });
 
IRAN YAONYA VIKOSI VYA NJE VINATISHIA USALAMA WA GHUBA
IRAN YAONYA VIKOSI VYA NJE VINATISHIA USALAMA WA GHUBA

TEHRAN, IRAN RAIS wa Iran, Hassan Rouhani  ameonya vikosi vya nje vinatishia usalama wa eneo la Ghuba, baada ya Marekani kudai inat...

Read more » Soma zaidi »

MMOJA KATI YA WALIOFARIKI KWA AJALI YA NDEGE LEO NI MTOTO WA MKUU WA MAJESHI TANZANIA, MWILI WAKE WACHUKULIWA KWA MAZISHI
MMOJA KATI YA WALIOFARIKI KWA AJALI YA NDEGE LEO NI MTOTO WA MKUU WA MAJESHI TANZANIA, MWILI WAKE WACHUKULIWA KWA MAZISHI

Nelson Mabeyo, mtoto wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania (CDF), Jenerali Venance Mabeyo ni miongoni mwa watu wawili waliofarik...

Read more » Soma zaidi »

DPP ATOA MAELEZO KWA WAHUJUMU UCHUMI WANAOTAKA KUSAMEHEWA
DPP ATOA MAELEZO KWA WAHUJUMU UCHUMI WANAOTAKA KUSAMEHEWA

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), Biswalo Mganga amesema ofisi yake ipo tayari kutekeleza ushauri wa Rais John Magufuli aliyetaka ...

Read more » Soma zaidi »

KIGOGO USALAMA ANASWA KWA DAWA ZA KULEVYA
KIGOGO USALAMA ANASWA KWA DAWA ZA KULEVYA

Naibu Kamishna James Lukas akizungumza mbele ya wanahabari hawapo pichani MAMLAKA ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini...

Read more » Soma zaidi »

WADAU WA ELIMU WAKUTANA KUFANYA TATHMINI YA UTEKELEZAJI MALENGO YA MWAKA
WADAU WA ELIMU WAKUTANA KUFANYA TATHMINI YA UTEKELEZAJI MALENGO YA MWAKA

Na.Faustine Gimu Galafoni, Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknologia, Dkt Leonard Akwilapo, amesema serikali imekuwa ...

Read more » Soma zaidi »

KILICHOMUUA MUGABE CHAFICHULIWA NA RAIS WA ZIMBABWE EMMERSON MNANGAGWA
KILICHOMUUA MUGABE CHAFICHULIWA NA RAIS WA ZIMBABWE EMMERSON MNANGAGWA

Serikali nchini Zimbabwe imefichua kuwa rais wa zamani nchini humo Robert Mugabe amefariki kutokana na saratani.

Read more » Soma zaidi »

WATU WATATU WAKAMATWA PWANI KWA KUIBA KOMYUTA MPAKATO ZA SHULE YA MSINGI MSOGA-WANKYO
WATU WATATU WAKAMATWA PWANI KWA KUIBA KOMYUTA MPAKATO ZA SHULE YA MSINGI MSOGA-WANKYO

JESHI la polisi mkoani Pwani ,linawashilia watu watatu wanaodaiwa kuiba kompyuta mpakato saba zenye thamani ya sh. milioni 4.2 mali y...

Read more » Soma zaidi »

KAMUSOKO AZUA HOFU YANGA
KAMUSOKO AZUA HOFU YANGA

WAKATI kikosi cha Yanga kikitarajia kuondoka kesho Jumanne kwenda nchini Zambia kupambana na Zesco United katika mchezo wa marudiano wa...

Read more » Soma zaidi »

SIMBA, YANGA WAKUTANA UZUNGUNI
SIMBA, YANGA WAKUTANA UZUNGUNI

K ATIKA hali ya  kushangaza, juzi  Jumamosi wachezaji  wa timu ya Yanga  na Simba walikutana sehemu  moja ya mazoezi jambo  ambalo lili...

Read more » Soma zaidi »

IRAN IMEACHILIA HURU MELI YA UINGEREZA
IRAN IMEACHILIA HURU MELI YA UINGEREZA

Nchi ya Iran imeachilia huru meli ya Uingereza, Stena Impero, ambayo imekuwa ikizuiliwa na taifa hilo la Asia ya Magharibi tangu mwez...

Read more » Soma zaidi »

WADAU WA UCHAGUZI WAJENGEWA UWEZO KUHUSU MASUALA YA UCHAGUZI
WADAU WA UCHAGUZI WAJENGEWA UWEZO KUHUSU MASUALA YA UCHAGUZI

Wadau wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa mtaa na wajumbe wa kamati ya mtaa halmashauri ya Mji wa Tarime mkoani Mara wanolewa.

Read more » Soma zaidi »

HAJI MANARA KUENDELEA KUWA MSEMAJI WA SIMBA
HAJI MANARA KUENDELEA KUWA MSEMAJI WA SIMBA

Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba imemteua Haji Manara kuwa msemaji rasmi wa klabu hiyo.

Read more » Soma zaidi »

JIJI LA DAR LIMEJAA - DC KIBAHA
JIJI LA DAR LIMEJAA - DC KIBAHA

Mkuu wa Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, Asumpta Mshama amesema jiji la Dar es Salaam limejaa hivyo ukaribu na jiji hilo sanjari na uwe...

Read more » Soma zaidi »

MIRADI YA KIMKAKATI KUONGEZA MAPATO YA TAMISEMI
MIRADI YA KIMKAKATI KUONGEZA MAPATO YA TAMISEMI

SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) inatekeleza Mkakati maalum unaolenga kuziwezesha Halmash...

Read more » Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI WA FEDHA: SIJARIDHISHWA NA UTENDAJI WA OFISI YA MKURUGENZI KONDOA
NAIBU WAZIRI WA FEDHA: SIJARIDHISHWA NA UTENDAJI WA OFISI YA MKURUGENZI KONDOA

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametoa muda wa siku 37 kwa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kuhakiki...

Read more » Soma zaidi »

MBARONI KWA KUSAFIRISHA VIROBA VYA MADINI BILA KIBALI
MBARONI KWA KUSAFIRISHA VIROBA VYA MADINI BILA KIBALI

Khalifa Mohamed Kinyaka (51), anashikiliwa na jeshi la Polisi Mkoani Dodoma, kwa tuhuma za kutorosha na kusafirisha viroba sita v...

Read more » Soma zaidi »

NEYMAR JR ADHIHIRISHA UJABARI
NEYMAR JR ADHIHIRISHA UJABARI

Mshambuliaji Neymar Jr ameendelea kuwa moto wa kuotea mbali katika ligi ya Ufaransa, baada ya kuifungia Paris Saint Germain (PSG), b...

Read more » Soma zaidi »

WABUNGE WA KIARABU ISRAEL WAAPA KUMNG'OA MADARAKANI BENJAMIN NETANYAHU
WABUNGE WA KIARABU ISRAEL WAAPA KUMNG'OA MADARAKANI BENJAMIN NETANYAHU

Wabunge wa vyama vya kisiasa vya Kiarabu katika bunge la Israel hapo jana wamemuunga mkono mkuu wa zamani wa jeshi Benny Gantz anaegomb...

Read more » Soma zaidi »

WANAFUNZI 7 WAFARIKI BAADA KUANGUKIWA NA JENGO LA DARASA KENYA
WANAFUNZI 7 WAFARIKI BAADA KUANGUKIWA NA JENGO LA DARASA KENYA

Wanafunzi saba wamethibitishwa kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya darasa la shule yao kuporomoka leo  Jumatatu  Septemba 23...

Read more » Soma zaidi »

TAARIFA YA AWALI YA MATOKEO YA UCHUNGUZI WA JIOLOJIA KATIKA ENEO LILILOSADIKIWA KUWEPO KWA VOLCANO SHINYANGA
TAARIFA YA AWALI YA MATOKEO YA UCHUNGUZI WA JIOLOJIA KATIKA ENEO LILILOSADIKIWA KUWEPO KWA VOLCANO SHINYANGA

Mnamo tarehe 19/9/2019 GST ilipokea taarifa kutoka kwa uongozi wa Wilaya ya Shinyanga na Afisa Madini wa Mkoa kuhusiana na kuwepo kwa t...

Read more » Soma zaidi »

AKATA RUFAA KUPINGA WAANDISHI KUSIKILIZA KESI MASHEIKH UAMSHO
AKATA RUFAA KUPINGA WAANDISHI KUSIKILIZA KESI MASHEIKH UAMSHO

Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP),  amekata rufaa Mahakama Kuu akipinga wananchi na waandishi wa habari kuingia kusikiliza na kurip...

Read more » Soma zaidi »

PATRICE EVRA ATUMA UJUMBE MAN UNITED KUFUATIA KICHAPO KUTOKA KWA WEST HAM UNITED
PATRICE EVRA ATUMA UJUMBE MAN UNITED KUFUATIA KICHAPO KUTOKA KWA WEST HAM UNITED

Kufuatia kipigo dhidi ya West Ham United, aliyekuwa nahodha wa Man United, Patrice Evra ametuma ujumbe wa wazi kwa Bodi ya Manchester...

Read more » Soma zaidi »

DKT. SHEIN ZIARANI UMOJA WA FALME ZA KIARABU UAE
DKT. SHEIN ZIARANI UMOJA WA FALME ZA KIARABU UAE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Mwenyeji wake mmoja kati ya Viongozi w...

Read more » Soma zaidi »

ALIYEFARIKI KWA KUZAMA BAHARINI AKIWA ANAMCHUMBIA MPENZI WAKE, MWILI WAKE WACHUKULIWA NA UBALOZI WA MAREKANI
ALIYEFARIKI KWA KUZAMA BAHARINI AKIWA ANAMCHUMBIA MPENZI WAKE, MWILI WAKE WACHUKULIWA NA UBALOZI WA MAREKANI

Mwili wa Mtalii raia wa Marekani, Steven Weber, aliyefariki kwa kuzama baharini akiwa anamchumbia mpenzi wake, Kenesha Antoine umechu...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AWAVAA TENA VIONGOZI WA MKOA WA DAR ES SALAAM
RAIS MAGUFULI AWAVAA TENA VIONGOZI WA MKOA WA DAR ES SALAAM

Rais Magufuli amesema mambo ya hovyo  yanayofanyika katika mkoa wa Dar es Salaam yanamfanya ajiulize kama mkoa huo kuna viongozi.

Read more » Soma zaidi »

BENKI KUU YA TANZANIA YAZITOZA FAINI BENKI TANO ZA BIASHARA KWA KUKIUKA KANUNI ZA KUZUIA UTAKATISHWAJI WA FEDHA HARAMU
BENKI KUU YA TANZANIA YAZITOZA FAINI BENKI TANO ZA BIASHARA KWA KUKIUKA KANUNI ZA KUZUIA UTAKATISHWAJI WA FEDHA HARAMU

Benki Kuu ya Tanzania imezitoza faini benki tano za biashara kwa kukiuka kanuni namba 17, 22 na 28 za Kanuni za Kuzuia Utakatishwaji wa F...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI LUGOLA AMTAKA RPC MOROGORO ARUDI KILIMANJARO HARAKA
WAZIRI LUGOLA AMTAKA RPC MOROGORO ARUDI KILIMANJARO HARAKA

WAZIRI  wa mambo ya ndani ya nchi, Kangi Lugola amemwagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Hamis Issa kurudi Mkoani Kilimanjaro na ...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AFUNGUA MAONESHO YA MADINI GEITA
WAZIRI MKUU AFUNGUA MAONESHO YA MADINI GEITA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Septemba 22, 2019 amefungua Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye ...

Read more » Soma zaidi »

NDEGE YAANGUKA, WATANZANIA WAWILI WAFARIKI
NDEGE YAANGUKA, WATANZANIA WAWILI WAFARIKI

Rubani na abiria mmoja inasadikika wamefairiki Dunia, katika ajali ndege ya Kampuni ya Auric Air, kufuatia kuanguka asubuhi ya leo k...

Read more » Soma zaidi »

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU TAREHE 23 SEPTEMBA, 2019
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU TAREHE 23 SEPTEMBA, 2019

Kiungo wa kati wa zamani wa Barcelona Xavi, ambaye ni meneja wa timu ya Qatari ya Al-Sadd, anasema kuwa itakuwa ni tatizo kwake kuwao...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO TAREHE 23 SEPTEMBA, 2019
MAGAZETI YA LEO TAREHE 23 SEPTEMBA, 2019

Read more » Soma zaidi »
 
Top