Mshambuliaji na nahodha wa mabingwa wa Hispania FC Barcelona Lionel Messi, huenda akarejea katika orodha ya wachezaji majeruhi wa kl...
Divine Radio Live
NGORONGORO HEROES YAIPANIA ZANZIBAR
Benchi la Ufundi na wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Bara chini ya Umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes wamesema kesho Alhamisi ...
MRADI WA MAJI WAWANG'OA VIONGOZI WAWILI
Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Usambazaji Maji Vijijini Wilaya ya Pangani (Ruwasa Pangani),...
KAMPENI YA 'FUKUA FUKUA' YAWAFIKISHA 24 KIZIMBANI
Watu 24 wamefikishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora baada ya kutajwa kwenye orodha ya oparesheni ya fukua f...
WAZIRI MKUU: TUTAENDELEA KULINDA VIWANDA VYA NDANI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Magufuli itaendelea kudhibiti uingizwaji w...
JAJI WARIOBA ATOA NENO KW A WANAWAKE KUHUSU KUGOMBEA UBUNGE
Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amewapigia chapuo wanawake kupewa nafasi ya kugombea ubunge wa kuchaguliwa badala ya viti m...
POLISI WAKEMEWA KUWAHUKUMU WATUHUMIWA HADHARANI 'UNATAFUTA SIFA?'
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro amekemea, kuonya na kutoa mwongozo kwa Maofisa wa chombo hicho wafuate dira yake kwa kuwa ...
NAIBU WAZIRI KIJAJI: SERIKALI IMEDHAMIRIA KUTATUA KERO ZA WAFANYABIASHARA NCHINI
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji amesema Serikali imedhamiria kutatua kero za wafanyabiashara ambapo kwa mwaka huu w...
AFISA WA POLISI AMETIMULIWA KAZI BAADA YA KUWAKAMATA WATOTO WAWILI WA MIAKA SITA, FAHAMU ZAIDI
Afisa wa polisi nchin Marekani ametimuliwa kazi baada ya kuwakamata watoto wawili wa miaka sita. Watato hao walikamatwa shuleni katika m...
WAZIRI MKUU WA UINGEREZA, BORIS JOHNSON AKALIA KUTI KAVU, NI BAADA YA KUSITISHA SHUGHULI ZA BUNGE
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amepuuza wito wa kujiuzulu, baada ya uamuzi wa mahakama ya juu kwamba hatua yake ya kuahirish...
UHABA WA MAJI WAWALIZA WANANCHI IKUNGI, SERIKALI YATUA KUMALIZA
Kukosekana kwa Maji ya uhakika katika Kijiji cha Mlandala Wilayani Ikungi mkoani Singida baada ya tenki kupasuka kumesababisha wananch...
RC MPYA WA MOROGORO AANZA KWA KISHINDO 'SITAKUWA NA SIMILE KWA YEYOTE'
Mkuu mpya wa Mkoa wa Morogoro, Loata Ole Sanare amewataka viongozi na watendaji wa ngazi mbalimbali katika Mkoa wa Morogoro kumsaidi...
SERIKALI YAANZA MAANDALIZI YA KUSHUSHA BEI YA UMEME
Waziri wa Nishati na Madini, Dk Medard Kalemani amesema serikali inatarajia kufanya mabadiliko ya gharama za bei ya umeme na gesi asi...
MAOMBI YA MSAMAHA KWA WASHTAKIWA UHUJUMU UCHUMI YAANZA
Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, Balozi Augustine Mahiga amesema washtakiwa wa makosa ya uhujumu uchumi walio tayari kuomb...
RAIS MAGUFULI ATEUA MWENYEKITI MPYA BODI YA TAIFA YA TAKWIMU
Rais wa Jamhusi ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Amina Swuleiman Msengwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...
MIKAKATI YA SERIKALI KUFUFUA ZAO LA KOROSHO KUREJESHA FURAHA YA WAKULIMA
SEKTA ya Kilimo nchini imeendelea kuwa ni Sekta muhimu katika maendeleo ya uchumi wa wananchi na taifa kwa ujumla hususan kat...
ROSE MUHANDO KAJA NA WIMBO HUU - WANYAMAZISHE BWANA
Baada ukimya mwa muda mrefu, kupita katika changamoto nyingi za kihuduma na kimaisha, malkia wa Muziki wa Injili afrika mashariki Rose ...
FATMA KARUME: SIASA NDIO NJIA PEKEE YA KULETA MABADILIKO TANZANIA
Wakili mkongwe nchini Tanzania bi Fatma Karume ametoa ishara za kutaka kujiunga na siasa ili kuendelea kupigania mabadiliko nchini hu...
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO 25 SEPTEMBA, 2019
Manchester United inapania kumsajili mshambulizi wa Juventus wa miaka 33 Mcroatia Mario Mandzukic na kiungo wa kimataifa wa Ufaransa ...
SPIKA PELOSI AANZISHA UCHUNGUZI RASMI KUHUSU MADAI YA UKRAINE YANAYOMUHUSISHA TRUMP
Chama cha Marekani cha Democrats kimeanzisha uchunguzi rasmi dhidi ya rais wa nchi hiyo Donald Trump kuhusiana na madai kwamba alitaka ...
DC NDEJEMBI ACHARUKA, ATOA AGIZO TAKUKURU
Kufuatia kutoridhishwa na thamani ya fedha iliyotumika katika kujenga miradi miwili ya Soko la Mazao lililopo Kata ya Makoka na Mnada...
RC AWAPA MBINU WATUMISHI CHA KUFANYA KABLA YA KUSTAAFU
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara amewataka watumishi wa serikali kutokuwa na woga wa kumiliki ardhi kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwamo ku...