FULL TIME: Dak ya 90+4, Zesco wanacheza kwa akili ya kumaliza dakika zilizoongezwa.
SPIDI YA KUTOKOMEZA ‘ZERO' KISARAWE YAENDELEA KUSHIKA KASI
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, amesema alama anayotaka kuiacha katika wilaya hiyo siku akiondoka ni kupaisha kiwango cha...
MADINI YA BATI MBIONI KUANZA KUUZWA NJE
Tanzania iko mbioni kuandika historia ya kuuza madini ya bati nje ya nchi, ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa nchi kufanya hivyo.
VIGOGO WAANZA KUJISALIMISHA KWA DPP
Wakati leo ikiwa ni siku mwisho aliyoitoa Rais Magufuli kwa watuhumiwa wa makosa ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha kuomba msam...
WAZIRI LUGOLA AWAKATALIA WALIOPEWA URAIA MAKAZI YA WAKIMBIZI KUSHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA NCHINI
Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amesema wananchi waliopewa uraia katika Makazi ya Wakimbizi ya Katumba, Ulyankulu na Mi...
WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA URASIMISHAJI WA LUGHA YA ALAMA TANZANIA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inatambua umuhimu wa kuwa na lugha moja ya alama ili kuwezesha mawasiliano ya watumiaji wa...
PICHA: NYOKA MKUBWA AVAMIA MKUTANO WA WAZIRI MKUU, ASKARI POLISI ALIYEMDHIBITI APEWA ZAWADI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemzawadia Askari Polisi PC Alphonce Daniel Mwambenga sh. 200,000 kutokana na ujasiri wake wa kumdhibiti...
DC KILOLO ABADILI MADEREVA 10 KWA MIAKA MINNE
Mkuu wa wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa, Asia Abdalah amepewa onyo kwa kutumia madaraka yake vibaya na kutokuwa na uhusiano mzuri na ...
MFANYAKAZI CRDB AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUMUIBIA MTEJA ZAIDI YA MILIONI 100
Ofisa wa benki ya CRDB tawi la Ubungo, Andrew Babu(27)na wenzake watatu ambao ni Wafanyabiashara wamefikishwa katika Mahakama ya Haki...
KWANZA TV YAPEWA KIFUNGO CHA MIEZI 6 NA TCRA
Kamati ya maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa adhabu kwa televisheni za mtandaoni kwa kukiuka misingi ya uandishi wa...
WAZIRI WA FEDHA DK PHILIP MPANGO AWASIMAMISHA KAZI MAAFISA UNUNUZI WA TAASISI 6
Waziri wa Fedha, Dk Philip Mpango ameagiza kusimamishwa kazi maofisa ununuzi wa Veta, ASA, NIMR, kituo cha Diplomasia na halmashauri ya...
WAZIRI JAFO ATOA ONYO, AWATAKA WAKURUGENZI WAWE MAKINI NA WASIMAMIE MATUMIZI SAHIHI YA FEDHA ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewaagiza Wakurugenzi wa Halmasha uri zote nchini...
RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA AMTEUA ALIYEKUWA GAVANA WA BENKI KUU TANZANIA PROF. BENNO NDULU KUWA MSHAURI WAKE WA MASUALA YA KIUCHUMI
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amemteua Prof. Benno Ndulu kuwa miongoni mwa watu 18 wanaounda Baraza la kumshauri Rais huyo kat...
WAZIRI MKUU AMPA MASAA MANNE MKURUGENZI KUSITISHA MKATABA WA UJENZI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa muda wa saa nne kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa Himid Njovu awe ameandika barua ya kusitisha uj...
TANZANIA YASAINI MKATABA WA KUPINGA MATUMIZI YA NYUKLIA, YAPONGEZWA KWA KULINDA AMANI UKANDA WA MAZIWA MAKUU
Tanzania imesaini mkataba wa kupiga marufuku matumizi ya silaha za nyuklia, na kuifanya kuwa miongoni mwa nchi 60 zilizosaini na 32 zil...
SERIKALI YATOA MUDA WA WIKI MOJA KWA KIWANDA CHA KUTENGENEZA SARUJI CHA DANGOTE KUWASILISHA TAARIFA YA UTENDAJI KAZI TIC
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji Mhe. Angellah Kairuki ametoa muda wa wiki moja kwa Kiwanda ch...
IRAN YAIKOSOA MAREKANI KWA KUMYIMA RUHUSA WAZIRI WAKE WA MAMBO YA NJE JAVAD ZARIF KUMTEMBELEA HOSPITALINI BALOZI WA IRAN
Iran imeikosoa Marekani kwa uamuzi wa kikatili wa kumzuia waziri wake wa mambo ya kigeni Javad Zarif kumtembelea hospitalini Balozi wa ...
SERIKALI YATOA ONYO KALI KWA WATENDAJI KATA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya baadhi ya Watendaji Kata na askari nchini ambao wamekuwa wakishindwa kuzifikisha sehemu husika ke...