} });
 
MPISHI WA ITALIA AKAMATWA KWA KUTUMIA BANGI KAMA ‘KIUNGO CHA KUONGEZA LADHA MPYA’
MPISHI WA ITALIA AKAMATWA KWA KUTUMIA BANGI KAMA ‘KIUNGO CHA KUONGEZA LADHA MPYA’

Mpishi mmoja amekamatwa kwa kutuhumiwa kwa ulanguzi wa madawa ya kulevya baada ya polisi kugundua bangi nyumbani kwake, vyombo vya ha...

Read more » Soma zaidi »

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAPILI 29 SEPTEMBA, 2019
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAPILI 29 SEPTEMBA, 2019

Tottenham imemtambua meneja wa England Gareth Southgate kama anayepigiwa upatu kuichukua nafasi ya Mauricio Pochettino. (Star Sunday...

Read more » Soma zaidi »

ROBERT MUGABE AZIKWA NYUMBANI KWAKE
ROBERT MUGABE AZIKWA NYUMBANI KWAKE

Aliyekuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amezikwa nyumbani kwake huko Zvimba.

Read more » Soma zaidi »

LIVERPOOL HAIKAMATIKI LIGI KUU ENGLAND
LIVERPOOL HAIKAMATIKI LIGI KUU ENGLAND

SHEFFIELD, ENGLAND KINARA wa Ligi Kuu England, Liverpool imeendelea kugawa vichapo kwenye ligi hiyo baada ya kuicharaza Sheffield U...

Read more » Soma zaidi »

JELA MIAKA 40 KWA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA
JELA MIAKA 40 KWA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA

MFANYABIASHARA Waziri Mizoge, aliyekutwa na dawa za kulevya gramu 2193.1 nyumba ya kulala wageni Tunduma, amehukumiwa kwenda jela mia...

Read more » Soma zaidi »

RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU TANZANIA BARA JUMAPILI HII
RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU TANZANIA BARA JUMAPILI HII

Ligi kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea kutimua vumbii Jumapili ya leo kwa mechi tatu tofauti.

Read more » Soma zaidi »

KITUO CHA UCHENJUAJI DHAHABU JEMA AFRIKA CHAPEWA ONYO LA MWISHO
KITUO CHA UCHENJUAJI DHAHABU JEMA AFRIKA CHAPEWA ONYO LA MWISHO

Waziri wa Madini Doto Biteko ametoa Onyo la Mwisho la Kukifungia Kituo cha Uchenjuaji Dhahabu cha Jema Afrika kilichopo Wilayani Kahama...

Read more » Soma zaidi »

WAKANDARASI MRADI WA MAJI SAME-MWANGA WATAKIWA KUONGEZA KASI
WAKANDARASI MRADI WA MAJI SAME-MWANGA WATAKIWA KUONGEZA KASI

Wakandarasi wanaotekeleza mradi wa maji wa Same-Mwanga wametakiwa kuongeza kasi ya utekelezaji wake ili ukamilike kwa wakati.

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI MKUU: WALIOKULA FEDHA ZA MAJI WAKAMATWE
WAZIRI MKUU: WALIOKULA FEDHA ZA MAJI WAKAMATWE

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza kukamatwa na kuwekwa ndani viongozi wa kamati ya watumiaji maji wa mradi wa maji wa Matunguru ulio...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO TAREHE 29 SEPTEMBA, 2019
MAGAZETI YA LEO TAREHE 29 SEPTEMBA, 2019

Read more » Soma zaidi »
 
Top