} });
 
HOTUBA YA DPP BISWALO MGANGA ALIPOKABIDHI KWA MHE RAIS UTEKELEZAJI WA MSAMAHA WAHUJUMU UCHUMI NCHINI
HOTUBA YA DPP BISWALO MGANGA ALIPOKABIDHI KWA MHE RAIS UTEKELEZAJI WA MSAMAHA WAHUJUMU UCHUMI NCHINI

Akitoa taarifa hiyo Ikulu Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Biswalo Mganga amesema kwa kipindi cha siku 7 zilizotole...

Read more » Soma zaidi »

HOTUBA YA RAIS DKT. MAGUFULI MARA BAADA YA KUKABIDHIWA UTEKELEZAJI WA MSAMAHA WA WAHUJUMU UCHUMI
HOTUBA YA RAIS DKT. MAGUFULI MARA BAADA YA KUKABIDHIWA UTEKELEZAJI WA MSAMAHA WA WAHUJUMU UCHUMI

Mhe. Rais Magufuli amempongeza DPP Mganga na timu yake kwa kazi nzuri waliyofanya katika utekelezaji wa ushauri huo na pia kwa namna ...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI MKUU KUANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU MKOANI SINGIDA
WAZIRI MKUU KUANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU MKOANI SINGIDA

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani Singida na kutembelea miradi mbalimbali ya maendele...

Read more » Soma zaidi »

MC DONALDO MARIGA AMEANZA KAMPENI ZA UBUNGE KENYA
MC DONALDO MARIGA AMEANZA KAMPENI ZA UBUNGE KENYA

Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars ambaye amewahi kuichezea club ya Inter Milan na Parma za Italia McDonald M...

Read more » Soma zaidi »

RITA YAHAMASISHA UANDIKAJI WOSIA KWA WAKAZI DODOMA
RITA YAHAMASISHA UANDIKAJI WOSIA KWA WAKAZI DODOMA

WAKALA  wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umetoa rai kwa wakazi wa Dodoma kuchangamkia fursa ya kuandika na kutunza wosia inayot...

Read more » Soma zaidi »

AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 30 KWA KOSA LA KUBAKA
AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 30 KWA KOSA LA KUBAKA

Na Daniel manyanga, Simiyu Mahakama ya hakimu mkazi mfawidhi  wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemuhukumu mtu mmoja kwenda kutumikia ki...

Read more » Soma zaidi »

KUWENI MAKINI NA MNAOWASIKILIZA - RAIS MAGUFULI
KUWENI MAKINI NA MNAOWASIKILIZA - RAIS MAGUFULI

Rais John Magufuli amewataka watuhumiwa wa kesi ya uhujumu uchumi walioagizwa kuwasilisha barua zao za kuomba msamaha katika ofisi ya...

Read more » Soma zaidi »

MISRI: MAGAIDI 15 WAUAWA KWENYE MAKABILIANO MAKALI
MISRI: MAGAIDI 15 WAUAWA KWENYE MAKABILIANO MAKALI

Zaidi ya magaidi 15 wameuawa kwenye makabiliano makali na maafisa wa polisi wa Misri katika mji wa Arish, kaskazini mwa mkoa wa Sinai...

Read more » Soma zaidi »

DC AOMBA RADHI KUMZUSHIA KIFO CHA WAZIRI MKUU MSTAAFU
DC AOMBA RADHI KUMZUSHIA KIFO CHA WAZIRI MKUU MSTAAFU

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini Richard Kasesela, amelazimika kuomba radhi kwa umma, baada ya kusambaza taarifa za uongo juu ya kufari...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATOA TAHADHARI KWA WATUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI
RAIS MAGUFULI ATOA TAHADHARI KWA WATUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI

Rais John Magufuli amewataka watuhumiwa wa kesi ya uhujumu uchumi walioagizwa kuwasilisha barua zao za kuomba msamaha katika ofisi ya M...

Read more » Soma zaidi »

TAARIFA KWA UMMA KUTAKA WIZARA YA MAJI
TAARIFA KWA UMMA KUTAKA WIZARA YA MAJI

Read more » Soma zaidi »

MAFUNZO YA WATAALAMU WA KILIMO KUFANIKISHA MALENGO YA ASDP II
MAFUNZO YA WATAALAMU WA KILIMO KUFANIKISHA MALENGO YA ASDP II

SEKTA ya Kilimo imeendelea kuwa ni Sekta muhimu katika maendeleo ya uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla hususan katika kipindi hiki ...

Read more » Soma zaidi »

WAWEKEZAJI WATAKIWA KUYAONGEZEA THAMANI MAZIWA KUFIKIA SOKO LA NJE YA NCHI
WAWEKEZAJI WATAKIWA KUYAONGEZEA THAMANI MAZIWA KUFIKIA SOKO LA NJE YA NCHI

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel amekutana na wawekezaji kutoka Jamhuri ya Irel...

Read more » Soma zaidi »

ZIARA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI MKOA WA SONGWE
ZIARA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI MKOA WA SONGWE

Read more » Soma zaidi »

KUNGUNI WAZUA GUMZO KWENYE BASI LA ARIZONA DAR - KIGOMA
KUNGUNI WAZUA GUMZO KWENYE BASI LA ARIZONA DAR - KIGOMA

Abiria waliokuwa wakisafiri na Basi la Kampuni ya Arizona kutoka mkoani Kigoma kuelekea jijini Dar es salaam, wamegoma kuendelea na saf...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI SIMBACHAWENE AHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI MBADALA KUPIKIA ILI KUHIFADHI MAZINGIRA
WAZIRI SIMBACHAWENE AHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI MBADALA KUPIKIA ILI KUHIFADHI MAZINGIRA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene amehimiza matumizi ya nishati mbadala kupikia i...

Read more » Soma zaidi »

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UJENZI AMKALIA KOONI MKANDARASI
KATIBU MKUU WA WIZARA YA UJENZI AMKALIA KOONI MKANDARASI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga, amemtaka mkandarasi anayejenga baraba...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AONGEZA SIKU SABA WATUHUMIWA UHUJUMU UCHUMI KUTUBU
RAIS MAGUFULI AONGEZA SIKU SABA WATUHUMIWA UHUJUMU UCHUMI KUTUBU

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), Biswalo Mganga amesema ofisi yake imepokea barua za watuhumiwa 467 wanaoomba kukiri makosa ya uhuj...

Read more » Soma zaidi »

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU 30 SEPTEMBA, 2019
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU 30 SEPTEMBA, 2019

Kiungo wa Manchester United na Uskochi Scott McTominay, 22, ametaka watu wamvumilie kocha Ole Gunnar Solskjaer. (Mirror)

Read more » Soma zaidi »

LIVE: UWASILISHAJI WA UTEKELEZAJI WA KUWASAMEHE WATUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI IKULU DAR ES SALAAM
LIVE: UWASILISHAJI WA UTEKELEZAJI WA KUWASAMEHE WATUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli anapokea taarifa ya utekelezaji wa Ushauri alioutoa wa kuwasamehe Watuh...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO TAREHE 30 SEPTEMBA, 2019
MAGAZETI YA LEO TAREHE 30 SEPTEMBA, 2019

Read more » Soma zaidi »
 
Top