} });
 
MUNGU ANAKUTAZAMAJE WEWE KAMA KIJANA?
MUNGU ANAKUTAZAMAJE WEWE KAMA KIJANA?

Kijana unatakiwa ujitambue, ujielewe wewe ni nani na una kusudi gani katika maisha yako, Kupata uelewa wa kutosha juu ya kipindi cha ...

Read more » Soma zaidi »

RUKWA: WAPIGWA NA RADI WAKINYWA POMBE KILABUNI, WANNE WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO
RUKWA: WAPIGWA NA RADI WAKINYWA POMBE KILABUNI, WANNE WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO

Watu wanne wamekufa papo hapo na wengine 7 kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa kilabuni wakinywa pombe katika kitongoji cha Nk...

Read more » Soma zaidi »

MAABARA BUBU 13 ZAFUNGIWA, HUKU 48 ZIKIPEWA ONYO KALI
MAABARA BUBU 13 ZAFUNGIWA, HUKU 48 ZIKIPEWA ONYO KALI

Msajili wa maabara binafsi Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Dominic Fwiling’afu akikagua hali ya utoaji hu...

Read more » Soma zaidi »

PAPAA MWINYI ZAHERA ARUDI CAF NA MBINU MPYA
PAPAA MWINYI ZAHERA ARUDI CAF NA MBINU MPYA

BAADA ya kuondolewa kwenye raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameanika mipango yake ...

Read more » Soma zaidi »

WAMBURA AOMBA MSAMAHA NA KUKIRI MAKOSA YAKE KWA DPP
WAMBURA AOMBA MSAMAHA NA KUKIRI MAKOSA YAKE KWA DPP

Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania(TFF), Michael Wambura ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu kuwa ameandik...

Read more » Soma zaidi »

AFISA USALAMA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUSAFIRISHA BANGI
AFISA USALAMA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUSAFIRISHA BANGI

Afisa Usalama wa Shirika la Posta,  George Mwamgabe  (44) na Dereva   Abraham Msimu  (54) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkaz...

Read more » Soma zaidi »

KIGOGO MWANAMKE MWENYE KESI YA ZAIDI YA BIL. 1 AKIRI KWA DPP
KIGOGO MWANAMKE MWENYE KESI YA ZAIDI YA BIL. 1 AKIRI KWA DPP

Leo October 2, 2019  Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini wa TAKUKURU, Kulthum Mansoor amemuandikia barua Mkurug...

Read more » Soma zaidi »

DIWANI AJITOLEA KULIPIA JENGO LITUMIKE KAMA OFISI YA KUSIKILIZA KERO ZA WAZEE
DIWANI AJITOLEA KULIPIA JENGO LITUMIKE KAMA OFISI YA KUSIKILIZA KERO ZA WAZEE

Diwani wa Kata ya Izigo Wilayani Muleba mkoani Kagera Edwin Njunwa amejitolea  kulipia miezi 6 kodi ya jengo lililopo kwenye kata hiyo ...

Read more » Soma zaidi »

DC KOROGWE ATAKA WAZEE WAENDELEE KUPEWA ELIMU YA UGONJWA WA UKIMWI ILI KUEPUKANA NAO
DC KOROGWE ATAKA WAZEE WAENDELEE KUPEWA ELIMU YA UGONJWA WA UKIMWI ILI KUEPUKANA NAO

MKUU wa wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Kissa Gwakisa ametaka wazee kuendelea kupewa elimu juu ya masuala mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa ...

Read more » Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI KANYASU: UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA JULIUS NYERERE LIMEZINGATIA MASUALA YA USALAMA WA UHIFADHI
NAIBU WAZIRI KANYASU: UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA JULIUS NYERERE LIMEZINGATIA MASUALA YA USALAMA WA UHIFADHI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu amesema nia ya Serikali ya ujenzi wa bwawa  la kufua umeme la Julius Nyer...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI LUGOLA AAGIZA POLISI KUWASAKA WABAKAJI WALIOKIMBILIA NCHINI ZAMBIA, ASISITIZA DHAMANA ZITOLEWE SAA 24 BILA KUOMBWA RUSHWA WANANCHI
WAZIRI LUGOLA AAGIZA POLISI KUWASAKA WABAKAJI WALIOKIMBILIA NCHINI ZAMBIA, ASISITIZA DHAMANA ZITOLEWE SAA 24 BILA KUOMBWA RUSHWA WANANCHI

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ametoa siku saba kwa Jeshi la Polisi Mkoani Rukwa, kuwasaka na kuwatia mbaroni wabakaji ...

Read more » Soma zaidi »

VIGOGO 9 NSSF KORTINI KWA KUTAKATISHA BILIONI 2
VIGOGO 9 NSSF KORTINI KWA KUTAKATISHA BILIONI 2

Vigogo tisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), akiwamo Kaimu Mkurugenzi wa Fedha, Jamila Vulu, wamefikishwa mahakamani wak...

Read more » Soma zaidi »

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO 02 OKTOBA, 2019
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO 02 OKTOBA, 2019

Mshambuliaji wa Manchester United na Chile Alexis Sanchez, 30, amesema "ameyapata tena mapenzi yake ya kucheza mpira" baada...

Read more » Soma zaidi »

MBWANA SAMATTA: KRC GENK KUMINYANA NA NAPOLI USIKU WA LEO
MBWANA SAMATTA: KRC GENK KUMINYANA NA NAPOLI USIKU WA LEO

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta usiku wa leo akiwa na klabu yake ya KRC Genk anatarajiwa kushuka dimbani kwa mch...

Read more » Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI WA ARDHI DKT ANGELINE MABULA AAGIZA MABARAZA YA ARDHI YA KATA NA VIJIJI YASIYOTENDA HAKI MAFIA YAVUNJWE
NAIBU WAZIRI WA ARDHI DKT ANGELINE MABULA AAGIZA MABARAZA YA ARDHI YA KATA NA VIJIJI YASIYOTENDA HAKI MAFIA YAVUNJWE

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Erick M...

Read more » Soma zaidi »

MWANDISHI WA HABARI ERICK KABENDERA AMUOMBA RAIS MAGUFULI AMSAMEHE
MWANDISHI WA HABARI ERICK KABENDERA AMUOMBA RAIS MAGUFULI AMSAMEHE

Siku moja baada ya Rais John Magufuli kuongeza siku saba kwa washtakiwa wa makosa ya uhujumu uchumi, ambao hawajawasilisha maombi yao, ...

Read more » Soma zaidi »

WAZEE CHADEMA WAVUNJA UKIMYA
WAZEE CHADEMA WAVUNJA UKIMYA

Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limeitaka serikali kurejea ahadi yake ya kumalizia mchakato wa katiba m...

Read more » Soma zaidi »

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LAUA MAJAMBAZI WATATU
JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LAUA MAJAMBAZI WATATU

Jeshi  la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewaua watuhumiwa wa ujambazi watatu akiwamo aliyeuawa nje ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa w...

Read more » Soma zaidi »

BREAKING: WAWILI WAJERUHIWA LORI LA SODA LIKIGONGANA NA DALADALA
BREAKING: WAWILI WAJERUHIWA LORI LA SODA LIKIGONGANA NA DALADALA

WATU wawili wamejeruhiwa vibaya baada ya kutokea ajali iliyohusisha lori lililokuwa limebeba soda, mali ya Kampuni ya Coca-Cola kugonga...

Read more » Soma zaidi »

PROFESA TIBAIJUKA KUREJESHA SHILINGI 1.6 BILIONI ZA MGAO WA RUGEMARILA
PROFESA TIBAIJUKA KUREJESHA SHILINGI 1.6 BILIONI ZA MGAO WA RUGEMARILA

Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka amesema uongozi wa Shule ya Sekondari Barbro Johansson Model Girls utarejesha fed...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO TAREHE 02 OKTOBA, 2019
MAGAZETI YA LEO TAREHE 02 OKTOBA, 2019

Read more » Soma zaidi »
 
Top