Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bibi.Susan Mlawi amewataka Wafanyakazi wa Wizara hiyo kumpa ushirikiano Naibu K...
LUGOLA AWAONDOA KATIKA NYADHIFA ZAO VIGOGO WATATU WA JESHI LA POLISI NKASI
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewaondoa katika nyadhifa zao viongozi wakuu wa Jeshi la Polisi wa Wilaya ya Nkasi, Mko...
RAIS MAGUFULI ATATUA MGOGORO WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA KIWANDA CHA SARUJI MBEYA
Rais Magufuli ameagiza wakazi wa kijiji cha Nanyala wilayani Mbozi mkoani Songwe, kuendelea kulitumia eneo lenye ukubwa wa ekari 2,115 ...
WAZIRI MKUU AMPA SIKU TATU MHAZINI ITIGI AREJESHE POSHO ALIYOJILIPA KINYUME CHA TARATIBU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amempa siku tatu Kaimu Mweka Hazina wa wilaya ya Itigi, Bw. Optatus Likiliwike ahakikishe anarejesha sh. mi...
PATRICK AUSSEMS KOCHA BORA WA MWEZI SEPTEMBA
KOCHA wa timu ya Simba Patrick Aussems amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu ...
VIRIBATUMBO NA VITAMBI TISHIO KWA WANAWAKE TANZANIA, VYANZO VYA TATIZO HILO VYATAJWA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amesema viwango vya utapiamlo ikiwamo uzito uliozidi kwa wanawa...
DC DODOMA AKAGUA MASHINE ZA EFD
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi amefanya ziara kwenye maeneo ya Biashara jijini humo kukagua mashine za ulipaji kodi (EFD)...
ALIYEWAFUNGA YANGA GOLI TATU JANA AITWA TAIFA STARS
Kocha wa Taifa Stars amemuongeza mshambuliaji Ditrama Nchimbi kwenye Kikosi cha Taifa Stars. Utakumbuka hapo jana Nchimbi kutoka Polisi...
WATU 13 WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI KISUMU KENYA
WATU 13 wamefariki dunia na wengine kujeruiwa katika ajali ya basi lililokuwa linatoka soko la Awasi Kisumu kuelekea Nairobi nchini Ken...
WALICHOKISEMA CHADEMA KUHUSU BARUA YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekiri kupokea barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini kuhusu Uchaguzi Mkuu wa ndani w...
SERIKALI YAFUNGUA AKAUNTI MAALUM YA WATUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI WALIOKIRI MAKOSA YAO, DPP AWAONYA MAWAKILI
Serikali imefungua akaunti maalum ambayo watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokiri makosa yao wataweka fedha wanazotuhumiwa kuhujumu, ili ...
MKUU WA MKOA WA MBEYA AWATIMUA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA SITA, NI BAADA YA JANA KUWACHARAZA VIKOBO WANAFUNZI 14
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila, jana October 3 aliwachalaza bakora wanafunzi 14, katika Shule ya Sekondari Kiwanja iliyopo Chun...
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAFANYA MKUTANO WA HADHARA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anafanya ziara ya siku tatu Mkoani Songwe ambapo anafungua na kuk...