Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ameahirisha sherehe za maadhimisho siku ya Makazi Dunia na kuagiza fedha i...
ALIYEKUWA MKURUGENZI USALAMA WA TAIFA AFARIKI DUNIA
Mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, nchini Apson Mwang’onda amefariki Dunia leo Oktoba 7, 2019 akiwa Afrika Kusini alipoku...
ZIARA YA MAJALIWA YANG’OKA NA WATATU SINGIDA, YADAIWA WALIAJIRIWA ‘KINDUGU’ ILI WAIBE MAPATO
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, Leo Jumatatu Oktoba, 7, 2019 amemwagiza Mkurugenzi Manispaa ya...
HOFU WILAYANI MUSANZE NCHINI RWANDA BAADA YA SHAMBULIO LA WAASI
Kumekuwa na wasiwasi miongoni mwa wakaazi wa wilaya ya Musanze kaskazini mwa rwanda baada ya washambuliaji kuwaua watu 14 wiki iliy...
MVUA YAUA WATU WATANO JIJINI MBEYA
Kufuatia mvua kubwa iliyonyesha jana Oktoba 06, 2019 katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mbeya imesababisha vifo vya watu watano na uha...
BREAKING: MICHAEL WAMBURA AACHIWA HURU
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura, baa...
LIVE: ZIARA YA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI MKOANI RUKWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anafanya ziara ya siku tatu Mkoani Rukwa ambapo anafungua na kuka...
MBUNGE CHADEMA AITAKA NAFASI YA MBOWE
Mbunge wa Jimbo la Ndanda Cecil Mwambe, amesema kuwa huu ni wakati wa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, kuacha ngazi na kuwapisha ...
TAASISI ZA KIDINI ZAOMBWA KUINGILIA KATI TATIZO LA WATOTO WA MITAANI
Taasisi za kidini zimetakiwa kutengeneza utaratibu wa kuwakusanya watoto wanaozulura ovyo mitaani hasa maeneo ya mijini wasiokuwa na w...
ADAIWA KUMBAKA MWANAE WA KIKE MWENYE UMRI WA MIAKA 11
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imepanga kutoa hukumu Ijumaa October 11,2019 dhidi ya Kigogo wa TPRI, Aresteric Silayo anayedaiwa kum...
NAIBU WAZIRI ATAKA MAWASILIANO YATUMIKE KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA UKIMWI
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amezitaka kampuni za simu za mkononi kuweka ujumbe au tangazo kwe...
WAZIRI MKUU AAGIZA AFISA MANUNUZI, MZABUNI, KINAMPANDA WAKAMATWE KWA KUGHUSHI NYARAKA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Singida, Bw. Adili Elinipenda amkamate Afisa Manunuzi wa Chuo cha Ua...
WANAFUNZI 8 SHULE YA SEKONDARI SEEKE WILAYANI KAHAMA WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA YA KUMUUA MWANAFUNZI MWENZAO
Jeshi la polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga linawashikilia wanafunzi nane wa shule ya sekondari seeke kwa tuhuma ya kumshambulia ...