Mfanyabiashara Yusufu Ali maarufu ‘Mpemba wa Magufuli’ na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya Uhujumu Uchumi katika Mahakama ya Hakimu M...
NAIBU WAZIRI WA ELIMU OLE-NASHA, ATOA MAAGIZO NACTE YA KUVIFUTIA USAJILI VYUO HIVI
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Technolojia William Ole-Nasha, ameliagiza Baraza la Taifa la Elimu na ufundi (NACTE) kuvifutia usaji...
WACHINA WAKIRI MAKOSA, WAAMRIWA KULIPA MILIONI 70
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu Raia wawili wa China, Li Ling na Chen Guo kulipa faini ya Sh.Mil 70 baada ya kukiri makosa...
WAANDISHI WA HABARI RADIO ZA JAMII 25 WAPEWA MAFUNZO NAMNA KURIPOTI MAAFA
WAANDISHI wa habari kutoka kanda zote nchini ambao wanahudumu katika redio za jamii, wameingia katika mafunzo ya siku 5 mjini hapa kuji...
TAKUKURU KUMPANDISHA KIZIMBANI HAKIMU KWA TUHUMA YA KUPOKEA RUSHWA
Kaimu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Shinyanga Hussein Mzee Mussa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Shinyanga inat...
NAIBU WAZIRI WA FEDHA DKT. KIJAJI AIPA TRA SIKU 75 KUANDAA ORODHA KAMILI YA WALIPAKODI, MAJENGO NA MABANGO
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, ameipa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA miezi miwili na nusu hadi ifikapo Disemba 3...
CHAMA, MKUDE NA WENGINE WAWILI WAJADILIWA KWA UTOVU WA NIDHAMU, SIMBA YASUBIRI MAJUKUM YAO YA TAIFA YAPITE
Mabingwa wa tetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba SC yatoa ufafanuzi juu ya tuhuma za utovu wa nidhamu za wachezaji wake wanne ...
MWANDISHI WA BBC ALIYEREKODI WAHADHIRI WAKIOMBA RUSHWA YA NGONO VYUONI, YUPO HATARINI KUUAWA
Mwandishi wa habari za kiuchunguzi wa Shirika la habari la BBC, Kiki Mordi ambaye alifanyakazi ya kupeleleza vitendo vya rushwa ya n...
LIVE: ZIARA YA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI MKOANI KATAVI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anafanya ziara ya siku tatu Mkoani Katavi ambapo anafungua na ku...
KOCHA AC MILAN AFUTWA KAZI BAADA YA MIEZI MITATU
Uongozi wa klabu ya AC Milan umemfuta kazi kocha wake, Marco Giampaolo akiwa na miezi mitatu na nusu tangu apewe mkataba wa kuifundis...
WAZIRI MKUU ASISITIZA MSHIKAMANO KWA WATANZANIA
*Ashiriki mbio za mwenge kijijini kwao WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania waendelee kushikamana na wazingatie ujumb...
MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI KITAIFA 2019 KUFANYIKA MKOANI SINGIDA
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi, a kizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mjini humo leo, kuhusu Maadhimisho ya...
UMOJA WA MATAIFA HATARINI KUMALIZA AKIBA YAKE YA FEDHA, JUMLA YA NCHI 64 HAZIJALIPA ADA YA MWAKA BAADHI ZATAJWA
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesma umoja huo unakabiliwa na mzozo wa fedha kwa karibu muongo mmoja kwa sababu n...
POLISI NCHINI UGANDA WAIZUNGUKA NYUMBA YA BOBI WINE WAKIMZUIA KWENDA KWENYE TAMASHA
Maafisa wa polisi nchini Uganda wamefutilia mbali tamasha la mbunge wa Kyadondo mashariki Robert Kyagulani maarufu Bobi Wine lililota...
TMA YATOA ANGALIZO NA TAHADHARI YA SIKU 5 KWA WAKAZI WA DAR, TANGA NA Z’BAR
Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo na tahadhari ya siku 5 ya kuwepo kwa vipindi vifupi vya mvua nyingi katika mik...
JESHI LA POLISI DODOMA LAKANUSHA KUHUSIKA NA TAARIFA ZA KUMPIGA MWANANCHI
Na Faustine Gimu Galafoni, Dodoma Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma limekanusha kuhusika na taarifa za kumpiga Raia mmoja ajulikanaye k...
KASI YA USIKILIZAJI MASHAURI IMEMALIZA MRUNDIKANO WA KESI MAHAKAMANI
KATIKA nchi inayoazimia kuwa na uchumi unaokuwa kwa kasi, ni lazima migogoro inayowasilishwa Mahakamani ikamilike kwa haraka ili kuwawe...