Mtoto mchanga wa kike amepatikana akiwa amezikwa hai katika kaburi la kina kifupi kaskazini mwa India, mkuu wa polisi afichua kisa hi...
HII NDIYO SABABU YA REKODI KIPCHOGE KUTOTAMBULIKA KAMA NI YA DUNIA
Mkenya Eliud Kipchoge ameweka jina lake katika vitabu vya historia , akimaliza kilomita 42 za mbio za marathon kwa saa moja dakika 59...
JANUARY MAKAMBA AKUMBUKA ALICHOSHINDWA KUKIFANYA ALIPOKUWA WAZIRI KUHUSU NYERERE
Waziri wa zamani wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba leo Jumatatu Oktoba 14, 2019 ameeleza jamb...
ALIYEFUNGWA KIMAKOSA KULIPWA SH9 BILIONI
Sydney, Australia (AFP). Mchumi wa Australia ambaye alitumia kimakosa takriban miaka ishirini gerezani kutokana na mauaji ya ofisa ...
VIDEO: MAGUFULI AIKABIDHI TAKUKURU RIPOTI YA MIRADI 107 YENYE DOSARI
Rais wa Tanzania, John Magufuli amemkabidhi naibu mkurugenzi wa Takukuru, Brigedia Jenerali John Mbungo ripoti ya miradi 107 iliyobai...
SERIKALI NINAYOIONGOZA ITAENDELEA KUMUENZI BABA WA TAIFA - RAIS MAGUFULI
Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameahidi kuwa serikali ya awamu ya tano itaendelea kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere...
MREMBO AUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KUPITIA DIRISHANI
Mwanamke mweusi nchini Marekani ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi kupitia dirisha la chumbani kwake Jumamosi asubuhi , baada ya jira...
ULAYA YAIBANA UTURUKI KISA SAKATA LAKE DHIDI YA SYRIA
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanaangazia kuimarisha vikwazo vya silaha dhidi ya mshirika wa jumuiya ya kujihami ya NATO, Uturuki, katik...
WAKENYA WAPOKEA MIILI YA JAMAA NA NDUGU ZAO WALIOKUFA KATIKA AJALI YA NDEGE ETHIOPIAN AIRLINES
Wakenya wamekusanyika kupokea mabaki ya miili ya wapendwa wao waliokufa katika ajali ya ndege ya Ethiopian Airlines Familia za wahang...
KENYA YAIMARISHA USALAMA, TISHIO LA UGAIDI AL-SHABAB
Jeshi la Polisi katika kaunti ya Mandela, kaskazini Mashariki mwa Kenya limejipanga kwa tahadhari, baada ya kuripotiwa kuonekana kwa ...
KANYE WEST AMEOKOKA ABADILI DINI AINGIA UKRISTO
RAPA kutoka pande za Marekani, Kanye West amethibitisha kubadili na kuingia kwenye dini ya Ukristo, masahabiki wa kanye west walikuw...
MOMBASA: WAANDAMANA KUPUUZA AGIZO LA SERIKALI DHIDI YA SGR
Madereva wa Malori na Viongozi Mjini Mombasa wanafanya maandamano kupinga usafirishaji wa mizigo yote kutumia reli ya kisasa SGR.
JAPAN: WAOKOAJI 110,000 WATAFUTA WALIOKUMBWA NA KIMBUNGA HAGIBIS
Zaidi ya waokoaji 110,000 wamepewa kazi ya kuwatafuta na kuwaokoa watu walioathiriwa na kimbunga ‘Hagibis’ kilichoikumba Japan, Jumam...
NI KENYA TENA: MWANARIADHA WA KIKE AVUNJA REKODI YA DUNIA
Kenya imeendelea kungáa kwenye mashindano ya riadha duniani, siku mbili baada ya Eliud Kipchoge kuweka rekodi ya kuwa binadamu wa kwa...
NDEGE MPYA DREAMLINER YA ATCL YAFANYIWA MAJARIBIO MAREKANI
Ndege mpya ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) aina ya Boeing 787-8 5H-TCJ Dreamliner ipo katika hatua za mwisho nchini Marekani ku...
MVUA YALETA MAAFA TANGA, WATOTO WATANO WAFARIKI DUNIA, MAMIA WAKOSA MAKAZI
Watoto watano wamekufa maji kutokana na mafuriko wilayani Korogwe mkoani Tanga na kufikisha idadi ya waliofariki kufikia 12 mkoani hapa...
IBADA KUBWA YA KUSIFU NA KUABUDU NEW BEGINNING WORSHIP EXPERIENCE KUFANYIKA MJINI KAHAMA
Bwana Yesu asifiwe mwana wa Mungu, kutoka mjini Kahama kwa mara nyingine tena muimbaji wa nyimbo za Injili Obeid Mahandule ametuandali...
LIVE: KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA MWALIMU JK NYERERE MKOANI LINDI.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anahudhuria maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Ku...
KISA LIVERPOOL, SAMATTA AACHA KULA FUNGATE
NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amelazimika kumuacha mke wake Dar, siku chache baada ya ndoa kutokana na kuwahi mechi dhidi ya ...
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU TAREHE 14 OKTOBA, 2019
Tottenham wameanza upya kuelezea haja yao ya kumtaka mchezaji wa kimataifa wa safu ya kati wa klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno Brun...