Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (Heslb) imetangaza orodha ya kwanza ya majina ya wanafunzi 30,675 wa mwaka wa kwanza walio...
ZIDANE AMPANDIA DAU KANTE
Madrid, Hispania. Real Madrid imeanza kumtolea macho kiungo wa Chelsea, N’Golo Kante baada ya kuweka mezani Pauni86 milioni ikimtak...
MVUA YALETA ADHA YA USAFIRI DAR
Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimesababisha adha kwa watumiaji wa barabara katika maeneo mbalimbali jijini humo.
KASSIM MAJALIWA AWATAKA WAKURUGENZI WAWILI KURIPOTI DAR ES SALAAM
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewaagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mtama (DED) na Mkurugenzi wa Umwagiliaji wa Kanda ...
MKURUGENZI WA GOR MAHIA, LORDVICK ADUDA ATANGAZA KUWANIA URAIS KATIKA SHIRIKISHO LA SOKA KENYA ‘FKF’
Aduda amesema ameamua kuwania nafasi hiyo, baada ya shinikizo kutoka kwa wadau mbalimbali wa mchezo wa soka.
ALIYETAJWA KUIIBIA TANZANIA TSH. MILIONI 7 KILA DAKIKA, AACHIWA HURU
Mfanyabiashara maarufu nchini Mohamed Yusufali, Aliyekuwa akikabiliwa na kesi mbili za uhujumu uchumi na kukwepa kodi na kuisababishi...
LIGI KUU HISPANIA IMEOMBA EL CLASICO ISICHEZWE BARCELONA
Idara ya Usimamizi wa ligi kuu ya soka ya nchini Hispania La Liga imeomba mechi watani wa kihistoria kwenye ligi hiyo (El Clasico) in...
MAJALIWA AAGIZA KUTA ZIBOMOLEWE HOSPITALI YA WILAYA RUANGWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi na kusema kwamba hajaridhishwa na baadhi...
BONDIA PATRICK DAY ALIYEPIGWA NA KUPOTEZA FAHAMU AFARIKI DUNIA
Bondia wa Marekani Patrick Day Amefariki dunia siku ya jumatano katika hospitali ya Northwestern Memorial nchini humo, baada ya kupigwa...
RAIS MAGUFULI AMTUMBUA KAMANDA WA TAKUKURU MTWARA
Rais Magufuli amemtumbua Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Mtwara, Stephen Mafi pa kutokana na ku...
AS ROMA IMEKUWA TIMU YA KWANZA ULAYA KUFUNGUA AKAUNTI YA TWITTER KWA LUGHA YA KISWAHILI
Klabu ya mpira ya ‘As Roma’ nchini Italia imekuwa klabu kubwa ya kwanza kutoka barani Ulaya kuanzisha ukurasa wake katika mtandao wa Tw...
BASI LA KANISA LAKAMATWA LIKISAFIRISHA MISOKOTO YA BANGI KENYA
Basi la kanisa la Kipentekoste la PEFA limekamatwa mjini Voi nchini Kenya likisafirisha madawa ya kulevya aina ya bangi.
TETESI ZA SOKA ULAYA ALHAMISI TAREHE 17 OKTOBA, 2019
Tottenham huenda wakamtoa kiungo wa Mdenmark Christian Eriksen, mwenye umri wa miaka 27, na badala yake wakamchukua kiungo wa kati wa...
WAMBURA AONDOLEWA BODI YA LIGI NA KUREJESHWA IDARA YA HABARI TFF, MILAMBO AULA
AFISA Mtendaji wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura amemaliza mkataba wake wa kuitumikia nafasi hiyo na sasa ameteuliwa kuwa Mkurugenz...
MVUA YATIBUA MCHEZO WA KIRAFIKI YANGA SC NA PAN AFRICANS LEO JIONI UWANJA WA UHURU
MCHEZO wa kirafiki baina ya Yanga SC na Pan Africans umeshindwa kufanyika kutokana na maji kujaa Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam ji...
WAKURUGENZI RUKSA KUSIMAMIA UCHAGUZI
MAHAKAMA ya Rufaa imeruhusu wakurugenzi wa halmashauri, manispaa na majiji kusimamia uchaguzi kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ...
MUUGUZI ADAIWA KUMBAKA MTOTO ANAYEMUUGUZA MAMA HOSPITALINI
MUUGUZI mmoja wa Hospitali ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, amedaiwa kumbaka binti wa miaka 16 (jina linahifadhiwa), mkazi wa Mtaa ...
MENINA AONEKANA BASATA, ALICHOJIELEZA MBELE YA VIONGOZI
Msanii Menina Abdulkarim ambaye anafanya kazi zake za sanaa kama Msanii wa Bongo flava, MC, na Muigizaji wa filamu amefika katika Ofis...
WATOTO 550,388 KUPATIWA CHANJO DODOMA
Jumla ya watoto laki 550,388 wanatarajia kupata chanjo ya Polio, Surua na Rubella katika Mkoa wa Dodoma ikiwa ni mkakati wa kupunguza...
MAKONDA ATAKA KUKABIDHIWA JENGO KABLA YA DISEMBA 30
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametembelea na kukagua ujenzi wa Jengo la ghorofa tano la mama na mtoto hospitali ya rufa...
MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWATOA HOFU WATANZANIA
Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji (ICSID), imeiamuru Tanzania kulipa Dola za Marekani milioni 185 pamoja na...