Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 23 Oktoba, 2019 amekutana na viongozi wa Taasisi ya Mashaur...
MWIZI AVUNJA NYUMBA, AMUOGESHA MTOTO KABLA YA KUIBA
MWANAMKE mmoja anayeishi Ohio nchini Marekani , amewaeleza polisi kuwa aliamka ghafla usiku wa manane na kukuta mvamizi akimuogesha ...
THE GAME KULIPA MAMILIONI YA PESA KWA UNYANYASAJI WA KINGONO
RAPA The Game amekutwa na kisanga cha kulipa $7 millioni, sawa na Tshs billion 16 baada ya kushindwa shauri lake linalomkabili la unyan...
NDUGAI ATAKA WANAWAKE UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma wakati akitoa taarifa kuhusu semina ya wajumbe wa Chama ch...
RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI IKULU LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo October 23, 2019 amefanya uteuzi ambapo ameteua Cleopa David M...
MAHAKAMA YATOA MAAMUZI SHERIA YA MTOTO KUOLEWA CHINI YA MIAKA 18
Leo October 23, 2019 Mahakama ya Rufani Tanzania imeitaka Serikali ya Tanzania kubadilisha vifungu vya Sheria ya Ndoa inayoruhusu Mt...
MWANASIASA MKONGWE NCHINI JAMES MAPALALA AFARIKI DUNIA
Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, James Mapalala amefariki dunia katika hospitali ya Kairuki alikokuwa akipatiwa matibabu.
BABA AELEZA MAUAJI YA MWANAYE YALIVYOKATISHA NDOTO KUWA MUUGUZI
Christopher Kafuru ambaye ni baba wa Beata Kafuru anayedaiwa kuuawa na mpenzi wake amesema mwanaye amekatishwa ndoto ya kuwa muuguzi....
SHULE YA MSINGI BULINGE “A” YATIKISA MATOKEO DARASA LA SABA 2019 KWA HALMASHAURI YA MSALALA-KAHAMA
Na Neema Paul-Kahama Walimu mkoani shinyanga wametakiwa kuwa na ushirikiano baina yao,wanafunzi jamii kwa ujumla ili kuweza kuinua ki...
MOURINHO MUDA WOWOTE KUTUA HAPA, MWENYEWE YUPO TAYARI KWA MAJUKUMU
Jose Mourinho anahusishwa kukabidhiwa klabu ya Borussia Dortmund kama meneja mpya huku ikidawa timu hiyo tayari imeshaanza mazungumzo ya...
RC CHALAMILA AWAFUKUZA WANAFUNZI 7 KWA TUHUMA ZA KUCHOMA MABWENI ‘HAWATAFANYA MTIHANI KWA MIAKA MITANO’
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Albert Chalamila ametangaza kuwafukuza Shule wanafunzi 7 wa kidato cha sita, katika Shule ya Sekondar...
RAIS ETHIOPIA: HAKUNA CHA KUTUZUIA KUJENGA BWAWA MTO NILE
Ethiopia Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed amesema kuwa hakuna kitu chochote kitakachoweza kuzuia Ethiopia kujenga bwawa kwenye ...
MAHAKAMA YATAKA UTHIBITISHO AFYA YA TUNDU LISSU
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewataka wadhamini wa aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwenda na uthibitisho wa ma...
WAZIRI UMMY: WATU 1,034 WAMEFANYIWA UKATILI WA KIJINSIA
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amesema takwimu za Jeshi la Polisi zinaonyesha kuna ongeze...
SAMATTA KAWAELEZA UKWELI KIU YA WATANZANIA KUHUSU YEYE NA VAN DIJK
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayekipiga katika club ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji Mbwana Samatta amefunguka na ...
WAZIRI MKUU: USAFIRI WA RELI KUIMARISHWA KATIKA MAJIJI YOTE NCHINI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Russian Railways, Bw. Alexander Misharin n...
RCC KAGERA YAAZIMIA KILA MWANANCHI KULIMA HEKALI MOJA YA MAZAO YA CHAKULA NA MOJA YA BIASHARA KUONDOA UDUMAVU
Wadau mbalimbali mkoani Kagera kwa kushirikiana na serikali pamoja na wananchi wametakiwa kulipa kipaumbeli swala la lishe bora mkoani ...
WAALIMU WATORO NA WACHELEWAJI KUCHUKULIWA HATUA
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela amefanya ziara ya kushtukiza katika baadhi ya shule za Msingi na Sekondari na kish...
WAZIRI MKUU WA ISRAEL BENJAMIN NETANYAHU ASHINDWA KUUNDA BARAZA LA MAWAZIRI
Waziri mkuu wa Israel Bw. Benjamin Netanyahu ametangaza kushindwa kuunda baraza la mawaziri, na kurejesha mamlaka ya kufanya hivyo kwa ...
RWANDA YAZINDUA BANDARI KAVU YENYE THAMANI YA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 35
Rais Paul Kagame wa Rwanda amezindua bandari kavu ya ugavi mjini Kigali, ikayotaifanya Rwanda iwe kitovu cha usafirishaji wa mizigo cha...
TANZANIA YASAINI MKATABA WA MABILIONI YA PESA KUPELEKA HUDUMA YA INTERNET BURUNDI
Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Tanzania TTCL imesaini makubaliano na kampuni ya BBS ya Burundi kuhusu kutoa huduma za mtandao wa Int...
THIAGO MOTTA AKABIDHIWA JUKUMU ZITO GENOA FC
Aliyekua kiungo wa klabu za FC Barcelona, Inter na Paris Saint-Germain Thiago Motta amekabidhiwa mikoba ya kuwa mkuu wa benchi la ufu...
VAR KUTUMIKA KWENYE MECHI YA SIMBA, YANGA
Imeelezwa kuwa huenda mfumo wa maamuzi wa VAR (Video Assistant Referee) ambao unatumika katika ligi kubwa za Ulaya ikiwemo England, H...
WATAALAMU WA MAENDELEO YA JAMII WATAKIWA KUTOA TAKWIMU SAHIHI
Wataalam wa Maendeleo ya Jamii nchini wametakiwa kujibidiisha katika utendaji wao na kuhakikisha wanakuwa na takwimu sahihi za ma...
FISI WAVAMIA MSIBANI USIKU WA MANANE, WATU WAWILI WAJERUHIWA VIBAYA
Watu wawili wamenusurika kifo baada ya kushambuliwa na Fisi ambao hawakujulikana idadi yao, Baada ya kuvamia nyumba iliyokuwa na msib...
MSHAMBULIAJI YANGA ATOA ‘GUNDU’ KIRUMBA
Mshambuliaji wa Yanga Sadney Urkhob, kama alitoa ‘gundu’ la kutokufunga kwenye michezo ya ligi kuu Tanzania bara baada ya kuwa shuja...
MITIHANI YA KISWAHILI KUFANYIKA KIMATAIFA
Mitihani ya Kimataifa ya ujuzi wa lugha ya Kiswahili itaanza kutolewa na Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM), ikiwa na lengo la ukuz...
POLISI SINGIDA YAAHIDI AMANI NA UTULIVU KIPINDI CHA UCHAGUZI
Jeshi la polisi mkoani Singida limewataka wananchi kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa amani na utulivu kwani litahakikisha u...
MSICHANA MWENYE NDEVU AJIVUNIA UREMBO WAKE
Harnam Kore ni mwanaharakati na mzungumzaji ufasaha katika kampeni kadhaa zinazolenga kuwasaidia watu kukubali maumbile yao na kupona u...
ACT WAZALENDO YAVUNA WENYEVITI 38 WA CCM NA CUF
Kiongozi wa Chama cha ACT - Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, amepokea wanachama wapya 98, wa vyama vya CCM na CUF kuto...
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO 23 OKTOBA, 2019
Mchezaji wa zamani wa Liverpool wa safu ya kati Dietmar Hamann anasema kuwa amepata fununu kwamba Reds "wanahamu sana" ya k...