Mahakama nchini Bangladesh, imewahukumu kifo watu 16 walioshiriki kumchoma moto hadi kufa mwanafunzi Nasrat Jahan Rafi (19) kwa kurip...
MAKANDARASI WAKAMATWA NA POLISI KWA AGIZO LA MAKONDA
Mkandarasi anayejenga barabara ya BananaKitunda wa kampuni ya Nyanza na mwingine anayejenga daraja la mto Ng’ombe wamekamatwa na polisi...
CCM YATAKA ZIMBABWE KUONDOLEWA VIKWAZO
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM – Taifa), Philip Mangula ametoa tamko la azimio la chama hicho juu ya vikwazo vya kiuchum...
DK. TULIA AZUNGUMZIA UAMUZI WA MAHAKAMA KUHUSU UMRI WA KUOLEWA
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson amewataka Watanzania kutobweteka na hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Rufani iliyob...
MWANAFUNZI MKENYA ALIYETOWEKA UJERUMANI AKUTWA AMEKUFA
Potsdam. Ujerumani Mwanafunzi mmoja Raia wa Kenya ambaye alikuwa anatafutwa baada ya kutoweka nyumbani kwao Ujerumani amekutwa amek...
ALIYETANGAZA UJIO FEKI WA DREAMLINER NCHINI TANZANIA ASAKWA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Tanzania, Isack Kamwelwe Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Tanzania...
WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KUBORESHA MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
Wizara ya Fedha na Mipango inaboresha Mkataba wa utoaji Huduma kwa wananchi kwa kupata maoni katika maeneo mbalimbali ya utoaji huduma ...
NAIBU WAZIRI MAVUNDE AZITAKA HALMASHAURI KUWAWEZESHA VIJANA KIUCHUMI KUPITIA ZABUNI ZA HALMASHAURI
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde amezitaka Halmashauri za Wilaya, Manispa...
MIILI YA WATU 39 YAPATIKANA NDANI YA LORI
London, Uingereza Miili ya watu 39 akiwamo kijana mwenye umri wa chini ya miaka 18 imepatikana katika lori. Miili hiyo ilipatikana ...
RUGEMALIRA MGONJWA, ASHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI
James Rugemalira, mshtakiwa katika kesi ya uhujumu uchumi ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Sala...
MATUMIZI YA TEHAMA YAMEIMARISHA USALAMA WA TAARIFA NA HUDUMA ZA SERIKALI
SERA ya Taifa ya TEHAMA ya mwaka 2003, pamoja na mambo mengine inasisitiza juu ya Serikali kutumia fursa za TEHAMA katika utendaji kazi...
AGIZO LA WAZIRI JAFO KWA HALMASHAURI ZOTE NCHINI
Serikali imeagiza halmashauri zote nchini kuhakikisha hadi ifikapo Novemba 30, mwaka huu ziwe zimefungua akaunti maalumu kwa ajili ya...
MCT YAKEMEA VYOMBO VYA HABARI VYENYE TABIA HII
Baraza la Habari Tanzania (MCT) linakemea baadhi ya vyombo vya habari vya kimapokeo na mtandaoni vinavyoandika habari bila tahadhari.
MEXICO: WATANO WAFARIKI BAADA YA NDEGE KUANGUKA
Takribani watu watano wamekufa baada ya ndege kuanguka hapo jana (Jumatano) katika jimbo la magharibi mwa Mexico la Michoacan.
HAMISA MOBETO AMZAWADIA MAMA YAKE GARI
Mwanamitindo na Msanii wa Muziki, Hamisa Mobetto kwa mara ya kwanza amemzawadia mama yake gari.
AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 3 JELA KWA KOSA LA KUMPIGA MWANAE NA KUMJERUHI VIBAYA
Mahakama ya Mwanzo Sepuka Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida imemuhukumu Alli Makiya (33) kutumikia kifungo cha miaka 3 jela kwa kosa la...
WATUPWA JELA MIAKA 20 BAADA YA KUINGIA HIFADHI YA TAIFA
Watu wawili wakazi wa Kijiji cha Machochwe Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Mugaya Bisara(54) na Andrea Chacha (20),wamehukumiwa kwe...
SERIKALI YAONYA MATANGAZO YA DAWA MITANDAONI
Serikali imewataka wananchi kuepuka matumizi ya dawa zinazotangazwa kupitia mitandao ya kijamii kutokana ubora wake kutothibitishwa n...
PICHA: MAMA SALMA KIKWETE ATUA BURUNDI KUHUDHURIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA WANAWAKE VIONGOZI
Mke wa Rais Mstaafu na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mhe. Mama Salma Kikwete jana ameungana na Viongozi mbalimbal...
RC MNYETI AMPA MTIHANI MKANDARASI ANAYEJENGA BARABARA YA MBULU MJINI
Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti amempa mtihani mkandarasi wa kampuni Mkandalasi Gopro construction Ltd, anayetengeneza barabar...
DC MJEMA AMJIBU RC PAUL MAKONDA
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema pamoja na afisa utamaduni wa Wilaya Cloude Mpelembwa wameeleza kuwa hawajakataza watu wasifanye ib...
MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA
Baada ya kukamilika kwa raundi ya saba, msimamo wa ligi unaiweka Namungo FC kwenye nafasi ya pili huku Singida United ikiendelea kusota...
TETESI ZA SOKA ULAYA ALHAMISI 24 OKTOBA, 2019
Unai Emery amedokeza kuwa alikaribia kumsajili kiungo wa kati wa Liverpool na raia wa Brazil Fabinho, 26, alipojiunga na Arsenal kama...