Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inapenda kuutangazia umma kwamba Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga, hajafungua akaunti ya...
WAZIRI LUGOLA AYASIMAMISHA MAGARI YALIYOTAKA KUSABABISHA AJALI, DEREVA WA BASI AKAMATWA, ABIRIA WARUDISHIWA NAULI
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameyakamata magari mawili yaliyotaka kusababisha ajali kwa kufukuzana na kulazimisha ku...
MTOTO ATEKETEA KWA MOTO BABA AKITAZAMA MECHI YA ARSENAL
Mtoto wa Kike (Annet Namulondo) mwenye umri wa miaka 6 afariki kwa kuteketea kwa moto wakati Baba yake, Saleh Mukulu akiwa anafuatili...
EDDY KENZO AKUTANA USO KWA USO NA RAIS MUSEVENI, BAADA YA KUANZA KAMPENI YA KUIKOSOA SERIKALI MITANDAONI
Msanii maarufu nchini Uganda, Eddy Kenzo amefanikiwa kuitwa Ikulu na kukutana na Rais wa taifa hilo, Yoweri Museveni kwa lengo la kup...
AFYA YA MOI YATETEREKA
Afya ya rais wa zamani wa Kenya, Daniel Arap Moi imetetereka tena baada ya kurudishwa hospitali na kulazwa zikiwa zimepita wiki mbili...
UPELELEZI WANAFUNZI WANAOTUHUMIWA KUUA MWENZAO HAUJAKAMILIKA
KESI ya mauaji inayowakabili wanafunzi wa Shule ya Sekondari Katoro Islamic ya mkoani Kagera, wanaotuhumiwa katika mauaji ya mwanafun...
PINDA: TUWE TAYARI KUPOKEA MATOKEO YOYOTE YA UCHAGUZI
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda amewataka Watanzania kuwa tayari kupokea matokeo yoyote yatakayopatikana baada ya uchaguzi wa ser...
SABABU HALIMA MDEE KUSHINDWA KUDHURIA KESI YATAJWA
Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili baada ya ...
WABUNGE CHADEMA WATOA TATHMINI YA USHINDI UBUNGE 2020
Wabunge wa Chadema wana imani kuwa iwapo uchaguzi mkuu ujao utafanyika kwa uhuru na haki, watashinda majimbo kutokana na mikakati wal...
BIBI WA MIAKA 67 AJIFUNGUA
Beijing. China Mwanamke mwenye umri wa miaka 67 amejifungua mtoto wa kike. Tukio hilo ambalo la miujiza lilitokea mwishoni mwa wiki...
IDADI YA VIFO VILIVYOSABABISHWA NA MAJI YA MAFURIKO TANGA YAFIKIA 15
Idadi ya miili iliyopatikana kutokana na athari za mvua wilayani Handeni mkoani Tanga imefikia 15 baada ya mwili mwingine kupatikana ...
TAIRI LA NDEGE LADONDOKA IKIPAA
Gurudumu la ndege ya Silverstone Air limedondoka ikiwa hewani na kulazimika kutua ghafla Eldoret nchini Kenya.
HERI YA KUZALIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR JOHN POMBE MAGUFULI
Leo Oktoba 29, 2019, Rais Magufuli anasherehekea kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa.
MKUCHIKA ALIA NA MADENI YA WATUMISHI
Serikali imezitaka Wizara na Taasisi kuhakikisha zinaondoa malalamiko ya watumishi kutolipwa mishahara na stahiki zao baada ya kupand...
KAULI YA JAFO UCHUKUAJI WA FOMU KWA MBWEMBWE NA SHAMRASHAMRA
Vyama vya siasa vinavyokusudia kusimamisha wagombea wake kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 24, 2019...
FUNDI VIATU KIZIMBANI KWA MAUAJI YA KUKUSUDIA
Fundi viatu ambaye ni mkazi wa Buguruni Madenge, Ramadhani Saidi (40), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondo...
YANGA KUIFUTA PYRAMIDS FC OKTABA 31
Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa, Yanga, wanarajia kuondoka hapa nchini Oktoba 31 mwaka huu kwenda Misri ...
ANAYEDAIWA KUMTEKA MO DEWJI, AOMBA KUFUTIWA SHTAKA
Wakili wa utetezi, Mahfudhu Mbagwa, ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kufuta shtaka la kutakatisha fedha linalomkabili derev...
ABIRIA ZAIDI 50 WANASURIKA KIFO BAADA YA BASI KUPASUKA TAIRI LA MBELE
Abiria zaidi ya 50 waliokuwa wakisafiri kutoka Mbeya kuelekea mkoani Songea wamenusurika kufa baada ya basi lao aina ya Huger la Kamp...
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMANNE TAREHE 29 OKTOBA, 2019
Manchester United ina hamu ya kumsajili kiungo wa kati wa Lille Boubakary Soumare, 20, na mshambuliaji wa Lyon na Ufaransa Moussa Dem...