Msikilizaji wetu tunakuthamini sana na tumeamua kukufikia popote ulipo. Sasa unaweza kusikiliza matangazo yetu popote ulipo kwa njia ya m...
BIBI HARUSI AJIUA KISA NGOZI YAKE NI NYEUSI
Mikono ya bibi harusi wa nchini India Mwanamke mmoja nchini India mwenye miaka 21 anadaiwa kujiua kutokana na kudhalilishwa na mumewe...
TANESCO YATAKIWA KUONDOA VIKWAZO
Shirika la umeme nchini (TANESCO) Kanda ya Kati limetakiwa kuanzisha kitengo cha huduma ya haraka ili kuondoa vikwazo kwa wawekezaji ...
SIMBA SC YAKWAMA KWENYE MACHIMBO YA ALMASI
Bao la Gerard Mdamu limeifanya Mwadui FC kuwa timu ya kwanza kuwafunga mabingwa watetezi Tanzania bara msimu huu Simba SC kwenye Uwan...
MAJINA YA WANAOLALA GESTI, LODGE, HOTELINI KUWASILISHWA POLISI
Wamiliki na mameneja wa hotel na nyumba zote za kulala wageni nchini Uganda, Kampala wametakiwa kusalimisha majina ya wageni wote wan...
TRA YAFUNGUKA KUKAMATWA KWA TAPELI NA KITAMBULISHO CHAO
Mamlaka ya Mapato tanzania (TRA), imetolea ufafanuzi juu ya tapeli aliyekamatwa akiwa na kitambulisho cha mamlaka hiyo.
PICHA YA RAIS MAGUFULI YAMPONZA IDRIS SULTAN ATAKIWA POLISI
Mchekeshaji na Muigizaji wa Filamu hapa Tanzania, Idris Sultan amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuposti picha zilizohaririwa (Edi...
RAIS MSTAAFU WA KENYA DANIEL ARAP MOI ALAZWA TENA HOSPITALI WIKI MBILI BAADA YA KUTOKA
Rais wa Zamani wa Kenya, Arap Moi amelazwa katika Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) katika Hospitali ya Nairobi na madaktari wanasema...
WANANCHI WALIOVAMIA MPAKA WA TANZANIA NA ZAMBIA WATII AGIZO LA RAIS LA KUBOMOA
Zaidi ya asilimia 80 ya Wananchi waliovamia Mpaka wa Tanzania na Zambia eneo la Tunduma wametii agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
MWENYEKITI TUME YA MADINI AFANYA ZIARA DODOMA
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amefanya ziara Wilayani Dodoma Mjini lengo likiwa ni kukagua shughuli za uchimbaji w...
DR GWAJIMA: TUSIMHUJUMU RAIS, KOMESHENI UBADHIRIFU WA DAWA
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Dorothy Gwajima, amewataka Wafamasia wa Mikoa kote nchini kup...
MAAMBUKIZI YA VVU YAPUNGUA KWA ASILIMIA 2.3
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa maambukizi ya VVU yamepungua kutoka asilimia...
WANAUME WANAONYONYA MAZIWA YA WAKE ZAO WAPEWA ONYO
Kaimu Mkurugenzi wa Lishe katika Wizara ya Afya, Maendelo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Grace Moshi ametoa onyo kali kwa Wanau...
TAHADHARI YA MVUA KUBWA KANDA YA ZIWA
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesema mikoa ya Kanda ya Ziwa itakuwa na mvua nyingi na kuwataka wananchi kuchukua tahadhari.
TUNDURU: WANAFUNZI 100 WAKATISHA MASOMO KWA UJAUZITO WENGINE 350 HAWAJULIKANI WALIPO, DC MTATIRO AJA NA MWARUBAINI
Zaidi ya wanafunzi 100 wa kike wa shule mbalimbali za sekondari wilayani Tunduru, mkoa wa Ruvuma, wameacha masomo baada ya kupata mim...
VIONGOZI VYAMA VYA USHIRIKA WAAGIZWA KUCHUKUA HATUA KWA WALIOHUJUMU MALI
Mwenyekiti wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Titus Kamani amewataka Wasimamizi wa Vyama vya Ushirika wakiwemo...
WANAFUNZI SHULE YA UGANGA WALIOKUMBWA NA MAPEPO WAMUUA MZEE WALIYEMTUHUMU KUWAROGA
Mzee Issa Pela enzi za uhai wake Mzee Issa Pela anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka (70-80) aliyekuwa miongoni mwa wanaotuhumiwa kwa...