Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Kigoma imemuhukumu kwenda jela miaka miwili na nusu daktari feki ambaye anatajwa kusababisha vifo vy...
LULU DIVA AFUNGUKA HATMA YA IDRIS SULTAN
Dada wa mchekeshaji Idris Sultan, Lulu Diva, amesema hadi sasa wamekwishampata Mwanasheria ambaye atamsaidia mdogo wake kupata dhamana,...
RAIA WA INDIA AKAMATWA NA MADINI YA MILIONI 600
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza, linamshikiria kwa mahojiano mwanaume mmoja mwenye asili ya India, aliyejulikana kwa jina la Yogesh Sumat...
WAZIRI MKUU MAJALIWA ATARAJIWA KUWA MGENI RASMI WIKI YA AZAKI
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kat...
BASHE: SERIKALI IMEAMUA KUHESHIMU NA KUWEKA KIPAUMBELE SEKTA YA KILIMO
Na.Faustine Galafoni,Dodoma. NAIBU Waziri wa Kilimo,Husein Bashe amesema Serikali imeamua kuheshimu na kutoa kipaumbele mazao ya kili...
JURGEN KLOPP: SITAPELEKA TIMU UWANJANI
Meneja wa mabingwa wa soka barani Ulaya Liverpoool Jurgen Klopp, ametishia kutopeleka timu uwanjani, endapo chama cha soka nchini Eng...
ALIYEMUUA MWANAMUZIKI RADIO, AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 14 – VIDEO
Mahakama Kuu nchini Uganda imemuhukumu kifungo cha miaka 14 jela Bwana Godfrey Wamala maarufu Troy kwa kosa la kumuua mwanamuziki Moses...
RAIS MUSEVENI AINGILIA KATI MAANDAMANO YA WANAFUNZI WA MAKERERE ‘WANAJESHI WAONDOKE HIYO SIO KAZI YAO, JADILIANENI’
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameagiza wanajeshi wanaozingira chuo kikuu cha Makerere kwa lengo la kutuliza maandamano waondoke mara ...
MWAI KIBAKI PRIVATE SECRETARY ALLAYS FEARS ABOUT EX-PRESIDENT'S HEALTH
Former President Mwai Kibaki during a function in Kiambu County on April 21 21, 2018. Retired President Mwai Kibaki is not admitted ...
GHANA: MTOTO WA MIAKA 12 ASHINDA NAFASI YA KUSOMA CHUO KIKUU MASOMO YA UTAWALA WA UMMA - VIDEO
Mtoto wa miaka 12 ameshinda nafasi ya kusoma chuo kikuu masomo ya utawala wa Umma. Viemens Bamfo, ni mtoto mdogo zaidi kati ya wanafunz...
VIDEO: TAKRIBANI WATU 65 WAMEPOTEZA MAISHA NA WENGINE ZAIDI YA 45 KUJERUHIWA BAADA YA TRENI KUWAKA MOTO
Takriban watu 65 waliuawa na wengine 45 kujeruhiwa baada ya moto kuwaka ndani ya treni inayopitia katikati mwa Pakistan, na kuwaangam...
NAIBU WAZIRI IKUPA APONGEZA UBUNIFU WA KAMBI ZA KITAALUMA SIMIYU
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia masuala ya watu wenye ulemavu, Mhe. Stella Ikupa, amefunga rasmi kambi ya k...
DKT. ABBASI, BOSI PSSSF WATATUA KERO YA WALIMU PAPO KWA PAPO SIMIYU
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, jana jioni alilazimika kumpigia simu Mkuruge...
KAMISHNA MKUU TRA AWAPA NENO WAJUMBE WA KAMATI YA MAMLAKA ZA MAPATO AFRIKA MASHARIKI (EARATC) KUHUSU MAADILI
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dkt. Edwin Mhede amesema kuwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki hazina...
MAVUNDE: SERIKALI KUENDELEA KULIWEZESHA KWA UJUZI KUNDI LA VIJANA NCHINI
Serikali imesema itahakikisha inaendelea kuliwezesha kwa ujuzi kundi la Vijana ili waweze kushiriki kwa vitendo katika shughuli za ki...
WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI (OSHA) YATOA SEMINA KWA WANACHAMA WA (CTI)
Makamu wa Rais wa Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania( CTI) Bw. Shabir Zavery ameishukuru Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi ...
JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATUHUMIWA KUMI (10) KWA TUHUMA MBALIMBALI
J eshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na Opresheni, Misako na Doria katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mbeya ili kuhakikisha u...
WANANCHI KIWALANI WAIPONGEZA SERIKALI KUWAJENGEA SOKO KUBWA
Wananchi wa Kata ya Kiwalani wameipongeza Serikali kwa kuwajengea soko kubwa ambalo litawasaidia katika shughuli zao mbalimbali za kuku...
DC MJEMA ATAKA WAFANYABIASHARA WALIOHAMA KATIKA VIZIMBA SOKO LA BUGURUNI NA KUFANYA BIASHARA NJE YA SOKO WARUDI MARA MOJA
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema amewataka wafanyabiashara wa soko la Buguruni waliohama katika vizimba na kufanya biashara n...
WAZIRI MPINA ATANGAZA NEEMA KUBWA KWA WAFUGAJI
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amezindua kampeni ya kitaifa ya uogeshaji mifugo nchini na kutangaza neema kubwa kwa wafugaji ...
WATUMISHI WATAHADHARISHWA KUGEUKA ADUI NAMBA MOJA KWA SERIKALI
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga amewataka watumishi wa Wizara hiyo kuzingatia suala la nidhamu, uadilifu na ubora wa utendaji wao wa ...
JAFO AKIRI EWEPO DOSARI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Waziri wa nchi ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amekiri kupokea barua ya chama cha Demokr...
MBASHA AMVAA ALI KIBA, ADAI MKEWE NDIYE AMEANDIKA KUMSHAMBULIA DIAMOND
Vita ya maneno kati ya Ali Kiba na Diamond Platinumz iliyofunika mitandao ya kijamii jana nchini Tanzania imeendelea kukorezwa na ‘wat...
WALIPA MIL. 6.8/- KUIBA TAUSI IKULU
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imewahukumu watu watatu kulipa fidia ya Sh. 6,890,000 na kuwaachia huru watu wat...
AFUNGWA MINYORORO CHUMBANI MIEZI 2
SHADRACK Johanes (26), mkazi wa Old Shinyanga, Manispaa ya Shinyanga, amefungiwa chumbani kwa miezi miwili akiwa amefungwa minyororo mi...
MWANAFUNZI AFARIKI BAADA YA KUCHAPWA VIBOKO NCHINI BURUNDI
Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 huko nchini Burundi amefariki baada ya kupigwa na mwalimu wake, baba wa mtoto huyo ameiambia BBC.
TETESI ZA SOKA ULAYA ALHAMISI 31 OKTOBA, 2019
Aliyekuwa mkufunzi wa Manchester United na Chelsea Jose Mourinho yuko tayari kurudi katika soka ya Uingereza kutokana na lengo lake l...